Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi.
Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo.
Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF jua yupo kwenye level hiyo.
Let's draw a conclusion kwamba CCM na viongozi wake wamefikia hatua ya unyama wanaweza kufanya chochote narudia tena chochote you can imagine (kuua kwao ni kawaida) na wasione aibu hata robo. Watanzania hatuna viongozi.