Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

Unaamini MAPOKEO zaidi kuliko BIBLIA TAKATIFU.

Umeona SIKUKUU ZA WATAKATIFU zimetajwa wapi katika BIBLIA TAKATIFU?

Wapi cheo cha PAPA kimetajwa kwenye BIBLIA TAKATIFU?

Aliyekwambia DHEHEBU lenyewe watu wengi duniani ni la KWELI ni nani?

Wingi wa DHEHEBU kuwa na WAFUASI WENGI si kigezo cha kuwa la KWELI, Wala si kigezo cha KUIONA MBINGU.
"Ingieni kwa kupitia mlango ulioMWEMBAMBA; maana MLANGO ni MPANA, na njia ni PANA iendayo upotevuni, nao ni WENGI WAINGIAO kwa MLANGO huo, na njia IMESONGA iendayo uzimani, nao WAIONAO ni WACHACHE". [Mathayo 7:13-14]

"Nanyi mtaifahamu hiyo KWELI; nayo KWELI itawaweka HURU" [YOHANA 8:32].
mgen
 
"Nanyi mtaifahamu hiyo KWELI; nayo KWELI itawaweka HURU" [YOHANA 17:17].
mgen
We nae nimekufuatilia kwenye huu uzi naona huna hoja. We ni tabularasa tu hakuna kitu unajua wewe
 
Licha ya kuwa na nidhamu Lakin hasara waliyo nayo Ni kuwa kwenye ukafiri
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Msabato bila shaka
 
We nae nimekufuatilia kwenye huu uzi naona huna hoja. We ni tabularasa tu hakuna kitu unajua wewe
"AKILI" iliyokutuma kutambua kwamba sina hoja, Kwanini AKILI hiyo hiyo isikutume kuona kuwa "UNALISHWA MAPOKEO" na "MATANGOMWITU" hapo unapoabudia!?!!

Kwanini AKILI yako isikutume kuona UNACHOFUNDISHWA kiko tofauti na Hakiendani na MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBLIA TAKATIFU!?!!

Maneno matupu hayafai twende kwa Maandiko Matakatifu ya BIBLIA TAKATIFU.

"Uwatakase kwa ile KWELI; na NENO lako ndiyo KWELI" YOHANA 17:17.

USIAMINI MAPOKEO KULIKO BIBLIA TAKATIFU.

8. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
9. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu". [MATHAYO 15:8-9]
 
Kikubwa ni wote ni wakristo na tunatumia bible moja na ni wafuasi wa Jesus basi hakuna tatizo mimi nashangaaga sana udhehebu kwa sisi wakristo yaani huwa sielewi kabisaaa mimi mluther but nikienda nje ya nchi nikiona luther lipo mbali huwa nasali hata katoliki bila chenga
 
Sasa ni zamu ya shekhe Alhad Musa kupambana na Gwajima,Gwajima hawezi kuliacha ili jambo lipite kimya kimya
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Sio kila cheo katika ukristo lazima kitajwe sawa sawa na maandiko. Lugha hubadilika kulingana na nyakati (language is dynamic), lakini maana ni ileile. Sio kweli kuwa maaskofu hawakutajwa katika biblia. Mapadre na maaskofu katika biblia ndio makuhani na makuhani wakuu (rejea kitabu cha Walawi).
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Unajua maana ya Ukristo? Tafuta na upate kujua kwa yakini maana ya Ukristo/Mkristo Kibiblia halafu uje urudie kusoma ulichoandika uone kama kina mantiki au la.
 
Mapungufu mengi ya katoliki na utata mwingi wa ibada zao , ndio umezaa madhehebu mengne kidgo Lutheran , angalican na wasabato hawana utata mwingi japo upo , Ila hawa wengne qa uhamsho wanaaibisha kabisa ukristo wa kweli
 
Nimekuuliza Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
Unaleta mafungu na blabla...
Kwani Aliye kudanganya Ukatoliki ni Jengo nani??

Huu Ndio Ukatoli jee ni Majengo??

NGUVU YA KANISA KATOLIKI DUNIANI.

Ukitaka kuona Nguvu ya kanisa katoliki duniani angalia tu mambo machache ambayo yameasisiwa ndani ya kanisa hili takatifu la mitume wa Yesu Kristo na mambo hayo yanafanywa na kufuatwa na madhehebu yote na dini zote, serikali zote na falme zote.

1. CALENDER YA GREGORIAN

Hii ndio kalenda inayotumika duniani kote, kwenye dini
zote na madhehebu yote.Hii ndio calendar inayopanga mipango yote kwa kipindi chote cha mwaka katika makampuni,serikali,taasisi na na watu binafsi.Kalenda hii iliasisiwa PAPA Gregory wa Kanisa katoliki,hii ndio calendar rasmi kwa mataifa yote na taasisi zote hata sasa hivi ww usomaye hapa uwe msabato au mwislamu simu yako inatumia system ya Gregorian Calendar.

2.
JUMAPILI
Najua hapa utabisha,achilia mbali swala la kuabudu katika siku hii,ila ukweli ni kwamba hii ndio siku pekee ambayo dunia mzima inakuwa mapumzikoni katika weekend.Hii ndio siku pekee ambayo karibia asilimia 80 ya ofisi zote duniani,mashule, makampuni n.k yanafungwa kwa ajili ya mapumziko ya weekend.
Waislamu husali siku ya Ijumaa lakini mashule* yanafungwa,maofisi, watu wanakuwa home wamerelax? Hali kadhalika na jumamosi vile vile.Ila ifikapo jumapili dunia mzima inapumzika nyumbani, Jumapili ni zao la kanisa katoliki na inaheshimiwa duniani kote kwa serikali zote na watu wote

3. SIKUKUU YA MTAKATIFU YOSEFU,SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Kila Mei Mosi,kanisa katoliki duniani kote huadhimisha sikukuu ya
mtakatifu YOSEFU MFANYAKAZI,huyu ndio yule mume wa Maria na Baba mlishi wa Yesu Kristo,makala kuhusu sikukuu hii ipo kwenye page ya Mkatoliki Imara . Sikukuu hii imechukuliwa kama ilivyo na serikali zote ulimwenguni na imekuwa ikitambulika kama Public Holiday.Yaani hata leo hii Rais Mama Samia anahutubia wafanyakazi wote Tanzania kupitia siku hii iliyoasisiwa na kanisa katoliki.Hata wewe leo hii kama ingekuwa sio weekend usingeenda kazini wala hutapata huduma maofisini kwa sababu ya sikukuu hii ya YOSEFU MFANYAKAZI

4. PAPA NA BALOZI WAKE.

Huyu ndio kiongozi pekee wa kidini ambaye ana ofisi ya balozi wake karibia kila nchi duniani,na balozi huyu anatambulika rasmj na serikali za nchi mahalia.Pia hili ni kanisa ambalo makao yake makuu kuna ofisi za mabalozi wa nchi mbalimbali.Kiongozi wa Kanisa hili akienda nchi yoyote ile duniani huwa anapewa heshima ya kipekee zaidi ya kiongozi yoyote yule awe wa kidini au kiserikali.Hii ni nguvu na ushawishi wa kanisa katoliki duniani.

5. BIBLIA
Hili ndio kanisa la kwanza kabisa kuratibu na kuanzisha uandishi wa Biblia.Mtakatifu Jerome ndiye mtu wa kwanza kuandika biblia.Ikumbukwe *kwamba Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya maandiko ya Mungu.Kwahiyo kazi hii ya kukusanya vitabu hivi na kuvipangilia kwa mpangilio huu unaotumika hadi
sasa ulifanywa na kanisa katoliki.Madhehebu yote duniani wanafurahia kazi hii takatifu iliyofanywa na Kanisa katoliki kupitia kwa mtakatifu wake Jerome.

HESHIMA HII YA KIPEKEE HUPATIKANA TU IKIWA KANISA LINAONGOZWA NA ROHO WA MUNGU.

Madhehebu yote yamezaliwa na katoliki baada ya kuwa na utata mwingi katika mafundsho ya katoliki
 
Mapungufu mengi ya katoliki na utata mwingi wa ibada zao , ndio umezaa madhehebu mengne kidgo Lutheran , angalican na wasabato hawana utata mwingi japo upo , Ila hawa wengne qa uhamsho wanaaibisha kabisa ukristo wa kweli
Wanaaibidhaje kiongozi
 
Sio kila cheo katika ukristo lazima kitajwe sawa sawa na maandiko. Lugha hubadilika kulingana na nyakati (language is dynamic), lakini maana ni ileile. Sio kweli kuwa maaskofu hawakutajwa katika biblia. Mapadre na maaskofu katika biblia ndio makuhani na makuhani wakuu (rejea kitabu cha Walawi).
Cheo cha uaskofu kimetajwa ktk vitabu vya agano jipya hasa ktk maandiko ya Paulo. Ameelezea sifa za mtu anayefaa kuwa askofu, kama kuwa na mke mmoja n.k. Sambamba na cheo hicho kuna cheo cha ushemasi.

Cheo cha padre kina maana tofauti kidogo na vyeo vya uaskofu na ushemasi. Maana ya neno Padre ni Baba. Ndiyo maana wakatoliki huwaita pia hao mapdre "father".

Kwenye Ukristo hasa kwa mujibu wa biblia..hakuna cheo cha kiongozi wa dini kijulikanacho kama Baba/padre/father. Hasa ukizingatia kuwa Yesu mwenyewe alipiga marufuku jina hilo kuitwa waumini pale aliposema...msimuite mtu yeyote baba duniani, kwa maana Baba yenu ni mmoja, Mungu aliyeko heaven.

Kwa hiyo viongozi waitwao mapadre ni viongozi wa kidini..ila jina wanaloitwa liko kinyume na maandiko. Ingetosha wao kuitwa shemasi, askofu, mtume, nabii, mwalimu, pastor n.k.

Hata hili la priest nalo halimfai kiongozi yoyote kwa sasa...kwa vile kwa sasa kuhani wetu ni mmoja tu, ndiye Kristo Yesu. Wale makuhani wa zamani ktk agano la kale walimuwakilisha Yesu ktk huduma aifanyayo sasa mbinguni kama muombezi wetu.
 
Unaamini MAPOKEO zaidi kuliko BIBLIA TAKATIFU.

Umeona SIKUKUU ZA WATAKATIFU zimetajwa wapi katika BIBLIA TAKATIFU?

Wapi cheo cha PAPA kimetajwa kwenye BIBLIA TAKATIFU?

Aliyekwambia DHEHEBU lenyewe watu wengi duniani ni la KWELI ni nani?

Wingi wa DHEHEBU kuwa na WAFUASI WENGI si kigezo cha kuwa la KWELI, Wala si kigezo cha KUIONA MBINGU.
"Ingieni kwa kupitia mlango ulioMWEMBAMBA; maana MLANGO ni MPANA, na njia ni PANA iendayo upotevuni, nao ni WENGI WAINGIAO kwa MLANGO huo, na njia IMESONGA iendayo uzimani, nao WAIONAO ni WACHACHE". [Mathayo 7:13-14]

"Nanyi mtaifahamu hiyo KWELI; nayo KWELI itawaweka HURU" [YOHANA 8:32].
mgen
We hujui kwamba pia bibilia ni mapokeo? alafu unajua bibilia ilikamilika lini? almost miaka miatano baada ya Kristu, alafu na hapo kuipata ilikuwa lazima ujue kusoma na pia uwe na utajiri kupata copy yake. Kitu kilichofanya watu wengi kutokuifaham. Sasa swali la kujiuliza, wakristu wa mwanzo walikuwa wanaabudu vipi? kwa kutumia miongozo ipi? Ukifaham hayo hutokaa ubeze mapokeo matakatifu, Sacred tradition. Soma 2 thesalonians 2:15. Kanisa ni katoliki tu. Na ni moja. Hayo mengine ndio madhehebu yaliyomeguka kwenye Kanisa.
 
[1] 2THESALONIKE 2:15, "Imeitaja ROMAN CATHOLIC?

Pameandikwa ROMAN CATHOLIC Ni dhehebu la kweli hapo!?!!

Acha kupotosha Maandiko Matakatifu.

YOHANA 8:32, "Tena mtaifahamu ile "KWELI", nayo hiyo "KWELI" itawaweka huru".

Hujui kutofautisha kati ya "BIBLIA TAKATIFU" na "MAPOKEO"?

"MAPOKEO" ni nini? => MATHAYO 15:8-9.
8. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
9. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho yaliyo MAAGIZO ya WANADAMU."

KWELI ni=>
YOHANA 17:17, "Uwatakase kwa ile KWELIi; neno lako ndiyo KWELI.

BIBLIA TAKATIFU ni nini?
2 PETRO 19-21,
19. "Nasi tuna lile NENO la unabii lililo imara zaidi, ambalo mkiliangalia kama taa ing'aayo gizani..mpaka kutakapopambazuka na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

20. Mkijua NENO hili kwanza ya kwamba hakuna UNABII katika MAANDIKO upatao KUFASIRIWA kama apendavyo mtu.

21.Maana UNABII haukuletwa popote kwa MAPENZI YA WANADAMU; bali wanadamu walinena yale yaliyota kwa MUNGU wakiongozwa na Roho Mtakatifu".
fluid
 
1)Unajua maana ya chuki?
2)Nani alikwambia kuwa mtu akipinga unachokiamini basi anachukia?
3)usisubiri kuambiwa na watu ndio ujione intelligent
4)kanisa katoliki limeingi mambo yafuatayo, (hapa chini) ambapo wale ambao hamuhoji mmeaminishwa kuwa ndio intelligent ila wanaohoji wanaonekaka wajinga.
-ibada za sanamu
-ndoa za jinsia moja
-taasisi ya utawa
Ninavyojua mimi, viashiria vya awali juu ya intelijensia ya mtu yeyote duniani ni uwezo wake wa kuhoji na maamuzi, sasa kama kanisani kwako umeletewa mafundisho yasiyoshabihiana na biblia, badala ya kuhoji umekalia tu kulialia eti watu wanawachukia (hasa wakristo wasio wakatoliki) hauoni kama umefungwa akili huku miguu inatembea? Amka mwana wa adam,
*Not everything you read on the internet is true, you've got to use you common sense
Na hayo nayo ni msomi yako
 
Back
Top Bottom