Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Mimi nashangaa Lissu alivyopigwa risasi hadharani sehemu ambayo wabunge na Mawaziri wanaishi Tena Ulinzi umejaa Kama wote Hawa jamaa waliona ni kitu Cha kawaida tuh lile tukio lakini Leo Sheria zao za ovyo za uchaguzi zinaleta maafa kwenye taifa wanataka kumpa kesi mtu mmoja.

Wewe unaendeshaje uchaguzi alafu watu wanaosimamia huo uchaguzi wapo chini yako huo si mchezo wa kitoto kabisa Hii kesi haijakaa sawa na hao Watanzania imekuwaje wote wamsikilize Lissu na Sio serikali yao acheni kuwadharau Watanzania watu wanajielewa sikuhizi.
 
Ndio maana baada ya kuwasanua wanachi pale bungeni kuhusu makinikia ile Sept 2017, mwendazake akaamua atumie 🔫 to 💀 ili amalize mchezo.
Jah akamponyesha mwamba huyu.

Huyu wa sasa alidhani Lissu ni km mbowe akipewa kipande cha mkate na siagi atalainikia, kakutana na mwamba himself, afu yuko kwenye uwanja wake, anatamba tu.

Na ndio maana alitaka final submissions iwe kwa mdomo, ili umma wote ujue, kuliko kwa maandishi maana tungefichwa mengi mno.

Safi baba wa sheria, mwamba aliyepita Ilboru, na Galanos. Anawakilisha taifa hapa.

Mwaga 🔥🔥 km unamkubali Lissu.
Mkuu hii akili yako unayotumia kujibu huku ndo Ile Ile unayotumia na kule kwenye zile nyuzi za makinikia ya makalio kwa BICHWA KOMWE - ?? 😀😀😀
 
TUNDU LISSU ANAISHIA HAPA KWA LEO.

Kwa ruhusa yenu, Waheshimiwa Majaji, mniruhusu nihamie hoja ya sita.

Jaji Ndunguru: Muda uliobakia utatosha kumaliza hiyo hoja?

Lissu: Sitomaliza, lakini ni vizuri nianze kwa muda uliobakia.

Jaji Ndunguru: Kwa mtiririko mzuri, nadhani ungeanza kesho tu.

Au mnasemaje upande wa mashtaka?

Nassoro Katuga: Nasisi tunaona kwa mtiririko mzuri tuanze kesho.

Kwa sababu tunaweza kurudi kesho akarudi upya.

Jaji Ndunguru: Mshitakiwa, nadhani kesho unaweza kumaliza.

Lissu: Nafikiri naweza.

Jaji Ndunguru: Utajielekeza yale unayodhani ni ya muhimu.

Lissu: Nitajitahidi.

Jaji Ndunguru: Shauri linahairishwa hadi kesho saa 3:00 asubuhi.

Majaji wanatoka.

TUKUTANE KESHO SAA 3.00 ASUBUHI.
Jaji aache upumbavu kwanini anamtaka lissu afanye haraka haraka? Au ya muhimu tu hayo mengine sio ya muhimu? Anawahi nini? Pumbavuu.
 
Mimi nashangaa Lissu alivyopigwa risasi hadharani sehemu ambayo wabunge na Mawaziri wanaishi Tena Ulinzi umejaa Kama wote Hawa jamaa waliona ni kitu Cha kawaida tuh lile tukio lakini Leo Sheria zao za ovyo za uchaguzi zinaleta maafa kwenye taifa wanataka kumpa kesi mtu mmoja.

Wewe unaendeshaje uchaguzi alafu watu wanaosimamia huo uchaguzi wapo chini yako huo si mchezo wa kitoto kabisa Hii kesi haijakaa sawa na hao Watanzania imekuwaje wote wamsikilize Lissu na Sio serikali yao acheni kuwadharau Watanzania watu wanajielewa sikuhizi.

View: https://www.facebook.com/share/v/1HZ4CTQ3a2/
 
Jaji aache upumbavu kwanini anamtaka lissu afanye haraka haraka? Au ya muhimu tu hayo mengine sio ya muhimu? Anawahi nini? Pumbavuu.
Si ndio apo wamuache awafundishe Sheria maana wapo wapo tuh mpaka saiv nashangaa hiyo kesi ya kujibu Lissu ilikua ni ipi kwamba Heche anaendesha magari ya bei mbaya au kitu gani?
 
Mimi nashangaa Lissu alivyopigwa risasi hadharani sehemu ambayo wabunge na Mawaziri wanaishi Tena Ulinzi umejaa Kama wote Hawa jamaa waliona ni kitu Cha kawaida tuh lile tukio lakini Leo Sheria zao za ovyo za uchaguzi zinaleta maafa kwenye taifa wanataka kumpa kesi mtu mmoja.

Wewe unaendeshaje uchaguzi alafu watu wanaosimamia huo uchaguzi wapo chini yako huo si mchezo wa kitoto kabisa Hii kesi haijakaa sawa na hao Watanzania imekuwaje wote wamsikilize Lissu na Sio serikali yao acheni kuwadharau Watanzania watu wanajielewa sikuhizi.
Mkuu hii nchi ina mambo mengi ya hovyo halafu sasa hivi upatikanaji wa maarifa upo very accessible, hivi kweli Mchengerwa wa kutupangia viongozi wa Serikali za mitaa ?

Wakati Mamlaka za Serikali za mitaa ndio kiunganishi kikubwa kati ya Serikali kuu na wananchi wake ? Na ndio maana leo hii hakuna muunganiko wa wananchi (asilimia 90 wanaishi mtaani) na viongozi wa Serikali kuu.

Lissu analipambania hili wanampa kesi ya uhaini, yaani kwa hili Tanzania tutaonekana wa hovyo sana kama tutaliachilia liendelee bila kuwa na sauti ya kulipigia kelele
 
Back
Top Bottom