Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ndio maana unachanganya mafundisho ya quraan na kufikiri ni biblia. Hakuna sehem inayotoa ruhusa ya jinsia moja kuoana. Biblia iko wazi kuwa hukum yao ni ziwa liwakalo moto. So ukiona vitu vya hivyo jua ni mafundisho ya mashetani kama ilivyo kuraan tu na Sio ukristo.

Mbona mnawapa utakatifu mashoga?
 
Umechanganyikiwa kama huyo kiumbe unayemuabudu ??


Do we really want to entrust our souls to a man who had a disciple who ran around with nothing but a towel on?” (John 21:7)
Soma na uelewe acha kudangwanywa uko madrasa,
John
21 Baada ya haya Yesu alijitambulisha tena kwa wanafunzi wake kando ya bahari ya Tiberia. Ilitokea hivi: 2 Simoni Petro, Tomaso aitwaye Pacha, Nathanaeli wa Kana ya Galilaya, wana wa Zebedayo na wanafunzi wengine wawili walikuwa pamoja. 3 Simoni Petro aka waambia wenzake, “Mimi nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Tutakwenda pamoja nawe.”

Wakatoka, wakaingia ndani ya mashua. Lakini usiku ule hawakupata cho chote. 4 Kulipopambazuka, Yesu alisimama ufukoni, lakini wale wana funzi hawakumtambua. 5 Yesu akawaambia, “Wanangu, mmepata samaki wo wote?” Wakamjibu, “La.” 6 Akawaambia, “Shusheni wavu upande wa kulia wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.” Walivyofa nya hivyo walipata samaki wengi mno hata wakashindwa kuingiza ule wavu uliojaa samaki katika mashua!

7 Kisha yule mwanafunzi ali yependwa na Yesu akamwambia Petro, “Ni Bwana!” Petro aliposikia haya akajifunga nguo yake, kwa kuwa alikuwa amevua wakati wakifa nya kazi, akajitosa baharini, akaogelea kuelekea ufukoni. 8 Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakivuta ule wavu uliojaa samaki.

Hapo walipokuwa wakivua hapakuwa mbali na nchi kavu; ilikuwa kama hatua mia moja hivi.
 
Soma na uelewe acha kudangwanywa uko madrasa,
John
21 Baada ya haya Yesu alijitambulisha tena kwa wanafunzi wake kando ya bahari ya Tiberia. Ilitokea hivi: 2 Simoni Petro, Tomaso aitwaye Pacha, Nathanaeli wa Kana ya Galilaya, wana wa Zebedayo na wanafunzi wengine wawili walikuwa pamoja. 3 Simoni Petro aka waambia wenzake, “Mimi nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Tutakwenda pamoja nawe.” Wakatoka, wakaingia ndani ya mashua. Lakini usiku ule hawakupata cho chote. 4 Kulipopambazuka, Yesu alisimama ufukoni, lakini wale wana funzi hawakumtambua. 5 Yesu akawaambia, “Wanangu, mmepata samaki wo wote?” Wakamjibu, “La.” 6 Akawaambia, “Shusheni wavu upande wa kulia wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.” Walivyofa nya hivyo walipata samaki wengi mno hata wakashindwa kuingiza ule wavu uliojaa samaki katika mashua! 7 Kisha yule mwanafunzi ali yependwa na Yesu akamwambia Petro, “Ni Bwana!” Petro aliposikia haya akajifunga nguo yake, kwa kuwa alikuwa amevua wakati wakifa nya kazi, akajitosa baharini, akaogelea kuelekea ufukoni. 8 Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakivuta ule wavu uliojaa samaki. Hapo walipokuwa wakivua hapakuwa mbali na nchi kavu; ilikuwa kama hatua mia moja hivi.

Mbona mnakimbia maswali yangu?
Hivi huyu anayesema hayo ni Nani?
 
“Wanadamu walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:21)
Roho Mtakatifu wa kanisa lipi? Kwani kila mmoja anajiona anaongozwa na RM na Yuko sawa , wengine wako wrong 😜 😜

By the way huyo anayesema hapo mbona Yesu kamwita ni Shetani? Au kanisa lako linamwona ni malaika?
 
Apo ambacho huelewi ni nini

Mark 14
45 Kwa hiyo Yuda alipofika, alimwendea Yesu akamwambia, “Mwalimu,” akambusu. 46 Wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi. 47 Lakini mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo aka chukua upanga akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 48 Kisha Yesu akasema, “Mbona mmekuja kunikamata kwa mapanga na marungu? Kwani mimi ni jambazi? 49 Siku zote nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni wala hamkunikamata. Lakini Maandiko lazima yatimie. ” 50 Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia. 51 Kijana mmoja aliyekuwa amevaa shuka tu alikuwa akimfuata Yesu. Walipomkamata, 52 alikimbia uchi, akaacha shuka lake.

Hii ni biblia ipi mnayotumia , imechakachuliwa hatari
 
Ulipo kubaliana na Mimi hapo [emoji116]ref screenshot au sio wewe ulieandika hayo maneno?View attachment 1151876
Naam, aliekuwa halali yako hufanyi nae zinaa. Zinaa hufanywa na mtu ambae sio halali yako. Ukifanya ngono na mtu ambae sio halali yako ndio tunasema umefanya zinaa.

vipi huu mstari unaoukimbia?

Numbers 31:18
18- Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
 
Hoja dhaifu , nilitegemea uweke original apo
Upo active, ila hadi sasa umeshindwa kutwambia ile hadithi ni kwa akaunti ya nani? hujajibu hadi sasa.... subiri tu uwachezee watu kanisani wafuatao mkumbo
 
Aliitwa Yesu Kristo. Sasa vitabu vya mpinga kristo vilivyokuna miaka zaidi ya 700 baada ya yeye kwenda mbinguni ndio vimekuja na uongo kama ilivyo tabiriwa. Ndio maana mnawaaminisha anaitwa issa tena kazaliwa chini ya mtende.
lete ushahidi kwamba aliitwa yesu kristo......(jina la mtu huwa alibadiki badiliki) ukibadili jina la mtu inakuwa ni aka sio birth name
 
Naam, aliekuwa halali yako hufanyi nae zinaa. Zinaa hufanywa na mtu ambae sio halali yako. Ukifanya ngono na mtu ambae sio halali yako ndio tunasema umefanya zinaa.

vipi huu mstari unaoukimbia?

Numbers 31:18
18- Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Sasa ulicho KUWA unabishia allah hakuruhusu zina nini?[emoji44][emoji12]

Huo mistari nimesha KUJIBU kwamba KILA UMMA TUMEWAJAALIA KAWAIDA YAO YA IBADA NA SHERIA ZAO [emoji44] hilo NI Agano kongwe AMBALO MUNGU Aliahidi kulifuta na kutupa AGANO JIPYA INJILI![emoji123][emoji106]
IMG_20190712_191712_583.jpeg
 
Usichanganye tafsiri na biblia , biblia ni ile ile ila ina tafsiri ya lugha mbali mbali


Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo mtaweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu cha (Biblia).

Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.

Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”

Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86;

Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76;

Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73;

na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.

Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:

(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa”

Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”

Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).” Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS).
Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."

Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:

“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo.
Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata.

Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”

Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi.
Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.
 
Sasa ulicho KUWA unabishia allah hakuruhusu zina nini?[emoji44][emoji12]

Huo mistari nimesha KUJIBU kwamba KILA UMMA TUMEWAJAALIA KAWAIDA YAO YA IBADA NA SHERIA ZAO [emoji44] hilo NI Agano kongwe AMBALO MUNGU Aliahidi kulifuta na kutupa AGANO JIPYA INJILI![emoji123][emoji106]View attachment 1152103


Hivi wewe Mlaji wa majibwa unatoka nyumba ya Yuda au Israeli ??😜😜😜
 
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.

Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.

Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Tunadanganya tu hapa kwa habari za kufikirika hizi.
Huyo kama alikuwepo basi ni zao la uzinifu wa Mariam. Hoja kwamba ana uungu kwa kuwa hana baba mzazi ni dhaifu sana. Umekaririshwa pasi na ushahidi.
 
Liko ndani ya mada hii mkuu usichepuke. Binadamu alianza na adam na hawa kama pure created being. Baadae Mungu akasema wazae (kupitia sexual intercourse) na kuongezeka na kuijaza nchi.

Hakuna wala hakujawahinkuwepo wala hakutakuwepo Binadamu ambaye atapatikana nje ya mfumo huu. (sperm na Yainla kike)9



Yesu humommwote hayumo, wala hausiki kabisa na hiyo mifumo. na cha ajabu hakuwahi kuzema nilizaliwa bali alikuwa anasema '' nimekuja'', nimeshuka'' duniani sio kwetu ila mimi nimekuja kutafuta kilochopotea.

Hivyo wak siri na kwa kina sana waislam kukataa kumuota Yesu kwa jina la BABA YAKE WA KUFIKIA WANAKUBALI KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU ALIYE MUNGU AMBAYE ALIKUJA KUPITIA MWANAMKE MARIAM ILI ATIMIZE MISSION YAKE NA SASA AMEKETI MKONO WA KUUME WA ENZI NA BABA YAKE WAKITAWALA.

NAUNGA MKONO HOJA YESU IBN MARIAM
Kutosema kazaliwa haiondoi uhalisia kama kazaliwa

Kwa akili zangu nikilazimishwa kumuita mtu Mungu Adam ndo atastahili maana hatokani na kiumbe yeyote
 
Back
Top Bottom