BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Huyo jamaa mwenye kikofia anaonekana kabisa anakula za ofa. Amekaa kiwasiwasi sana
sasa unajuaje na wao hawapo form 6 na chuo? subiri na wao wakikuwa kama wewe wataacha tuSifa za kijinga, mibabab mizima,
huu upuzi nilikua nafanya na washkaji zangu tukiwa form 6 hadi chuo
Kama sio Wasukuma basi ni Wahaya,..na kidogo Wachagga wako na tabia za kishamba kama hizi,..ukibisha nenda pale Arusha-Matako bar utawakuta na hizo show-off zao.
wahaya mkuu. Mtoto anaenda shule kaptula ina matobo nyuma wao wanateketeza makret ya bia.
Wajinga sana hawa watu...
Ukute majumbani kwao hawana hata vitanda au watoto wao wanasumbuka hawana vitabu vya shule...
Huu ulimbukeni si wa kuufungia macho...
Kama sio Wasukuma basi ni Wahaya,..na kidogo Wachagga wako na tabia za kishamba kama hizi,..ukibisha nenda pale Arusha-Matako bar utawakuta na hizo show-off zao.
Nikikushika utaomba poo.......na naenda mwaga mboga.......utakula ugali mkavu nakwambia.......
makabila makubwa matatu yenye nguvu kuliko yote kipesa, keilimu, kiufahamu...nk.nk.nk..ungeongeza na Wanyakyusa...vipi nyie akina Matonya? of course huwezi kutandaza bia mezani kwa hela ya kuomba mtaani..pole sana ndugu
Way back kama miaka mitatu nilikuwa mtaani nimekaa na jamaa kijiweni...kutokana na ratiba zangu ilibidi ninyanyuke wakati story zinaendelea, basi jamaa mmoja akaniuliza "Wapi tena Nemo?"
nikamjibu, "I say, kuna jamaa nategemea anitumie e-mail mida hii, sasa naenda kucheki kama imeingia" na nikasepa
basi huku nyuma iakwa story, baadhi ya jamaa wanacomplain.."huyu Nemo mshamba kweli, yaani anaona sifa eti kuwa home ana computer, computer yenyewe desktop...halafu siku hizi mambo ya e-mail sijui nini, sio ya kutishoa watu..ya kawaida sana"
"Ndo zao hawa jamaa, maringo na kujiona wajanja" wakadakia wengine baadhi
Basi mshikaji mmoja karecord maongezi yoote kaja kunisikilizishia home...mimi nilibaki na swali moja..Kati yangu na hao waliocomplain nani mshamba?
Likewise here:
Watu wamekaa mezani, wanatumia pesa yao, style wanayoamua kutumia ni kuweka bia zao zote mezani...nyie povu linawatoooka, complain kibaoooo...Wewe ukienda bar, agiza mojamoja...mwingine akienda bar muache aagize kwa mpigo..shida iko wapi?
Kati ya hao wanywaji na nyie mnaolalama nani mshamba....na nadhani wakati hao jamaa wamekaa hapo bar walikuwa na maongezi ya michongo ya ku-make money zaidi...hawakuwa wanajadili style za watu za kuishi na kutumia chao kama mnavyofanya hapa
Najua baadhi ya haters uwezo wa ku-afford haya matumizi nehi..the best you can do ni complain complain complain!!!!
si ajabu wangeagiza bia kila baada ya dakika tatu kuna watu wangelalama "hawa jamaa kila dakika waiter, waiter, waiter...wanataka kudraw attention za watu ili tuone walivyokuwa na speed ya ku-order" see?
Hao waliokusema kuhusu mail ni jambo lingine,...ila kubali tu hao jamaa zako ni mafala na washamba,,.....hakuna mwenye chuki na mtu asiye mfahamu hapa-ila hiyo life style ya kujaza mibia mezani ni ya kikuda.,..hautaki unaacha...!
Hao waliokusema kuhusu mail ni jambo lingine,...ila kubali tu hao jamaa zako ni mafala na washamba,,.....hakuna mwenye chuki na mtu asiye mfahamu hapa-ila hiyo life style ya kujaza mibia mezani ni ya kikuda.,..hautaki unaacha...!
kuna jamaa wana magari idadi kama ya bia hizo...kwa wakati mmoja