Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
1,181
2,000
Wewe ndio hujawahi. Huna haya mtu mzima unaropoka vitu huna hakika. Unashuhudia uongo kabisa. Leta evidence. page, yani watanzania bana , unakuta mtu anajifanya anajua jambo na analishupalia utadhani kweli. Kumbe anaishi kwa chuki tu. Catechism ungejua maana yake wewe wala usingeandika huo utopolo maana unatia aibu. Jaribu kujiridhisha au fanya research usikubali kujazwa conspiracy theories. Do some research juu ya kanisa. Ata mimi kabla sijawa mkatoliki nilikuwa na dhana nyingi sana potofu, ila nikaamua kwenda chimbo na sikurudi tena nyuma.
Hilo ni kitabu Muongozo chenu kinase a hivyo. Wewe unakataaje.
Screenshot_20211005-134851.jpg
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,154
2,000
Kanisa ni moja tu. TAKATIFU, KATOLIKI LA MITUME
Ndio ulicho karirishwa huna point..brainwashed creature..endelea kuabudu upagani wa waroma na mapokeo ya mizimu yao kwa jina la watakatifu..hakuna wokovu huko.

#MaendeleoHayanaChama
 

AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
1,181
2,000
Hiki kitabu aliandika Yesu au binadamu kama wewe? Hivi nikikuletea kitabu alichoandika sheikh Ponda what do you expect to read in.
Kitabu kimeandikwa na wa katoliki wenzako unao waabudu walioko Roma. Na Papa akadondoka masignature. Tatizo mna uoga wa ukweli ndio shida yenu. Ingia library zenu usome Acha uvivu. Ukweli utakuweka huru.
 

AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
1,181
2,000
1.

Kanisa haliabudu sanamu. Wakristo wa kwanza walikuwa wanasali sunday. Hakuna anayeabudu watakatifu. embu ingia ata google basi uondoe ujinga kidogo kwenye source za maana.
Ukishahadithiwa nenda kakae library zenu usome. Msiwe kama watoto wa Mudy maana wao ndo Wanapenda kuhadithiwa zaidi. Siku mliibadili nyingi miaka 300plus huko mbele na mmeandika wenyewe kwa ajili ya wakatoliki wote ulimwenguni kama Muongozo. Sema wavivu wa kusoma hiyo ndo shida ya mtu mweusi.....kaa usome na ufungue huo ubongo usibaki kwenye box moja tu. Get out of Matrix!!!
Screenshot_20211006-095558.jpg
 

morphine

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
3,416
2,000
mleta mada tuliza akili, umeweka title kama wamiliki wa account za youtube wakitafute views. Sentensi ni ya kawaida na moja ya kiini ni "nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao".

Hakika ziko ishara kwa wanaotafakari. Tambua hili.
 

fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
250
250
Ndo nini sasa hicho umeandika?
Ukishahadithiwa nenda kakae library zenu usome. Msiwe kama watoto wa Mudy maana wao ndo Wanapenda kuhadithiwa zaidi. Siku mliibadili nyingi miaka 300plus huko mbele na mmeandika wenyewe kwa ajili ya wakatoliki wote ulimwenguni kama Muongozo. Sema wavivu wa kusoma hiyo ndo shida ya mtu mweusi.....kaa usome na ufungue huo ubongo usibaki kwenye box moja tu. Get out of Matrix!!! View attachment 1965024
Sikiliza wewe msabato au whatever you are. Acha kubebebeshwa conspiracy na mawakala wa shetani. The father of lies. Yani hicho ki app ulichoscreenshot sio Catechism kwanzia spelling mpaka content. Yani catechism ya kina Hellen G White. Hivi unaijua catechism sawasawa? suala la kuabudu siku ya kwanza ya juma yani sunday lilianza wakati wa Yesu soma Luka 24:51, Yesu alifufuka on sunday, alipaa on sunday, na alikuwa anatokea siku ya kwanza ya juma. Wakristo wa kwanza wote walikuwa wanasali jumapili. Sabato ya wayahudi inaheshimiwa lakini Yesu aliitengua. Msijichanganye. Wakristo wote misa yani breaking of bread walivokuwa wanaita zama hizo ambayo ndio kanisa kila jumapili wanafanya ilikuwa inafanyika hivo. Na sio council gani sijui umetoa wapi huo uzushi eti ndio iliyobadilisha siku. Soma acha uvivu alafu soma ukiwa huna bias yoyote kwenye source credible. Sio unasoma mambo ya Kanisa katoliki kwa wasabato alafu unategemea waandike nini? Wakati waasisi wao tu ni waongo.
 

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,781
2,000
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Ukiona adui anakusifia jitafakari
 

AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
1,181
2,000
Ndo nini sasa hicho umeandika?

Sikiliza wewe msabato au whatever you are. Acha kubebebeshwa conspiracy na mawakala wa shetani. The father of lies. Yani hicho ki app ulichoscreenshot sio Catechism kwanzia spelling mpaka content. Yani catechism ya kina Hellen G White. Hivi unaijua catechism sawasawa? suala la kuabudu siku ya kwanza ya juma yani sunday lilianza wakati wa Yesu soma Luka 24:51, Yesu alifufuka on sunday, alipaa on sunday, na alikuwa anatokea siku ya kwanza ya juma. Wakristo wa kwanza wote walikuwa wanasali jumapili. Sabato ya wayahudi inaheshimiwa lakini Yesu aliitengua. Msijichanganye. Wakristo wote misa yani breaking of bread walivokuwa wanaita zama hizo ambayo ndio kanisa kila jumapili wanafanya ilikuwa inafanyika hivo. Na sio council gani sijui umetoa wapi huo uzushi eti ndio iliyobadilisha siku. Soma acha uvivu alafu soma ukiwa huna bias yoyote kwenye source credible. Sio unasoma mambo ya Kanisa katoliki kwa wasabato alafu unategemea waandike nini? Wakati waasisi wao tu ni waongo.
Ndo maana nakwambia wewe ni mvivu wa kusoma. Eti Yesu aliibadili "Yeye Alisema atayezishika Amri zangu" na moja wapo ni kuishika siku ya sabato... Ukitaka kubadili hiyo siku mwambie Mungu aumbe upya Dunia.
Halafu eti waita kikaratasi... Ndo maana nakwambia usiwe mvivu kama watoto wa Mudy.... Nenda kasome VITABU VYENU mlivyoandikiwa na makadinali wenu na vikasainiwa na Papa wenu huyo ambae mna sema ndo kaachiwa funguo duniani usikae na uoga wa kujua ukweli. Toka kwenye box kijana. Kasome tena matendo ya mitume yoooote uone lini walisali J2???? Akina petro na wenzake....kamsome Paul pia uone lini alisali J2. Na pia nipe kifungu ambao Yesu Alisema kuanzia Sasa nimebadili siku ya sabato....kitabu chenu kiko wazi kuwa mliibadili nyie miaka 300 later.... Na kama ulikuwa hujui ndo ujue. Usiwe mvivu
 

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,479
2,000
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Lini Papa aliunga mkono mashoga? Au wewe ni shoga?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom