Kila nyuzi zina mlengo wake, ukielewa hii mbona simple sana mkuu.Mkuu hii akili yako unayotumia kujibu huku ndo Ile Ile unayotumia na kule kwenye zile nyuzi za makinikia ya makalio kwa BICHWA KOMWE - ?? 😀😀😀
Mkuu hii akili yako unayotumia kujibu huku ndo Ile Ile unayotumia na kule kwenye zile nyuzi za makinikia ya makalio kwa BICHWA KOMWE - ?? 😀😀😀
Mchengerwa bila kuwa mkwe, hakufaa hata kuwa balozi wa mtaa.Mkuu hii nchi ina mambo mengi ya hovyo halafu sasa hivi upatikanaji wa maarifa upo very accessible, hivi kweli Mchengerwa wa kutupangia viongozi wa Serikali za mitaa ?
Wakati Mamlaka za Serikali za mitaa ndio kiunganishi kikubwa kati ya Serikali kuu na wananchi wake ? Na ndio maana leo hii hakuna muunganiko wa wananchi (asilimia 90 wanaishi mtaani) na viongozi wa Serikali kuu.
Lissu analipambania hili wanampa kesi ya uhaini, yaani kwa hili Tanzania tutaonekana wa hovyo sana kama tutaliachilia liendelee bila kuwa na sauti ya kulipigia kelele
Ndo ukajibu pm zangu sasa Kuna jambo nimekuomba🥹🥹😂😂😂 hapa akili, kule mwili.
Ishi humo mkuu.
Usimjibu binti wa kipemba huyoPunguza mazoea yasiyo na ulazima
😂😂😂 em huko nawee.Ndo ukajibu pm zangu sasa Kuna jambo nimekuomba🥹🥹
Mlizoea wakati wa yule Dalali kufanya upuuzi wenu wazi wazi, mmekutana na mtu mwenye msimamo kawashangaza eeh? Hamkutarajia?
veggies mauaji mmeanza leo? Wakati wa mbowe hamkua mnaua?
Em kwenda huko kawajaze chawa wenzio ambao mkipata buku 7 mnawehukwa.
Mxxxiiieeew
Usimjibu binti wa kipemba huyo
Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela🥹🥹😂😂😂 em huko nawee.
Sikia em usitake kuharibu uzi wa watu ujue. Toa hizi mada hapa, peleka kulee.Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela🥹🥹
Eiiiiishhh nilijisahau mkuu twende pm sasa🥹🥹Sikia em usitake kuharibu uzi wa watu ujue. Toa hizi mada hapa, peleka kulee.
Usimjibu binti wa kipemba huyo
Acha Fujo wewe kalio!! Nyuzi za watu wa akili hazitaki manyumbu kama wewe alafu huna hoja unashobokea watu watakudandia mgongoniNaww punguza basi mazoea❗️🤠🤠
Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela
Mkuu nitakupa Hela please hebu achana na mambo ya Lissu mwamba atatoka tu sisi tudeal na jambo letu ni muhimu sana alafu nikupe Siri sasa wiki iliyopita nimeuza mpunga Nina Hela🥹🥹
Kudanganywa ndio mnapenda
Kesi ipo Mahakamani Lissu yupo Lupango
Lkn mnaambiwa Lissu
kashinda ❌️
Kashinda au Kashinde w Pepe Kalle
Kwanini Nyumbu wanapenda matumaini hewa 🫎🫎😇🤠🤠
😂😂😂Eiiiiishhh nilijisahau mkuu twende pm sasa🥹🥹