Uzi kama huu unashushaa hadhi ya mtu na kuonesha jinsi uwezo wa kudadavua mambo ulivyo chini ya kiwango.

Ukosee afu useme umekuwa msikivu badala ya kuomba msamaha?...

Waliofanya hivyo ni Bunge Mama karudisha furaha kwa kukataa yalipitishwa na Bunge,
 
Tuache kuwa wajinga. Watu milioni 60 hatuwezi wote kuwa wajinga. Swali la msingi la kujiuliza ni hili. Ni Rais gani aliyeleta hayo makato - Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete ama Magufuli?

Kama ni mmoja kati ya hao, basi Samia apongezwe sana. Lingine ni serikali ya chama gani? Je, Ni UDP, NCCR, ACT, CHADEMA, CUF, NRA? Kama ni moja kati yao, basi CCM wapongezwe sana kwa hili punguzo.
 
Kwanini asingepunguza tu toka katika tozo ya serikali hata kwa 90%? Kupunguza 10% toka kwa fee ya makampuni inaenda kuathiri kipato cha watz waliojiajiri kama mawakala kamisheni zao zitapungua sana.
 
Issue sio kuounguzwa zunatakiwa kutolewa kabisa kwani mwanzo wa Utawala wa Mkapa Kikwete na mwenda zake ilikuwaje?
 
Hiyo ni income unayo na anapokea so kodi lazima.Kwani remittances huwa hazikatwi kodi?

Tuma pesa kwa ndugu yako yoyote nje ya nchi uone kama hakatwi kodi both sides afu uje utuambie ni biashara gani umefanya.

ATM unapokatwa huwa ni biashara gani umefanya?
Kwa hiyo mtu yoyote aliye na income bado anakuwa hajalipia income tax, siyo? mbona wafanyakazi wanakuwa wamekatwa PAYE kabla hata hawajapata mshahara wenyewe. Msitake kuleta ujanja ujanja kuhalalisha upigaji, kwenye kutuma pesa kupitia benki kinachotozwa ni bank charges......kwa hiyo benki ndo inakuwa imefanya biashara hivyo serikali inatakiwa wakusanye kodi kutoka kwenye benki na siyo mtu aliyetuma pesa.
 
Bado tatizo lipo. Huwezi ukamtoza mtumaji na mpokeaji pia. Hata kwenye sheria za kodi, huwezi expense ukaitoza kodi, kinachotozwa kodi ni mapato, Hivyo mtumiwaji ndiye alipaswa kulipa kodi pale anapotoa, si mtumaji maana huyu kwake ni gharama.
Ok umepunguza tozo ya miamala , mafuta yamekuwaje?
 
Waliofanya hivyo ni Bunge Mama karudisha furaha kwa kukataa yalipitishwa na Bunge,
Kiwango cha kufikili bado kiko chini.

Nikusaidie.

1. Hata kama imepitishwa na bunge haiwezi fanya kazi hadi isainiwe na Rais.
2. Bunge lilipitisha sheria ya tozo ila haikupitisha kiwango cha tozo. Hivyo kiwango cha tozo kinaandaliwa na serikali akiwemo Waziri na Rais.
 
Kwa hiyo mtu yoyote aliye na income bado anakuwa hajalipia income tax, siyo? mbona wafanyakazi wanakuwa wamekatwa PAYE kabla hata hawajapata mshahara wenyewe. Msitake kuleta ujanja ujanja kuhalalisha upigaji, kwenye kutuma pesa kupitia benki kinachotozwa ni bank charges......kwa hiyo benki ndo inakuwa imefanya biashara hivyo serikali inatakiwa wakusanye kodi kutoka kwenye benki na siyo mtu aliyetuma pesa.
Ndio na nyie mlipe kodi kwa income zenu hizo.Hii kodi uwe mfanyakazi au mkulima ni unalipa.

Wafanyakazi wanakatwa kwa sababu ni rahisi kuwakata sio nyie mnaokwepa kodi
 
Bado tatizo lipo pale pale ... serikali ilitakiwa kuondoa hii tozo au kuipunguza kwa asiliamia 60 na si kutudanganya kuwa na makampuni yamekubali kushusha tozo kwa asilimia 10 wakati tunajua fika wamewabana na watakao athirikia ni wale mawakala walio jiajiri na ni vijana wengi maana ukweli ni kwamba commission kwa mawakala itapungua tofauti na mwanzo... kwa hiyo kifupi bado wameongeza tatizo lingine.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom