Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,624
- 18,457
Jibu zuri sana Ustadh Mokiti,NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO
JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad
SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?
Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
hao hua wanajitoaga ufahamu kuhusu maswala ya Dini yao.
Wanaongopa hadi basi ili kuitetea hiyo Dini ya Majini.
Wajibu sasa, Kalbi angeuwawa ina maana Jibrili angefariki ?
Shehe uko vizuri sana.
Yohana 10:17
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.