Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Jamaa anafanya kazi ya kitume
Kabisa yaani ujue hii kesi ya Lissu Mimi naifananisha kabisa na kile kisa Cha Yesu Kristo yaani kosa lilikua halionekani ety anajiita mfalme wa wayahudi mpaka yule mfalme akasema mbona sioni kosa lake huyu mtu lakini bado watu wabaya wakaendelea kushikilia tuh asulubiwe asulubiwe mwisho wa siku wakaja kupata aibu

Sasa makosa yaleyale yaliyofanyika miaka 2000 iliyopita kwa Yesu Kristo Hawa jamaa wanamfanyia Lissu kosa halionekani kabisa hata ukitumia for figure kosa hulioni ni mifumo yao ya ovyo ya uchaguzi ndio wananchi wameikataa wanataka kumyonga Lissu wa watu bila sababu.

Wanachokitafuta watakipata mwisho wa ubaya ni aibu
 
Ni ubabe wa kijinga tuuu,utakaotumika kumtia hatiani
 
Back
Top Bottom