Wordplay '' BAR & BRA" 😂😂😂

Wordplay '' BAR & BRA" 😂😂😂

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,416
Reaction score
56,155
Tofauti kati ya "BAR" na "BRA" ni nafasi tu ya herufi "R". Ukifungua BAR, wanaume husherehekea. Ukifungua BRA, baadhi ya wanaume hupagawa. 😅 Sasa hebu fikiria ukitoka na msichana mzuri anayeitwa "BARBRA"! Kila mtu akilitaja jina lake, ubongo wako unashindwa kuamua kama uagize kinywaji au uondoke na huyo msichana i! 😂🍻
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom