Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Amekiri wapi. Watag watupe maandiko ya kitabu chake Cha QURANI. Mana taurati,zaburi na injili anavitambua.
Taurat,injili na zaburi mnavyoviamini viko wapi tuvisome?.Yaani unajua inastaajabisha sana.Mathayo Luka na Yohana walimuona na kumsikiliza Yesu Physically pamoja na kuishi naye kila siku.Iweje bwana fulani apinge injili ya Yesu kama ilivyoandikwa na hao halafu hatuoneshi ile anayosema ni perfect?
 
Amekiri wapi. Watag watupe maandiko ya kitabu chake Cha QURANI. Mana taurati,zaburi na injili anavitambua.
Waislamu wameweka wazi wasome humu , kumbuka waislamu wanaamini Isa alikuwa anapewa maneno kama Muhammad alivyokuwa anapewa na jibril, wanaamini pia Isa aliacha kitabu ila hakijawahi kuonekana
 
Waislamu wameweka wazi wasome humu , kumbuka waislamu wanaamini Isa alikuwa anapewa maneno kama Muhammad alivyokuwa anapewa na jibril, wanaamini pia Isa aliacha kitabu ila hakijawahi kuonekana
Wangapi hao... WATAJE waseme wenyewe hapahapa. Usiwàsemee mana kama waislam kweli tutajua tu kulingana na maneno yao
 
Taurat,injili na zaburi mnavyoviamini viko wapi tuvisome?.Yaani unajua inastaajabisha sana.Mathayo Luka na Yohana walimuona na kumsikiliza Yesu Physically pamoja na kuishi naye kila siku.Iweje bwana fulani apinge injili ya Yesu kama ilivyoandikwa na hao halafu hatuoneshi ile anayosema ni perfect?
Ok. Kabla ya yesu kulikuwako na nani kabla yake?
 
Sasa hii ina uhusiano gani na kuleta uzushi kwenye jambo ambalo halipo? imani sio desturi ni maandiko usiwe mvivu , kama hakija andikwa wewe unakitoa wapi kama sio uzushi imani haiendeshwi na akili za watu
Tuna Biblia Takatifu!
Mapokeo Matakatifu!
Mamlaka!
 
Quran inathibitisha kuwa kabla ya Quran vilikuwepo vitabu vingine kama Taurati , Zaburi na Injili, sasa unataka historical infornation gani nyingine?
Hawa Wasemao sisi ni Wakristo Wanatumia Kitabu gani na Nyumba yao ya Ibada Inaitwaje??
 
Waislamu wameweka wazi wasome humu , kumbuka waislamu wanaamini Isa alikuwa anapewa maneno kama Muhammad alivyokuwa anapewa na jibril, wanaamini pia Isa aliacha kitabu ila hakijawahi kuonekana
Mtu pekee aliyenena kwa kichwa cha Jibril duniani ni Muhammad.Manabii wote walinena kwa kinywa cha roho wa Bwana.Tujadili
 
Hawa Wasemao sisi ni Wakristo Wanatumia Kitabu gani na Nyumba yao ya Ibada Inaitwaje??
Sasa si uwaulize wakristo wana majibu mazuri maana wapo vitabu 66 na wapo wa 73 , wapo wa makanisani wapo wa kambi popote kawaulize, maana kuna wengine walikuwa wanafanya ibada mpaka uwanja wa ndege
 
Iko wapi?mbona vitabu vya manabii wengine kabla ya Yesu vipo?
Hakuna vitabu vyovyote vya manabii wengine kabla ya Yesu kwenye umma wa mohamad hizo ni simulizi tu ambazo zimechezewa , havina kazi na havipo kwasasa
 
MASWALI HUJAJIBU
Kama amedai alikuwa navyo na sasa hana , vimeenda wapi? na ilitakiwa atuambie vilipotea mda gani? mpaka muhammad akaja
Na atujulishe kipindi vimepotea watu walikuwa wanaabudu Nini ? Na kwa muongozo upi?
Ukiona amekuja Mohamadi maana yake uovu ulikithiri ndio maana akaletwa kuja kuwafundisha watu imani, kwahiyo anakuja na muongozo mpya maana ule wa zamani hauna kazi wala faida tena , sasa kitu hakina faida cha kazi gani?
 
USILETE NGONJERA JIBU SWALI

NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO

JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad

SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?

Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
JIBU : hakuna mtu wa kumuua Jibril hata angekuja na umbo la Paka, hapa kitu gani hapa hujaelewa? mfano wako ni batili kwasababu hakuna mtu yeyote anae weza kumuua Jibril, imani ya Mungu wako Yesu kuuliwa na binadamu imekuvuruga kila sehemu sasa , mpaka unataka Jibril na yeye wamuue , nasema hivi hakuna binadamu wa Kumuua Jibril
 
Back
Top Bottom