Ahahahaaaaaaaa-mimi ni mnyakyusa full,.....ila wanyaki hatuna ushamba kama huo,....get it folk..?
wewe wasema, lakini kuna binadamu wengi sana Tanzania hii wanaamini wanyakyusa hususani wa Kyela wanaongoza kwa ushamba, maringo, majivuno na majigambo.. amini nakuambia.
Kama mimi mwenyewe ningekuwa na mentality ya Kugeneralize watu ningeamini kwa mifano michache ifuatayo:
1. Maeneo ya Mabibo Sahara kuna Mke wa mjumbe wa shina (Mzee Mwakajila) aitwaye Mama Chris, wote ni wanyaki...ambaye mwanae alichukua kijimkopo flani bank na kama kawaida yetu Wa-tz..yakaanza matanuzi na mbwembwe..basi yule mama alianza tabia ya kunawa bia mikononi!!! kisa eti imekaa muda mrefu kwenye glass..imeexpire!!!!!!!
akiagiza chips hataki kunawa maji yoyoyote zaidi ya mineral-water, tena Kilimanjaro...sio uhai wala rwenzori wala maji poa!!!!! tabia ilikoma pale huyo mwanae alipopata ajali na kufariki, bank wakaanza kutishia kuchukua nyumba iliyowekwa kama security.
2. Nyumba ya tatu kutoka kwa huyo mzee kuna kigorofa chekundu ambacho mmiliki wake amafariki muda sio mrefu alikuwa anaitwa Mbuya (eneo linajulikana kama Kighorofani kwa Mbuya) naye ni mtu wa Mbeya na maisha yake yalikuwa full kiburi, kutoshirikiana na watu na mixer majivuno
Uliwahi kutokea msiba jirani basi magari yakajaa mpaka uwanjani kwa huyo late Mbuya..sasa ule mtaa una njia moja inayoingia na kwenda kutokea barabara ya Ubungo Maziwa kwa upande mmoja na Darajani External kwa upande mwingine
....alichofanya Mbuya baada ya kukuta magari kwenye parking yake hakuongea na mtu..alimpigia simu jamaa yake akaja na gari jingine..lile la kwake akaziba upande mmoja wa mtaa na lile la rafiki yake likaziba upande mwingine,,then mbuya akapanda kighorofani kwake akalala kwenye balcony..kimbembe wakati watu wanataka kutoka na kupeleka maiti makaburini..jamaa alikataa katakata kata kutoa magari huku akitukana watu kuwa hawajasoma, ni masikini na misiba yao ya kijinga haiwezi kumkosesha yeye uhuru nyumbani kwake!!!!!
3. Upande wa pili wa kwa marehemu Mbuya kuna mzee mmoja anaitwa Mwaikambo, another Mbeya type...huyu formula yake ni kuwa haongei na mtu..ataongeaje na watu wa daraja la chini, ambao hawakusoma na ambao hawana hela? Ukitokea msiba yeye anakwenda pale, akiwa wima anasign daftari la mchango anadondosha kama kilo moja anasepa!!!!!
aliwahi kumtia kilema housegirl, kisa kanunua nyanya gengeni ..aliona anaweza kuwaletea magonjwa ya ajabu kutokana na nyanya za gengeni!!!!!
Nimekutajia majina ili ukiweza fanya uchunguzi au kama kuna mtu anayajua maeneo hayo ata-support haya maelezo
Hao ni wanyaki watatu ndani ya mtaa mmoja..is it right kusema wanyaki ndivyo mlivyo????????????????/