Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

awe anaungama bana,
maana ni muongo muongo sana, na saa zingine ni kaidi kweli
Uchumi wa Tanzania unakuwa kuliko marekani na ulaya.


FA8A906F-66B4-4730-BCA8-254E6614429D.jpeg
 
Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu.

Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika

Ana historia yake maalum .. Ana mengi mazuri ya kiwango kaifanyia Tanganyika.. TUMUENZI SASA. NI WAKATI WAKEView attachment 3381742
Mpango bendera shusha nusu mlingooooooooti..Samia ameshajifia kifo cha kisiasa.
 
Zegreaty said:
Huyu ndie Mussa wetu tuliekua tukimngojea Tanganyika tokea Mwalimu aondoke

Mh. Tundu Antiphas Lissu, kama mpiganaji wa demokrasia na mtetezi wa haki, kwa sasa hana mpinzani si hapa Tanzania tu bali Afrika Mashariki na pengine hata Afrika nzima na nasema hili kwa kujiamini.
 
Tundu Lissu (jina la kuzaliwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu; alizaliwa mkoani Singida, 20 Januari 1968) ni mwanasiasa, wakili, na mbunge wa zamani wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti [1] wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania. Anajulikana kwa msimamo wake wa wazi dhidi ya rushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka. Lissu aliwahi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha upinzani cha Chadema na pia alikuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Ametambulika kwa ukosoaji wake mkali dhidi ya serikali, hali iliyomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa katika siasa za upinzani nchini.
 
Hapo juu naomba uweke historia yake toka anazaliwa mpaka anaanza harakati za kutetea watu

Ingependeza Sana
Nakumbuka ile yupo JKT alivyowaogopesha na kuwatisha kwa kule kujiamini kwake!!

Lissu ni hazina kwa Taifa;!!
Tundu Lissu (jina la kuzaliwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu; alizaliwa mkoani Singida, 20 Januari 1968) ni mwanasiasa, wakili, na mbunge wa zamani wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti [1] wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania. Anajulikana kwa msimamo wake wa wazi dhidi ya rushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka. Lissu aliwahi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha upinzani cha Chadema na pia alikuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Ametambulika kwa ukosoaji wake mkali dhidi ya serikali, hali iliyomfanya kuwa mmoja wa wanasiasa mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa katika siasa za upinzani nchini.[2]


Tundu Lissu katika kipindi cha Kampeni za Urais, Dodoma 2015
Mnamo Septemba 2017, Lissu alinusurika jaribio la mauaji baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 16 mjini Dodoma — tukio lililoibua maswali mengi kuhusu usalama wa wanasiasa wa upinzani. Baada ya matibabu ya muda mrefu nchini Kenya na baadaye Ubelgiji, Lissu alirejea Tanzania mwaka 2020 na kugombea urais kupitia Chadema, ingawa hakushinda. Licha ya changamoto alizokumbana nazo, bado anahesabiwa kuwa sauti muhimu katika harakati za kudai demokrasia, utawala wa sheria, na haki za kiraia nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom