Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,520
Reaction score
830,065
Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo.

Maoni ya mdau:

Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee walimu na madaktari.

Kila Mwafrika anahitaji hiki kitu nchini kwake kwani ni kweli wabunge wanakula mapesa mengi bure kabisa halafu kuna watu wanahangaikia afya zetu, wanawahangaikia watoto wetu wanapokea mishahara kiduchu kutofautisha na watu wanaopigwa viyoyozi bungeni.
1743460486799.jpg
 
View attachment 3289239
Ni kweli.Je tuna watu wenye commonsense wa kujifunza mambo rahisi na ya msingi kama hayo? Je tuna utashi wa kufanya hivyo? Je tuna nia ya kujifunza? Burkinabe wana viongozi wenye common sense siyo hawa wenye uncommon sense
 
Kama kweli, anastahili pongezi..

Kuke jamhuri ya DANGANYIKA mbunge, waziri anakunja zaidi ya 10 kwa mwezi, bado anapewa gari, mafuta, nyumba, halipii maji, wala umeme, dereva bure, bima kubwa(sawasababu ya mshahara wake) ana, wasaidizia nalipiwa na serikali

Halafu kuna mwl/dr mshaharau ukikatwa kodi ni kamilioni tu, hapo nyumba, usafiri wa kazini, maji, umeme, bado ka bima kake hakatoi Baadhi ya huduma
 
Hasara nyingi ambazo CAG huzibaini husababishwa na over expenses matumizi makubwa ndani ya makampuni na mashirika husika, wasimamizi wa mashirika hayo Wapewe meno ya ku regulate matumizi wakisaidiana na wahasibu wao.
Cut down salary
Cut down posho

Close monitoring maintenance cost
Ndipo heshima ya msimamizi wa taasisi itapatikana, hili linavunja hata ile usimamizi wa viongozi wa mashabiki husika wanaonekana bogus kwani (shirika linapopata hasara Wewe msimamizi ndiyo bogus) / failure!
 
Hivi probox haziwafai kweli? mbona ni tugari tugumu sana, wakipata zero kilomita kila mmoja ndio kabisa watadumu nazo miaka na miaka.
V8 moja la milioni 500 tunapata probox kama zote.
 
Wewe huwa unaangalia bajeti ya nchi yako na kipato mnachoingiza kwa mwaka kama kinatosha tuache kukopa na hakitoshi tupo mulemule halafu marufuku kukimbia kulipa kodi ili ukiuliza wawe na chakujibia
 
Sina hakika kama Burkina Faso wana resources za kutosha.

Ponapona yake ndiyo hiyo.
Anaongoza Taifa lisilo na chochote kama Burundi au Rwanda..hapo anaweza kudumu.

Ni ngumu sana ku apply style hiyo kwa nchi tajiri kama Tanzania au Drc au hata Kenya.hufiki kokote.utakufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom