Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Maandiko yako wazi Mungu wako Yesu aliuwawa na wayahudi, na bahati nzuri yeye kama Mungu wako alikuwa hana option yeyote ya kuwaokoa watu alio waumba mwenyewe mpaka waje wampige makofi na kumtundika msalabani nonsense kabisa
Kaja Kwa maana ya maisha yetu
 
Si maneno yetu bali maneno yake kuthibitisha uunga wake
Tafsiri yako mbovu ndio tatizo lako yule sio Mungu muweza wa lolote lile , nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzako
 
Ukristo ni upagani, hakuna zaidi.

Labda waifute biblia inayosema hivyo 👇🏾

Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko
Ilikuwaje allah akapoteza aliamua au alizidiwa na watu?
 
Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko
Kuna vitu unachanganya sana , vitabu vya ndani ya biblia havimtambui Allah hata kidogo, Allah alikuja kipindi cha Muhammad na kudai alikuwa na vitabu ila vilipotea

ishia Allah alipoteza vitabu basi
 
nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzako
Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
 
Tafsiri yako mbovu ndio tatizo lako yule sio Mungu muweza wa lolote lile , nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzako
Ukristo umekuwepo kabla ya uwepo wa hayo makanisa ya freemason
 
Aiseee wewe jamaa kumbe ni zero kabisa wewe unaambiwa Allah hafanani na chochote kile ukiona unaambiwa mguu mara mkono kwa Allah jua hiyo ni lugha ya picha ,wewe unaleta habari ya Musa na malaika, sasa malaika ndio Allah? kama hauna cha kuandika ni vyema ukalala, suala la malaika kujibadilisha hiyo ni sifa ambayo Allah amewaumba nayo maana kuna muda lazima wakutane na wanadamu, hata Jibril alikuwa akijibadilisha ndio wameumbwa hivyo acha kuchanganya mambo wewe ahahahahaa
Nani amekwambia Allah anafana na chochote ? kuwa na miguu hakumfanyi hafanane na chochote ,

Musa kampiga malaika ma kamtoa jicho hakuna lugha ya picha ni jico kamtoa ata kama halifanani na chochote
 
Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Mwanzilishi wa mashahidi ni member wa freemason hata kaburi lake lina muhuri wa freemason hata kesho.
Ukristo umekuwepo toka miaka elf 2 iliyopita.
 
Aiseee wewe jamaa kumbe ni zero kabisa wewe unaambiwa Allah hafanani na chochote kile ukiona unaambiwa mguu mara mkono kwa Allah jua hiyo ni lugha ya picha ,
Wewe binadamu ukienda kwa Allah utapiga mbupu houris
Na allah anasema kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake houris au malaika
  • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
Kama hamfanani inakuwaje wote mnauwezo wa kupiga mbupu houris?
 
Sisi tuna amini vitabu vilivyo pita kama Injili , taurati , Zaburi lakini hatuamini Mathayo mara Luka mara Yohana , hao ni watu walio kuwa wanaandika mambo yao, yaani unataka tuamini sijui waraka wa wakorintho wewe ebu acha utani
Injili iko wapi niisome?
 
Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko
Hayo masimulizi tunayatoa wapi?
 
Back
Top Bottom