okshida ni ipo,..nayo ni kuwa kila kitu na enzi zake-huu ushamba wa kujaza mibia kwenye meza ulishapitwa na wakati mkuu,...wananikera saaaaaana -wanatujazia mi-inzi tu bar hao.
wahaya mkuu. Watoto anaenda shule kaptula ina matobo nyuma wao wanateketeza makret ya bia.
ok
ila shida niionayo ni kwamba hata wakipata mwanamke
''uwezo huwa batili.''
Kama sio Wasukuma basi ni Wahaya,..na kidogo Wachagga wako na tabia za kishamba kama hizi,..ukibisha nenda pale Arusha-Matako bar utawakuta na hizo show-off zao.
Dah, hivi bado kuna watu wanafanya hii michezo???
Kama sio Wasukuma basi ni Wahaya,..na kidogo Wachagga wako na tabia za kishamba kama hizi,..ukibisha nenda pale Arusha-Matako bar utawakuta na hizo show-off zao.
Jamaa wa tanga hao
Daah Mkuu ni kweli, huyo anaevuta sigara yupo star times tanga mara nyingi juwa anashinda na wachina,Jamaa wa tanga hao