ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Kwahiyo huo muhuri ameweka yeye akiwa kafa? halafu nani kakwambia huo muhuri ni mali ya freemason?Utawekewa vipi muhuri wa freemason Kama wewe sio mwanachama.
Hata kaburi la yule msanii bongo Lina muhuri wao