Hao ni Wachaga nimewaona mara nyingi sana Maeneo ya Dar,ni kama wanakikundi Chao cha unywaji wa pombe kila weekend wanakusanyika na wanauongozi kabisa.
Wankuwa na bajeti kabisa labda ya kreti kumi wanamkeshi kabisa ndugu yao hapo ni kunywa na kelele kwa kwenda mbele na mizuka ya kuagiza bia zingine na zingine .
Wengi wao wana bar zao hivyo ni kama wanaungishana ,hivyo weekend hii wananywea kwa fulani inayokuja kwa fulani hadi mzunguko unaisha.
Ukitaka kujiunga kunamaombi maalumu na unapewa na taratibu za kujiunga.
Vigezo na msharti lazima vizingatiwe.