ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,160
- 706
Uzi kama huu unashushaa hadhi ya mtu na kuonesha jinsi uwezo wa kudadavua mambo ulivyo chini ya kiwango.
Ukosee afu useme umekuwa msikivu badala ya kuomba msamaha?...
yap!
Hajui hata anafanya nini?Tena kubwa kabisa
KabisaSisi hatutaki tozo yoyote!
Kwa hiyo mtu yoyote aliye na income bado anakuwa hajalipia income tax, siyo? mbona wafanyakazi wanakuwa wamekatwa PAYE kabla hata hawajapata mshahara wenyewe. Msitake kuleta ujanja ujanja kuhalalisha upigaji, kwenye kutuma pesa kupitia benki kinachotozwa ni bank charges......kwa hiyo benki ndo inakuwa imefanya biashara hivyo serikali inatakiwa wakusanye kodi kutoka kwenye benki na siyo mtu aliyetuma pesa.Hiyo ni income unayo na anapokea so kodi lazima.Kwani remittances huwa hazikatwi kodi?
Tuma pesa kwa ndugu yako yoyote nje ya nchi uone kama hakatwi kodi both sides afu uje utuambie ni biashara gani umefanya.
ATM unapokatwa huwa ni biashara gani umefanya?
Kiwango cha kufikili bado kiko chini.Waliofanya hivyo ni Bunge Mama karudisha furaha kwa kukataa yalipitishwa na Bunge,
Ndio na nyie mlipe kodi kwa income zenu hizo.Hii kodi uwe mfanyakazi au mkulima ni unalipa.Kwa hiyo mtu yoyote aliye na income bado anakuwa hajalipia income tax, siyo? mbona wafanyakazi wanakuwa wamekatwa PAYE kabla hata hawajapata mshahara wenyewe. Msitake kuleta ujanja ujanja kuhalalisha upigaji, kwenye kutuma pesa kupitia benki kinachotozwa ni bank charges......kwa hiyo benki ndo inakuwa imefanya biashara hivyo serikali inatakiwa wakusanye kodi kutoka kwenye benki na siyo mtu aliyetuma pesa.
Wewe ni mpambe wa nani?Hahahahaha maisha yanakwenda kasi sana ghafla Samia kaja na wapambe wake na wale wa JIWE kibarua kuota nyasi teh teh teh wako wapi akina YEHODAYA Barbarosa jingalao Kinuju Crimea Simiyu Yetu Kijogoodi MsemajiUkweli Magonjwa Mtambuka Kawe Alumni @woshi ni ubi na wajinga wengine from Lumumba?
Hameni nchi mkuu, Mwigulu alisema muende Burundi .Sisi tulikua hatuzitaki kabisa hizo TOZO
Tanzania ya viwandaHamza tu ndio wamekataa kumwita shujaa!