Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

Majivu123

Member
Mar 29, 2021
93
125
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Pamoja na kashfa zote zinazoikumba Vatican? Acheni kuudhalilisha ukristo kwa kauli zenu Kama hizi..by the way njia pekee ya kukupeleka peponi ni kufanya yaliyo mema na kushika amri kuu za Mungu...
 

fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
315
250
Ndo maana nakwambia wewe ni mvivu wa kusoma. Eti Yesu aliibadili "Yeye Alisema atayezishika Amri zangu" na moja wapo ni kuishika siku ya sabato... Ukitaka kubadili hiyo siku mwambie Mungu aumbe upya Dunia.
Halafu eti waita kikaratasi... Ndo maana nakwambia usiwe mvivu kama watoto wa Mudy.... Nenda kasome VITABU VYENU mlivyoandikiwa na makadinali wenu na vikasainiwa na Papa wenu huyo ambae mna sema ndo kaachiwa funguo duniani usikae na uoga wa kujua ukweli. Toka kwenye box kijana. Kasome tena matendo ya mitume yoooote uone lini walisali J2???? Akina petro na wenzake....kamsome Paul pia uone lini alisali J2. Na pia nipe kifungu ambao Yesu Alisema kuanzia Sasa nimebadili siku ya sabato....kitabu chenu kiko wazi kuwa mliibadili nyie miaka 300 later.... Na kama ulikuwa hujui ndo ujue. Usiwe mvivu
eti council ya Laodiccia we bwana ndio mvivu nakupa link ujaribu kusoma kwanza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom