Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Sasa ulicho KUWA unabishia allah hakuruhusu zina nini?
Maskini unamatatiza ya uelewa ambayo yamesababishwa na kanisa kukubrain wash kabisa.

Labda nikuulize, nini maana ya zinaa?

Halafu inakuaje bado mnasoma agano la lake? 😀 kama haliwahusu mnaliweka kwenye bibilia yenu ya nini? akisha kama unakubali kuwa ilikuwa halali hapo mwanzoni basi na pia ilikuwa halali baadae.

Kama una tatizo na hilo, basi una tatizo na Mungu wako kuwa humuamini 😀
 
[emoji116][emoji116]
Allah AMBAYE ANALILINDA KANISA KWA SABABU NENO LA MWENYEZI MUNGU LINATAJWA KWA WINGI! WEWE UNAMBISHIA NA KUSEMA KANISA LINATUBRAIN WASH [emoji44][emoji12][emoji24]MSIBA UNAO WALAHI ALLAH HANA RADHI NA WEWE [emoji24][emoji24] allah ANAKUONA chilubi[emoji44]

Labda nikuulize, nini maana ya zinaa?
[emoji116][emoji116]
ZINAA NI KUFANYA NGONO NA MTU AMBAYE SIO MKEO [emoji106]

Halafu inakuaje bado mnasoma agano la lake? 😀 kama haliwahusu mnaliweka kwenye bibilia yenu ya nini? akisha kama unakubali kuwa ilikuwa halali hapo mwanzoni basi na pia ilikuwa halali baadae.
[emoji116][emoji116]
WW BABU YAKO HUMSOMI?? [emoji12] AGANO LA KALE NI KIVULI TU CHA YAJAYO [emoji106]NA NI KUMBUKUMBU YETU YA TULIKO TOKA HADI NEEMA HII YA KRISTO [emoji123][emoji106]KWA KUPITIA MKONO WA MUSA

Kama una tatizo na hilo, basi una tatizo na Mungu wako kuwa humuamini 😀

chilubi Hujui kwamba Hujui [emoji12][emoji12]
IMG_20190714_101657_187.jpeg
IMG_20190714_101812_299.jpeg
IMG_20190714_103332_730.jpeg
IMG_20190714_103917_153.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190714_101523_153.jpeg
    IMG_20190714_101523_153.jpeg
    27.9 KB · Views: 9
Kwanza jifundishe kuquote na kureply vizuri, kwa sababu ulivyoniquote unafanya watu waone yote hayo kuwa nimayesema mimi wakati ndani yake kumbe mwenyewe ndio umeweka majibu yako.

Kweli hujui kama hujui;

Hebu ipitie tena hiyo aya ndio utajua nani walisema hayo maneno, eti linalindwa na Mungu 😀 aya simple tu kama hio mwenyewe imekushinda kweli kuielewa? utaelewa nini wewe? huoni kuwa hapo pana quotation ya wanachosema watu?

Kanisa limekubrainwash kabisa, limewapeleka kwenye ushetani, rudini kwenye dini ya haki, achaneni na dini yenu ya Shaka na ilokuwa haina uhakika. Unaanzaje kuamini Bibilia uliyoamuliwa pale Nicea?

Zinaa ni kufanya ngono na mtu ambae sio halali yako. Alichohalalisha Mungu sio Haram, Mungu ndie amehalalisha ngono na mkeo, na ndie yeye aliehalalisha ngono na yule unaemmiliki kwa mkono wako wa kulia. Kumbuka, Mungu ndie anaedefine nini zinaa, Mungu ndie aliedefine nini shirki, sio mimi na wewe.

Hujanijibu swali langu, ikiwa hamkubaliani na yale ya agano la kale kwa kuliepuka kwenye mjadala, kwanini mnaendelea kuwa nalo?
 
Kambishie mungu WAKO ALIYE sema wale wasemao sisi NI WAKRISTO NI WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji116]NA WASIHOFU ref screenshot kama kama UNAONA sisi KANISA limetubrain wash [emoji44] ww si unajiona mjuzi zaidi ya Allah AMBAYE ameamua hadi kulilinda KANISA au anzisha deen yako kuliko kuturushia mate HUMU [emoji12]

ooh ipitie hiyo aya [emoji44][emoji12]Kwani msemaji NDANI ya Quran nani?! Unauliza ujinga tu...hata Hujui mungu wako sio MWENYEZI MUNGU [emoji106]

YESU HAKULETA DEEN DUNIANI [emoji12] Deen Ni bado kwa ajili ya makafir AMBAO hawaamini UJIO WA MWENYEZI MUNGU DUNIANI KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU ref screenshot[emoji116]

Hivi HUWA huisikii kengele KANISANI kila Asubuhi inaita wajinga NJOO wajinga NJOO NJOO [emoji44] sisi wengine tulio itikia mwito tumeenda na ujinga UMETUTOKA [emoji123][emoji106] wewe Endelea kukataa TU ubaki na ujinga WAKO [emoji12]
Hujanijibu swali langu swali langu wakati nimekujibu kwa MAANDIKO ulitakaje nitoe kichwani?? [emoji46] huo NI wazimu wa maswali [emoji116]ref screenshort

Ninacho kushukuru NI kupata ubao mzuri wa kufundisha na kunipa jukwaa LA KUINJILISHA [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
IMG_20190714_131454_170.jpeg
IMG_20190714_131554_796.jpeg
IMG_20190714_131646_731.jpeg
IMG_20190714_084655_341.jpeg
IMG_20190714_132756_508.jpeg
IMG_20190714_133418_567.jpeg
 
Kambishie mungu WAKO ALIYE sema wale wasemao sisi NI WAKRISTO NI WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji116]NA WASIHOFU ref screenshot kama kama UNAONA sisi KANISA limetubrain wash [emoji44] ww si unajiona mjuzi zaidi ya Allah AMBAYE ameamua hadi kulilinda KANISA au anzisha deen yako kuliko kuturushia mate HUMU [emoji12]

ooh ipitie hiyo aya [emoji44][emoji12]Kwani msemaji NDANI ya Quran nani?! Unauliza ujinga tu...hata Hujui mungu wako sio MWENYEZI MUNGU [emoji106]

YESU HAKULETA DEEN DUNIANI [emoji12] Deen Ni bado kwa ajili ya makafir AMBAO hawaamini UJIO WA MWENYEZI MUNGU DUNIANI KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU ref screenshot[emoji116]

Hivi HUWA huisikii kengele KANISANI kila Asubuhi inaita wajinga NJOO wajinga NJOO NJOO [emoji44] sisi wengine tulio itikia mwito tumeenda na ujinga UMETUTOKA [emoji123][emoji106] wewe Endelea kukataa TU ubaki na ujinga WAKO [emoji12]
Hujanijibu swali langu swali langu wakati nimekujibu kwa MAANDIKO ulitakaje nitoe kichwani?? [emoji46] huo NI wazimu wa maswali [emoji116]ref screenshort

Ninacho kushukuru NI kupata ubao mzuri wa kufundisha na kunipa jukwaa LA KUINJILISHA [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
View attachment 1153309View attachment 1153310View attachment 1153311View attachment 1153313View attachment 1153314View attachment 1153317

Yohana 1:1

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu,

vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M-kubwa,

wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Je, huko si kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki?

,Nukuu hiyo ya Yohana 1:1 imetambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia ya kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo wa Alexandria kabla ya Yesu na Yohana

neno “god” au “TONTHEOS” pia limetumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu na katika Kutoka 7:1 “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao
 
Sasa ulicho KUWA unabishia allah hakuruhusu zina nini?[emoji44][emoji12]

Huo mistari nimesha KUJIBU kwamba KILA UMMA TUMEWAJAALIA KAWAIDA YAO YA IBADA NA SHERIA ZAO [emoji44] hilo NI Agano kongwe AMBALO MUNGU Aliahidi kulifuta na kutupa AGANO JIPYA INJILI![emoji123][emoji106]View attachment 1152103

John 17

1. After Jesus said this, he looked toward heaven and prayed:

2. "Father, the time has come. Glorify your Son, that your Son may glorify you. For you granted him authority over all people that he might give eternal life to all those you have given him.

3. Now this is eternal life: that they may know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.

4. I have brought you glory on earth by completing the work you gave me to do.

5. And now, Father, glorify me in your presence with the glory I had with you before the world began.

6. "I have revealed you to those whom you gave me out of the world. They were yours; you gave them to me and they have obeyed your word.

7. Now they know that everything you have given me comes from you.

8. For I gave them the words you gave me and they accepted them. They knew with certainty that I came from you, and they believed that you sent me.

9. I pray for them. I am not praying for the world, but for those you have given me, for they are yours.

10. All I have is yours, and all you have is mine. And glory has come to me through them.

As we clearly see in John 17:4, Jesus declared the completion of his work that GOD Almighty had assigned to him on earth.

In John 17:8, he prayed for all of those who followed him and believed in him and in the Commands that he brought to them from GOD Almighty.

In John 17:10, Jesus said that his glory is given to him (Jesus) through them.

All of this clearly refutes the gibberish nonsense that most Christians claim about non-Trinitarians and those who don't believe that Jesus died on the cross for their sins are going to Hell.

Jesus only cared about the love of GOD Almighty and the love of neighbors and people in general.

And for those who believe that Jesus was GOD Almighty Himself, i.e. the Creator of the Universe, when Isaiah prophesied about the coming of Jesus, he said that GOD Almighty will put the spirit of fearing GOD in Jesus.

Let us look at Isaiah 11:2-5:

Isaiah 11

2 The Spirit of the LORD will rest on him- the Spirit of wisdom and of understanding, the Spirit of counsel and of power, the Spirit of knowledge and of the fear of the LORD -

3 and he will delight in the fear of the LORD. He will not judge by what he sees with his eyes, or decide by what he hears with his ears;

4 but with righteousness he will judge the needy, with justice he will give decisions for the poor of the earth. He will strike the earth with the rod of his mouth; with the breath of his lips he will slay the wicked.

5 Righteousness will be his belt and faithfulness the sash around his waist.
 
Yohana 1:1

“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu,

vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M-kubwa,

wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Je, huko si kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki?

,Nukuu hiyo ya Yohana 1:1 imetambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia ya kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo wa Alexandria kabla ya Yesu na Yohana

neno “god” au “TONTHEOS” pia limetumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu na katika Kutoka 7:1 “Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao
Liwe NENO LA kikurya au kipemba YESU [emoji117]NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI piga ua bidua HABARI NDIO HIYO [emoji123][emoji123][emoji106]
 
Domo nyumba ya maneno , Unaweza kutamka utakalo lakini Yesu hajawahi kusema mimi ni mungu wala hao wanafunzi wake hawajatamka kuwa Yesu ni mungu wala Mama yake hajawahi kusema Mwanangu Yesu ni Mungu na ndugu zake hawajawahi kusema kuwa ndugu yetu Yesu ni Mungu.

Kama unampakazia uungu huo ni uamuzi wako

1 Yohana 4:12 inasema,

Hakuna mtu aliyekwisha mwona Mungu kamwe; lakini kama tukipendana Mungu anaishi katika muungano nasi, na upendo wake unakamilika ndani yetu.

Kwenye " Kutoka (exodus)33:20 ,inasema

"And he said, Thou canst not see my face; for man shall not see me and live." God said, "I will make my Goodness pass right in front of you; I'll call out the name, God, right before you. I'll treat well whomever I want to treat well and I'll be kind to whomever I want to be kind." God continued, "But you may not see my face. No one can see me and live." KJV

And he said, I will make all my goodness pass before thee, and I will proclaim the name of the LORD before thee; and will be gracious to whom I will be gracious, and will shew mercy on whom I will shew mercy. And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live.

The massage

Katika kitabu cha Kutoka 20
:
Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Usiwe na miungu [Elohim] ila mimi.

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa, BWANA, Mungu wako ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana uovu wa baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami huwarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu
.

Hii ina maana hataki kufananishwa na yeyote wala chochote...!​
 
Ally Hassan Mwinyi, je hilo Mwinyi ni jina la mama yake?

Kassim Majaliwa

Hamisi Kigwangala

Shehe Issa bin Simba

Ally Mohamed Shein

Sheikh Issa Ponda

Hayo majina ya ubini wao ni majina ya mama zao?
Amekusudia muislam kwenye kuzikwa anatumia ubin wa mama
Kwa kuwa mama hadanganyiki ila baba aweza pachikwa yeyote Hata kama sie
 
Domo nyumba ya maneno , Unaweza kutamka utakalo lakini Yesu hajawahi kusema mimi ni mungu wala hao wanafunzi wake hawajatamka kuwa Yesu ni mungu wala Mama yake hajawahi kusema Mwanangu Yesu ni Mungu na ndugu zake hawajawahi kusema kuwa ndugu yetu Yesu ni Mungu.
[emoji116][emoji116]
KWA NINI WAYAHUDI WALIOKOTA MAWE KUTAKA KUMPIGA YESU?? [emoji116]

Kama unampakazia uungu huo ni uamuzi wako

1 Yohana 4:12 inasema,

Hakuna mtu aliyekwisha mwona Mungu kamwe; lakini kama tukipendana Mungu anaishi katika muungano nasi, na upendo wake unakamilika ndani yetu.

Kwenye " Kutoka (exodus)33:20 ,inasema

"And he said, Thou canst not see my face; for man shall not see me and live." God said, "I will make my Goodness pass right in front of you; I'll call out the name, God, right before you. I'll treat well whomever I want to treat well and I'll be kind to whomever I want to be kind." God continued, "But you may not see my face. No one can see me and live." KJV

And he said, I will make all my goodness pass before thee, and I will proclaim the name of the LORD before thee; and will be gracious to whom I will be gracious, and will shew mercy on whom I will shew mercy. And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live.

The massage

Katika kitabu cha Kutoka 20
:
Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Usiwe na miungu [Elohim] ila mimi.

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa, BWANA, Mungu wako ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana uovu wa baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami huwarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu
.

Hii ina maana hataki kufananishwa na yeyote wala chochote...!​

Na hapa MWENYEZI MUNGU ANASEMA HIVI [emoji116]
IMG_20190714_190519_263.jpeg
IMG_20190714_191135_675.jpeg
 
Maskini unamatatiza ya uelewa ambayo yamesababishwa na kanisa kukubrain wash kabisa.

Labda nikuulize, nini maana ya zinaa?

Halafu inakuaje bado mnasoma agano la lake? 😀 kama haliwahusu mnaliweka kwenye bibilia yenu ya nini? akisha kama unakubali kuwa ilikuwa halali hapo mwanzoni basi na pia ilikuwa halali baadae.

Kama una tatizo na hilo, basi una tatizo na Mungu wako kuwa humuamini 😀
Baba wa zinaa ni mudi soma apa mpaka watoto wa kiume anakula denda na kunyonya uume

Hadith Number 16245, Title Title: "Maneno ya Washami," Title Title: Hadithi ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan:

"Nilimwona nabii - ananyonya ulimi au midomo ya Al-Hassan mwana wa Ali, ili sala za Allah ziwe juu yake. Kwa maana hakuna ulimi au midomo ambayo nabii aliyonyonya atasumbuliwa (kwa moto wa motoni)

Yeye (Mtume) aliinua shati lake (al-Hassan) na kumbusu uume wake (mdogo) .. "
"Nilimwona Mtume wa Mwenyezi Mungu akitanua miguu ya Husein na kumbusu uume wake."
 
"Mungu akasema ," hayo ni maneno ya nani ?

"Basi wayahudi wakamwambia" na haya ni maneno ya nani??

"Yesu akawaambia" haya nayo ni maneno ya nani??

Biblia iliandikwa na takriban watu 40 (chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu) wa kada mbalimbali katika kipindi cha miaka 1500. Isaya alikuwa nabii, Ezra alikuwa kuhani, Mathayo alikuwa mtoza ushuru, Hoyana alikuwa mvuvi, Paulo alikuwa mtengeza ema, Musa alikuwa mchungaji, Luka alikuwa daktari. Licha ya kuandikwa na waandishi mbalimbali juu ya karne 15, Biblia haijichanganyi yenyewe na haina makosa yoyote.

Waandishi wote waonyesha mitazamo yao mbalimbali, lakini wao wote wanamtangaza yule Mungu mmoja wa kweli, na hiyo njia moja ya wokovu ya Yesu (Yohana 14:6, Matendo 4:12). Chache ya vitabu vya Biblia hasa hutaja majina ya waandishi.
 
Biblia iliandikwa na takriban watu 40 (chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu) wa kada mbalimbali katika kipindi cha miaka 1500. Isaya alikuwa nabii, Ezra alikuwa kuhani, Mathayo alikuwa mtoza ushuru, Hoyana alikuwa mvuvi, Paulo alikuwa mtengeza ema, Musa alikuwa mchungaji, Luka alikuwa daktari. Licha ya kuandikwa na waandishi mbalimbali juu ya karne 15, Biblia haijichanganyi yenyewe na haina makosa yoyote. Waandishi wote waonyesha mitazamo yao mbalimbali, lakini wao wote wanamtangaza yule Mungu mmoja wa kweli, na hiyo njia moja ya wokovu ya Yesu (Yohana 14:6, Matendo 4:12). Chache ya vitabu vya Biblia hasa hutaja majina ya waandishi.

Tumekusikia fikra zako sasa tuambie hapa alipoleta Lukwanga aka mgen
Mwanzo 1

Mungu akasema ," hayo ni maneno ya nani ?

Yohana 8

"Basi wayahudi wakamwambia" na haya ni maneno ya nani??

"Yesu akawaambia" haya nayo ni maneno ya nani??
 
"(3310) 'A'isha aliripoti: Mtume wa Allah (Mudi) alinioa nilipokuwa na umri wa miaka sita,

Apo utaona mudi alicho kifanya adhabu yake ipo kwenye biblia alitakiwa afungwe jiwe la kusagia na kutoshwa kwenye kilindi cha bahari

Mathayo 18
6 bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
 
Nimesha kuelewesha biblia ilivyo andikwa ni nini ambacho haulewi,
 
Sahih al-Bukhari (chanzo cha uaminifu zaidi cha Uislamu juu ya maisha ya Muhammad) kwamba alikuwa na wake angalau tisa wakati mmoja. Hivyo kama Qur'ani inasema kuwa wanaume wanaruhusiwa kuwa na wake wanne, kwa nini Muhammad alipata zaidi?
 
Muhammad alimtembelea na alisalimiwa na mke wa Zaid, Zaynab, ambaye alikuwa mmoja wa wanawake wazuri zaidi katika Arabia.Muhammad alimuona Zaynab karibu na uchi, na vyanzo vya Kiislam vinasema kwamba tamaa yake mudi ilipanda. Wakati Zaynab alipogundua kwamba Muhammad alivutiwa naye, alianza kumdharau mumewe. Zayd alitenganishwa na mumewe, na Muhammad akamuoa
 
Sahih al-Bukhari (chanzo cha uaminifu zaidi cha Uislamu juu ya maisha ya Muhammad) kwamba alikuwa na wake angalau tisa wakati mmoja. Hivyo kama Qur'ani inasema kuwa wanaume wanaruhusiwa kuwa na wake wanne, kwa nini Muhammad alipata zaidi?
Quran inasema yapo mambo yalimuhusu nabii na yapo mambo yalituhus waumin, Mtume aliruhusiwa kuoa bil mahara akimpenda mwanamke akimposa akikubali halazimiki kutoa mahari lakin pia mitume hawarithiwi mali zao lakin waumin tunarithiwa mali zetu mali za mitume hugaiwa
 
"(3310) 'A'isha aliripoti: Mtume wa Allah (Mudi) alinioa nilipokuwa na umri wa miaka sita,

Apo utaona mudi alicho kifanya adhabu yake ipo kwenye biblia alitakiwa afungwe jiwe la kusagia na kutoshwa kwenye kilindi cha bahari

Mathayo 18
6 bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Mtume kaoa aisha ana miaka tisa akiwa kashavunja ungo wamissionary wanu ili kufanikisha lengo lenu la kumchafua wakasema miaka 6 na hadith za kutunga lakin mtu kaish na isha miaka 9 tu na mtu kafa aisha aikiwa na miaka 18 sasa fanya hesabu zako...na sheria ya dini inasema wanaotakiwa kufaunga ndoa ni mwanamke aliepevuka na mwanaume aliepevuka.!
 
Back
Top Bottom