Kijana fanya mambo yako kwa umri na wakati sahihi

Jack Daniel

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
2,149
10,390
Uzi huu unawalenga zaidi vijana wote (haswa wa KIUME )japo hata kina sisi sun set tunakumbushana pia.

Ewe kijana kumbuka kila jambo linatakiwa lifanyike kwa wakati na muda sahihi.

1. Kazi
Sisemi kwamba vijana ni wavivu hapana ,ila ni vyema kujitahidi na kupambana zaidi katika umri mdogo.
Hata kama kwa wazazi ni mambo safi lakini ni vyema kuomba hiyo sapoti mapema ili kujijenga mwenyewe.

2. Ndoa
(Wale timu kataa ndoa hapa hapawahusu)
Ni vyema kuoa mapema na hata watoto wapatikane mapema hii itasaidia kuwakuza na kuhakikisha wanaanza kujitegemea huku ukiwaona hii inapendeza na iko poa sana kuliko mtu una 40+ ndiyo unapata mtoto wako wa kwanza.

Utakuja kuitwa babu na wanao.na ni rahisi kufa kabla watoto hujawaachia msingi imara.(kifo kikikuita hukatai umri wowote mtu anaaga Dunia)

3. Assets
Hakuna jambo tamu na zuri kama kumiliki mali fulani ukiwa bado kijana ,yaani miaka 30 tayari una nyumba kadhaa mjini ,unafokeana na wapangaji tu. Na hata vibubu vyako vinakuwa vyema,iko poa sana maisha yatafutwe kwa wakati.

Kumiliki mali uzeeni ni changamoto hata mali zako mwenyewe baadhi unaanza kuzisahau na kujikuta unapigwa na wajanja tu.

4. Starehe
Ukiwa umejipanga vyema yaani kuanzia 1,2,3 kama nilivyoandika,
Usisahau kuishi,ishi maisha ungali bado kijana ,starehe na ulimbukeni wote fanya ukiwa kijana kwa wakati ambao ni sahihi ,maana usipofanya kwenye ujana wako ,utayafanya hayo mambo uzeeni na hapo ndipo utawashangaza walimwengu maana pengine umri wako na uyafanyayo vitakuwa haviendani.

Hudhuria klabu ,toa ushamba wote,kama kuna nafasi ya kwenda kuzurura ughaibuni,fanya sasa hivi kama maokoto yanaruhusu.

Kama ni wanawake warembo piga,narudia tena chakata hawa viumbe (jilinde na ngono zembe) huku ukihakikisha unamuheshimu mkeo na mama wa watoto wako. Siku ukizeeka utakuwa ushamaliza kazi kuliko kufia vifuani mwa watoto.

5. Jiheshimu (linda heshima)
Wakati wa wewe kuheshimiwa ni sasa,mwanaume yeyote huheshimiwa tangu anapotoka kwenye tumbo la mama yake,heshima ya mwanaume ni ya asili ,makabila mengi duniani mwanaume hupewa kipaumbele,yaani huheshimiwa.

Heshima haitafutwi,wala hailazimishwi, heshima haitengenezwi bali hulindwa ili isipotee kwani unayo tangu unazaliwa haijalishi ulikuwa na kitu au hauna ,ukiwa na vitu vitatu nimeandika hapo juu kwanini usiheshimiwe?

KAZI,

NDOA,

ASSET & LIABILITY

Ili uilinde heshima yako ambayo uliopata siku ya kwanza unaingia kwenye huu ulimwengu wa fujo unapaswa kufanya kila kitu kwa WAKATI sahihi.

Tunakumbushana tu wanajamvi.
 
I don’t care where you came from
I don’t care what you talking about
I don’t care, I don’t scare, Don’t dare sogea
Do I look like i care
I don’t care where you came from
I don’t care what you talking about
I don’t care, I don’t scare, Don’t dare sogea
Do I look like i care

It’s Holiday"Watu wana Celebrate
Life Is Everyday" My Friend Usi Complicate🤒
 
Mawazo wa kuzaa mapema ni ya kipumbavu na wengi ni waajiri maana anajua miaka 60 kashazeeka maana anastaafu... Kaangalie matajiri wakubwa duniani wapo miaka 80 ila akili inapambana.

Nikupe tu tetesi nimezika class mates wangu waliozaa mapema watoto wadogo wana miaka 6 mtu anakufa just imagine ,halafu jamaa hajajipanga...Prioritize success over everything,remove age from your plans coz it adds unnecessary pressure...

Waafrica mnazeeka mapema kwa kujipa majukumu kabla ya kufanikiwa...Unaweza kusave pesa ya kujenga nyumba then ukizaa mtoto unamsomesha vizuri ukiwa kwako hauna pressure za kupanga.
.
 
Uzi wangu haupo kisheria bali kuishauri tu,kila mnyama ana mtego wake,

Uzi huu umelenga vijana waliotoka maisha duni na wanapambana kuzifikia ndoto zao,na si walioandaliwa,au watoto wa matajiri,
Wapo watasoma uzi huu na watauelewa tu
 
Mawazo wa kuzaa mapema ni ya kipumbavu na wengi ni waajiri maana anajua miaka 60 kashazeeka maana anastaafu... Kaangalie matajiri wakubwa duniani wapo miaka 80 ila akili inapambana.

Nikupe tu tetesi nimezika class mates wangu waliozaa mapema watoto wadogo wana miaka 6 mtu anakufa just imagine ,halafu jamaa hajajipanga...Prioritize success over everything,remove age from your plans coz it adds unnecessary pressure...

Waafrica mnazeeka mapema kwa kujipa majukumu kabla ya kufanikiwa...Unaweza kusave pesa ya kujenga nyumba then ukizaa mtoto unamsomesha vizuri ukiwa kwako hauna pressure za kupanga.
.
Aise mkuu sawa bhana ni mawazo yako yaheshimike tu
 
Najua unahisi haiwezekani,kumbe ni jambo lipo na ni kawaida tu,kuna dogo kazaliwa 1994 huko mkoani kwetu ,kajitafuta kajipata kiasi chake ana mke na watoto watatu,ana nyumba tano Jiji hili la Chalamila ni nyumba siyo vibanda,

Ana trekta tano kwaajili ya shughuli zake za kilimo huko mkoani.

Ana maghala na mastoo kadhaa.huyu ni mmoja kati ya vijana wanaokimbiza kwenye umri sahihi wapo wengi vijana wanapambana huwezi amini.

Sasa huku mtu akiwa na iPhones na wallet haikosi 200k za savana,brevis ya kuazima basi hatupumui.
 
2.Ndoa.

(Wale timu kataa ndoa hapa hapawahusu)
Ni vyema kuoa mapema na hata watoto wapatikane mapema hii itasaidia kuwakuza na kuhakikisha wanaanza kujitegemea huku ukiwaona hii inapendeza na iko poa sana kuliko mtu una 40+ ndiyo unapata mtoto wako wa kwanza.
Utakuja kuitwa babu na wanao.na ni rahisi kufa kabla watoto hujawaachia msingi imara.(kifo kikikuita hukatai umri wowote mtu anaaga Dunia)
Mkuu Jack,

Umenena vyema sana.
Kipindi cha ujana ni kifupi sana, kuna mtu aliniambia mpaka 35 mambo yakiwa bado hayaeleweki wanaume wengi huwa tunakuwa na stress sana.

Na hili huwa ninaliona kwa kweli.

Asante kwa kutukumbusha.
 
Hongera kwa kulielewa bandiko mkuu ,stress za wanaume wengi zinaanzia pale umri unaposogea na mambo bado magumu
 
Najua unahisi haiwezekani,kumbe ni jambo lipo na ni kawaida tu,kuna dogo kazaliwa 1994 huko mkoani kwetu ,kajitafuta kajipata kiasi chake ana mke na watoto watatu,ana nyumba tano Jiji hili la Chalamila ni nyumba siyo vibanda,

Ana trekta tano kwaajili ya shughuli zake za kilimo huko mkoani.

Ana maghala na mastoo kadhaa.huyu ni mmoja kati ya vijana wanaokimbiza kwenye umri sahihi wapo wengi vijana wanapambana huwezi amini.

Sasa huku mtu akiwa na iPhones na wallet haikosi 200k za savana,brevis ya kuazima basi hatupumui.
Daaa! Tutafika tu
 
Yaan at 30s una miliki mijengo mjini! Aisee, kumbe waku life ni simple hivyo na hamsemi.

Ukipata maisha hata ukizaa at 40+ watoto watakua na fura na utawafurahia kuliko aliyepata at 20s na maisha ni ungainga.

Mwangalie Kris Lukos wanae wanavyo enjoy japo aliwapata age go, ila wanafutaha na anawafurahia kuliko hawa wa kwetu ungaunga mwana. Mwamba hata akiondoka (siombei) wale mabinti wana life zuri na watamshukuru kwa vile atakavyo waachia.
 
Back
Top Bottom