Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Bila Kanisa Katoliki:
  • Ukristo usingeenea Duniani
  • Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
  • Ukristo usingeheshimika
  • UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.

Karibuni tujadili kwa hoja

NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa

Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie
 
Kanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi.

Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Bila Kanisa Katoliki:

Ukiristo usingeenea Duniani

Wakiristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Ukiristo usingegeshimika

UKIRISTO ungefutika na dini nyingine ingetawala

Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi wa Ukiristo

Ili kupambana na Ukiristo lazima kwanza upambane na kuushinda Ukatoliki

Karibuni tujadili kwa hoja

NB: lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Umesahau kuwa huo ukristo wako hata uislam ndo dini zilizotenda maovu hakuna mfano. Rejea ukristo ulivyotumika kueneza ukoloni Afrika mbali na yale mauaji yake ya inquisition yaliyoua maelfu ya watu kikatili huko ulaya. Rejea vita ya badr na upuuzi mwingine mwingi wa kidini mbali na ulawiti unaoendelea, unyakuzi wa ardhi, udumazaji akili za watu wetu, wizi wa majina asilia, kukandamiza mila asilia, kutoza watu fedha na kuwasababishia umaskini na mengine mengi.
 
Kanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi. Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
Catholic ilizaaje Uislam?
 
Haya Ni maoni yako,,,,au kwa mujibu wa vitabu?
Kwani wewe umeandikwa katika kitabu gani hadi upate uhalali wa kuwa halisi? Kama unaijua historia ya ukoloni, ukristo na uislam, hutakuwa na guts ya kuuliza majibu kama haya. Nashauri uulize maswali mwanangu
 
Uikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.
Ndo ukweli wenyewe japo mchungu mwanangu. Ndiyo maana ukristo hauutambui uislam lakini uislam unautambua na kuuheshimu ukristo. Ndizo sifa za mzazi na mtoto. Angalia hata waganganjaa wa mihadhara. Mara nyingi hutumia biblia kufanya biashara yao lakini si quran.
 
Ndo ukweli wenyewe japo mchungu mwanangu. Ndiyo maana ukristo hauutambui uislam lakini uislam unautambua na kuuheshimu ukristo. Ndizo sifa za mzazi na mtoto. Angalia hata waganganjaa wa mihadhara. Mara nyingi hutumia biblia kufanya biashara yao lakini si quran.
Hapana,,,hapana,, hapana.
 
Back
Top Bottom