Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

Sifa za kijinga, mibabab mizima,
huu upuzi nilikua nafanya na washkaji zangu tukiwa form 6 hadi chuo

Nina wax wax na iq yako, maana huo toka niko mtoto nilikuwa najua kuwa huo ni upuuzi, sasa wewe mwenzangu ulifika hadi chuo lakini ukawa unafanya huo upuuzi!!!&
 
Kwa makadirio kuna chupa kama 60 na zaidi. 2400*60=144,000 just one round! Zikiisha water analeta kama hizo.

Kuna watu wana shida sana kichwani...
Mfano ni hawa watu
 
Kakika kuna watu wanataka sifaaaaaaa!!!!!!!Tutawapata je vijana wa kulinda taifa letu ?????????
 
Wajinga sana hawa watu...
Ukute majumbani kwao hawana hata vitanda au watoto wao wanasumbuka hawana vitabu vya shule...
Huu ulimbukeni si wa kuufungia macho...

Asee, wachache saaana, chunguza walevi wa hii kitub(bia) wengi wanakuwa na maisha mazuri na watoto wao wanasoma vizuri tena shule nzuri na wanafanya kazi...chunguza kwanza mkuu kwa makiiiiini
 
Asee, wachache saaana, chunguza walevi wa hii kitub(bia) wengi wanakuwa na maisha mazuri na watoto wao wanasoma vizuri tena shule nzuri na wanafanya kazi...chunguza kwanza mkuu kwa makiiiiini

Yeah, you are very right..nadhani jamaa amechanganya na walevi wa komoni na ugimbi

Kuna mmoja anasema wahaya ndo wana tabia hizi..wanakunywa saana na watoto wao wanavaa makaptula yenye matobo skuli...nimemwambia mhaya mwenye hela ya kunywa namna hii basi mtoto wake atakuwa International School (ingawa nadhani kiusahihi ni English Medium School) au atakuwa anasoma abroad sasa huko kaptula yenye matobo huwezi pita hata getini!!!!!
 
Naona humu ndani watu wengi wamezoea maisha ya daily dukani kununua robo ya sukari, majani ya 50/=, maharage robo, nyama robo (na fridge lipo) kiberiti kimoja, nusu ya mchele, robo ya unga..mafuta kipimo kimoja nk..wakati pesa ipo ya kutosha na kesho watakula tena....hawa utadhani wanapenda watu wawaone daily wanafanya manunuzi

kama kitu sio perishable kwa nini usichukue stock ya kutosha ukaweka ndani??? kwanza hii ni nzuri kwa budget na inasave wakati wa miezi dume, if you know what I mean

Lakini kama nilivyotangulia kusema...haters huwa hawakosi lawama...kama hawa jamaa wangeagiza bia moja kila baada ya dakika mbili..kuna majirani zao hapo bar wangelalama jamaa wanajifanya wana speed kubwa ya ku-order kilaji!!!!!
 
Sasa home stuffs na bia bar wapi na wapi? Umesema mwnyw kuna sababu ya kua na stock ya vitu hom. Sababu ya kupanga kreti zima mezani ni nini?? Ingekua enzi zile wakati bia ni shida hapo sawa, au kama wameenda kwny mabwalo ya jeshi (huko bei ni rafik kdg) nako inakubalika lkn kwny bar za kawaida kitaani, sababu za msingi hakuna, hata ujitahidi kutetea vp. All in all its their cash, for whatever reasons its okey for them lkn hadi kuipost jf then you knw the reason....
 
Back
Top Bottom