Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Kwa profile yake ni wazi TL ana elements zote za uzalendo na wala hahitaji kujivalisha maskafu na tai za bendela za taifa kuprove hili.
Waliomfahamu tangu shule za awali uwezo wake kitaaluma ulikuwa juu lakini zaidi alitenda kulingana na anchokiamini. Hiyo ni kwa shule ya msingi, Iliboru, Galanosee, JKT na hata chuo kikuu.
Ukienda katika kuitumikia jamii hasa nafasi yake ya ubunge, hapo tunamrejea Ruge Mutahaba kuwa teknolojia na Mungu havidanganyi kwani maktaba ziko wazi kumsikiliza alichosimamia na kukiamini.
Pia kwa utumishi wake katika jamii ni wazi kama zingelikuwepo kashfa zinazohusiana na maisha yake basi zingelikuwa zimewekwa wazi, labda kwa kupitia uzi huu atokee mtu wa kutuwekea wazi ujinga aliowai kushiriki kama kweli upo.
Kwa maana hiyo atakayejitia kuzima nyota yake anatakiwa awe makini maana anaweza kuzimika yeye.
 
100%
 
ANAHANGAIKA NA MZIGO WA MAVITABU AMBAYO HAYASIADII KITU NA ATAENDELEA KUSOTA SANA JELA MBWA HUYU
Haya maisha tunatofautiana uelewa lakini kikubwa sote tunahitaji kujifunza.
Mtu anayeweza kumuita mwenzie kenge au mbwa namtilia mashaka sana. Maana unaweza kukuta unaenda hospitali na daktari anayekuponya anamhusudu huyo unayemuita mbwa! Au hata aliyetengeneza hiyo gadget unayotumia kumuitia mwweznio mbwa anamkubali huyu huyu mbwa!
 
1000214463.jpg
 
💥‼️UJUMBE KUTOKA TUNDU LISSU‼️🔥
@TunduALissu ni kiboko yao madhulmat! Walijua wamemfunga mdomo na watamnyanysa ila alitumia fursa mahakamani na wanasheria wake na alipaza sauti kuhusu uminywaji wa haki zake gerezani sasa madhulmat wamepiga U-Turn 🤣 Yamewashuka shuu!
1. Sasa anaweza kukutana na mawakili faragha ana kwa ana japo katika maofisi yao.
2. Anafanya mazoezi katika uwanja mkubwa wa mpira.
3. Anapata huduma za kiroho. Juzi padre George Mathias Syai alimtembelea japo room kwake lakini amepata huduma ya kiroho.
Na bado mapambano ndo kwanza yameanza! 🔥
Dawa ya madhulmat ni kudai haki 👊🏽 piga tu
Na anasema:
"I demanded it, I got it"
"You don't demand it, you don't get it"
Long live TAL
Simba wa nyikani 🦁
#NoReformsNoElectionView attachment 3381744
Hiki ni chuma haswa
 
Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.

Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika

Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
(7,029) Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu | JamiiForums Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu
Mm nimewaambia CCM na ninawaambia tena na tena kwamba TUNDU ANTIPAS LISSU ni hazina ya Taifa mumsikilize aisaidie nchi hii.Chawa sio washauri wa TAIFA hili.Taifa na viongozi wetu wawe serious na mambo ya msingi.
 
Tundu Lissu alisaliti taifa na kuwasaidia Acacia, ataishi kwa mateso hivyo hivyo hapa duniani
Weka ile ripoti ya dhalimu magu chini ya kina professor rubbish uone kama kuna mahali walimtaja Lisu. Walitajwa akina Chenge, Maswi nk. Hata hivyo wakati Lisu anapigania mikataba mibovu ya madini, Magufuli alikuwa kimya na majizi menzake ya ccm akilinda cheo. Alianza kujifanya mzalendo baada ya kuwa rais. Lisu hakusubiri kuwa rais ndio ajifanye mzalendo.
 
Back
Top Bottom