Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,652
- 7,137
Kutoka kwenye Nini mkuu?Andiko.
Kutoka kwenye Nini mkuu?Andiko.
Njoo na Aya au mstari inayotoa tofautiKwanini unabisha kitu usicho kijua na kulazimisha unacho amini wewe.. Shetani biblia imemuelezea vzuri na kila aliye soma biblia atajua tofauti ya Shetani(ibilisi) na Majini.
Hichi kifungu kinamuelezea Lucifer akiwa bado malaika na ajaasi huko mbinguni na baada ya kuasiWewe sijui unasoma biblia gani soma hapa
Ezekieli 28:17 "Moyo wako uliinika kwa sababu ya uzuri wako umeiharibi hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako ni mekutupa chini ni mekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama."
Njoo na Aya au mstari unathibitisha hiliShetani ni Joka moja na sio majini kama inavyo sema Biblia
Alipozaliwa Yesu na nabii issa ninmahali tofauti kwa hyo ni watu wawili tofauti...Nimekuwa nikisikia mijadala mingi mtaani na hata mitandaoni kuhusu Yesu na Nabii Isa. Wengine wanasema ni mtu mmoja kwa majina tofauti, wengine wanadai kuna tofauti kubwa sana.
Katika Ukristo, Yesu anatajwa kama Mwana wa Mungu, alizaliwa na Bikira Maria, alifanya miujiza mingi, alisulubiwa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanadamu, akafa, akafufuka na kupaa mbinguni. Ana nafasi ya kipekee kama Mwokozi wa ulimwengu.
Kwa upande wa Uislamu, Nabii Isa bin Mariam naye alizaliwa kwa muujiza bila baba, pia alifanya miujiza mingi (kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu), lakini haaminiki kama Mwana wa Mungu bali Nabii wa Mwenyezi Mungu. Waislamu huamini hakuuliwa msalabani bali alinyakuliwa na Mungu, na atarudi tena kabla ya Siku ya Kiyama.
Swali langu kwa wana Jamii Forums:
Hivi tunaposema Yesu na Nabii Isa ni mtu mmoja, ni sahihi kihistoria na kiimani?
Je, tofauti hizi za kiimani zinaathiri vipi maelewano ya kidini?
Na kwa wale wanaopenda kuchimba zaidi, kuna maandiko yanayofanana kwenye Biblia na Qur’an kuhusu maisha yake?
Naomba tujadili kwa heshima, kueleweshana, siyo mihemko
Unazungumza kwa sababu umesoma ktk Quran si ndivyo??hata anayesema majini na mapepo ni malaika waasi anarejea bible,usimbishie.Mimi siruki ila wewe ndio unajichanganya, hata kama majini wote sio wema ila bado majini hawana asili ya malaika kwa maana majini ni viumbe tofauti hawana uhusiano na wale malaika waliyoasi.
Majini wanajamiana na kuzaa kitu ambacho ni tofauti na malaika.
Wakristo kwetu sisi Yesu ndio msingi wa imani yetu,kuanzia aina ya maisha aliyoishi ni ushuhuda,akija mtu yeyote akaeleza tofauti na maandiko yetu kumhusu Yesu lazima tumshangae.Tatizo kwenye hili suala ni wakristo kujimilikisha Yesu, yani hapo ndio mzizi wa tatizo kwa maana wao wanataka vile wanavyomuelezea na kumtambua wao basi ndio iwe hivyo hivyo kinyume na hivyo basi huyo sio Yesu. Lakini cha ajabu wakristo na waislamu wanapozungumzia majini huwa wote pamoja wanakusudia kitu kimoja japokuwa ukitizama maelezo ya uislamu majini ni tofauti na wakristo ila hukuti wakristo wakisema majini wanaoelezwa na waislamu ni majini tofauti na majini wenye kuelezwa na wakristo.
Quran ni mfumo wa maisha ya mwanadamu kuzaliwa hadi namna ya kuzikwa na baada ya kuzikwa,Biblia sio Kuran , ambayo theory tu - kwenye matendo hamna kitu
Katika maelezo yako unaunganisha ibilisi,shetani na majini badala ya kuweka usawa wa SHETANI NA MAJINIJe kuna mahali nimesema shetani sio ibilisi?
Mithali 16:4Nipe mstari au Aya ya biblia inayosema wanao mtii Mungu ni Majini
Quran ni mfumo wa maisha ya mwanadamu kuzaliwa hadi namna ya kuzikwa na baada ya kuzikwa,Biblia sio Kuran , ambayo theory tu - kwenye matendo hamna kitu
Katika maelezo yako unaunganisha ibilisi,shetani na majini badala ya kuweka usawa wa SHETANI NA MAJINIJe kuna mahali nimesema shetani sio ibilisi?
Mithali 16:4Nipe mstari au Aya ya biblia inayosema wanao mtii Mungu ni Majini
Kama huna bible verse za kuthibitisha unachoongeaQuran ni mfumo wa maisha ya mwanadamu kuzaliwa hadi namna ya kuzikwa na baada ya kuzikwa,
Biblia ni masimulizi ya walioshuhudia maisha ya Yesu.
ndio maana kwenye Quran kuna namna ya kuoa uoe vipi uishi vipi, uamke sangapi, uvae namna gani, usalimie watu kwa namna gani, ule chakula gani, ufanye vipi ibada.
HUO NDIO UTOFAUTI WA NADHARIA NA VITENDO..
Katika maelezo yako unaunganisha ibilisi,shetani na majini badala ya kuweka usawa wa SHETANI NA MAJINI
Mithali 16:4
Mungu aliumba kila kitu kwa nia nzuri ya kumtii yeye.
Ila Biblia Ina fikirisha sana usipo itambua thamani unaweza watukana wanao iamini..Ktk bible malaika waovu waliweza mpaka kuzini na binaadam,sababu ya utofauti wa kiasili wakazaliwa kizazi cha wana wa laana
Siku nyingine ukija kureply nilicho andika uje ukiwa na akili TIMAMU!Kama huna bible verse za kuthibitisha unachoongea
Hii ndo reply ya mwisho
Sipo kubishana, tupo kuutafuta ukweli
Hawa ni malaika waasi,ukitulia itagundja neno uasi tayari lina maanisha mtu kutelekeza asili yake,na ni kwamba walishuka mpaka duniani kuja kufanya waliyokuwa tayari wameyapanga.Ila Biblia Ina fikirisha sana usipo itambua thamani unaweza watukana wanao iamini..
Sasa mfano hapa kwamba malaika walizini(walimuasi Mungu) kikatokea kizazi..
biblia hyo hyo inasema malaika hawaoi wala hawaolewi (Mathayo 22:3), na sisi watakatifu tukishakwenda mbinguni tutafanana na wao..Pamoja na hayo malaika hawajapewa miili ya kiduniani, bali wao ni roho watumikao biblia inasema hivyo (Waebrania 1:14)
Malaika haoi wala haolewi wala hana sifa za kibinadamu inakuaje apate matamanio ya kimwili (Mathayo 22:3),Hawa ni malaika waasi,
Kuna zinaa zinazohusisha roho pia,hata hiyo ya kimwili huanzia rohoni kisha utekelezaji wa kimwili hufuata,sababu wewe ni binaadam una mwili.Malaika haoi wala haolewi wala hana sifa za kibinadamu inakuaje apate matamanio ya kimwili (Mathayo 22:3),
Henoko 3. 1-14
Njoni, tuchague wake kutoka kwa hao binti wa wanadamu ili tuzae nao watoto.”
Story za kufikirika
Bro hapa sio kuzini kwa nafsi hapa tunazungumzia ushiriki na hadi kuwa na kizazi..Kuna zinaa zinazohusisha roho pia,hata hiyo ya kimwili huanzia rohoni kisha utekelezaji wa kimwili hufuata,sababu wewe ni binaadam una mwili.
Mariam alipata mimba bila kuguswa kimwili,tofauti ni kwamba yeye alibeba chenye baraka kutoka kwa Mungu.
Kuna zinaa zinazohusisha roho pia,hata hiyo ya kimwili huanzia rohoni kisha utekelezaji wa kimwili hufuata,sababu wewe ni binaadam una mwili.
Mariam alipata mimba bila kuguswa kimwili,tofauti ni kwamba yeye alibeba chenye baraka kutoka kwa Mungu.
Ndio maana mwanzo nilikwambia malaika kwetu sio mandezi kama mlivyofunzwa kwenu ktk Quran,huku ni viumbe makini kabisa,kwanini unaamini kuzini kwa nafsi hakuwezi kuleta kizazi???Bro hapa sio kuzini kwa nafsi hapa tunazungumzia ushiriki na hadi kuwa na kizazi..
NDio sababu kikapatikana kizazi cha laana,kichafu,maana walifanya hayo kwa mipango na malengo yao mengine.Hakuna Mfano mwingine wa Mariam mariam ni case yake na Mungu kwa hao Malaika Mungu hausiki hapo
Kudeal na hawa watu bora upewe mbuzo 500 uchunge.Huyo ni kiazi achana naye
Muulize mbona majini yanabaka watu, na hayana mwili wa kibinadamu
Unapoteza muda
Hapana ni Watu wawili tofauti .na Pia Mungu wa Waislam sio yule Mungu wake Yesu Kristu- Ni Miungu miwili tofauti
A bastard shall not enter into the congregation of the LORD; even to his tenth generation shall he not enter into the congregation of the LORD.
Deuteronomy 23:2
Aya ipi ya Qur'an inasema Yesu ndiye atauhukumu ulimwengu, na ndiye atakayekuja kumshinda shetani katika siku za mwisho?majuzi nilikua nasoma mtandaoni, what does the Quran say about Jesus, it seems kuna school of thought kadhaa zinaamini alisulubiwa (
kwenye quran baadhi wanasema mstari unaopinga kusulubiwa kwa Yesu ni ule unaosema "wao walidhani wamemsulubisha,.......", sasa, some scholars wana-argue kwamba huu mstari hausemi hakusulubiwa, ila unadai wao hawakumsulubishwa kwa kutaka wao (bali waliyatimiza matakwa ya Mungu, which is actually the same na bible, Yesu anaposema "hakuna mtu anaenipokonya uhai wangu,...... nautoa mwenyewe"
binafsi nilihitimisha kwa kusema Quran ipo sahihi pia kwa namna inavyomwongelea Yesu, ila tu namna ya kuyatafsiri yale maandiko inakua ngumu kama ambavyo wakristo wanapata tabu kuyatafsiri maandiko ya ufunuo........mpk wengime wanayapinga!
NB/
as bizarre as it goes, Qur'an inasema Yesu ndiye atauhukumu ulimwengu, na ndiye atakayekuja kumshinda shetani katika siku za mwisho (same as the bible), hapo ndio utajua hizi dini zinaongea kitu kimoja ila wahuni wameamua tuendelee kuishi kwenye migawanyiko na magomvi kwa interest zao!