Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Dini ni maandiko sio desturi wala mila za watu, lete andiko kuwa ni lazima kaburi la mkristo liwe na msalaba , kama hauna pita kimya kimya
Kila nikikwambia bila kuwa Tohara huwezi kuielewa Biblia Takatifu!; sawa na punda aliyebeba vitabu bila kujua faida yake!
Hebu soma Maandiko Haya ktk Biblia Takatifu hata kwa macho ya nyama upate maana na funguka!
[emoji116][emoji116]
John 21:25
[25]Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

Matthew 16:18-19
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

[19]Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
 
Ebu kasome tena hiyo aya halafu uje hapa , mbona iko wazi , nani kakwambia Allah anapiga mbupu hapo? “KAMA tungeli taka” kwahiyo unakuwa ushapiga mbupu ebu tulia mzee naona umechoka
Huwezi kusema ungetaka kama Hauna kifanyio
 
Sasa anapotezaje vitabu ambavyo havina kazi? sio zama zake hizi kwahiyo havina kazi ndio maana ameleta Quran
Kama amedai alikuwa navyo na sasa hana , vimeenda wapi na ilitakiwa atuambie vilipotea mda gani mpaka muhammad akaja
Na atujulishe kipindi vimepotea watu walikuwa wanaabudu Nini ? Na kwa muongozo upi
 
1.Watu gani wange muua Jibril ? hakuna binadamu wa kumuua Jibril , acha kupiga ramli mambo ambayo hayapo , unaleta mfano mfu hapa , Jibril hata angekuwa kwenye umbo la paka hakuna binadamu ambaye ange thubutu kumuua kwahiyo uliza vitu vya maana , hiyo imani yako ya Mungu wako kufa usituletee hapa katika Uislamu

2.Unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga?
Nimekutaka ujibu ndio au Hapana wewe unaleta ngonjera

NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO

JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad

SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?

Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
2.Unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga?
Unataka kutumia takiya kwamba kalbi alikuwa si li shoga , lilikuwa linakutwa chumbani na muhammad, Muhammad akawa akikutwa nae anadai ni jibril

Alafu jibril Kwanini achague kumuingia kalbi Kwanini asiinge ata paka ?

Wanakijiji walikuwa wakimuona kalbi wanamuita jibril

Kumbuka pia jibril alikuwa anaogopa mbwa akikuta kwa Muhammad Kuna mbwa haingii ndio unaona mpaka Leo waislamu mnaambiwa msifuge mbwa na mbwa pia ni adui wa majini na wachawi connect the dots
 
Mashahidi wa Yehova ni dhehebu kama Roman Catholic , suala la kuanza lini halina mashiko maana yote yameanzishwa na watu ambao wanaamini katika Biblia, jina “ Wakristo “ kwa mara ya kwanza lilianza kutumika Antiokia sio Vatican
Maswali bado hujajibu

Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
 
Nimekutaka ujibu ndio au Hapana wewe unaleta ngonjera

NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO

JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad

SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?

Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitabu chochote ndani ya biblia hakimuhusu Allah

Tukisema injili ni injili ya Yesu na sio Isa ya Isa haijawahi kuwepo
Hakuna injili ya Yesu wala Isa pale ni masimulizi ya kina Mathayo , Luka , Yohana, Marko , mbona hatuelewani kijana
 
Maswali bado hujajibu

Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Wakristo walianza kuitwa Antiokia hapo kwa mara ya kwanza , hakukuwa na Yehova wala katoliki wala wasabato
 
Unataka kutumia takiya kwamba kalbi alikuwa si li shoga , lilikuwa linakutwa chumbani na muhammad, Muhammad akawa akikutwa nae anadai ni jibril

Alafu jibril Kwanini achague kumuingia kalbi Kwanini asiinge ata paka ?

Wanakijiji walikuwa wakimuona kalbi wanamuita jibril

Kumbuka pia jibril alikuwa anaogopa mbwa akikuta kwa Muhammad Kuna mbwa haingii ndio unaona mpaka Leo waislamu mnaambiwa msifuge mbwa na mbwa pia ni adui wa majini na wachawi connect the dots
Ebu acha kuzunguka kama kuku alie katwa kichwa unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga? ukiulizwa huku unaanza kutoa maelezo ambayo wala hayana uhusiano na ulicho ulizwa
 
Kwa hiyo yeye ni mwana wa Mungu kwa sababu anamrefer Mungu kama baba
Ndio hata wewe unaweza kumrefer kama baba au umesahau Mathayo 6:9

Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,

Matayo 6:9

Ndio maana wakristo wenzenu mashahidi wa Yehova wana mishangaa kumkomalia Yesu kuwa Mungu
 
Tuletee injili ya nabii Issa siyo hekaya za Mudy.Yesu na Issa ni watu wawili tofauti na ndo maana injili ya Issa haipo na injili ya Yesu ipo
Hakuna injili ya Isa kwasasa kwasababu wakati wake ulishapita , ni useless sasa itabaki inasubiri nini?
 
Back
Top Bottom