Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,527
- 69,435
A victory today, a victory tomorrow.
A victory today, a victory tomorrow.
Umemaliza kuharisha hujachamba vizuri unakurupuka kuongea usichokijua. Lisu amewapelekea moto hamjawahi kuona, mpo mnatapatapa tu.Huyo ameshasahaulika na hakuna mwenye habari naye hata kidogo.
Tunamtakia kila la heriWana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.
Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika
Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
(7,029) Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu | JamiiForums Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu
Futika wewe kwanzaUzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Chuma chakavu
Wewe unawashwa, kuwa makin utapakwa tafuma.Huyo ameshasahaulika na hakuna mwenye habari naye hata kidogo.
Toa ushahidiTundu Lissu alisaliti taifa na kuwasaidia Acacia, ataishi kwa mateso hivyo hivyo hapa duniani
Ila wa kugawa baiskeli sio wa hovyo?!Uzi wa hovyo sana huu. Mods futeni
Matako yakoUzi wa hovyo sana huu. Mods futeni