Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Yesu alikufa siku ngapi?
Eti alikufa siku ngapi.[emoji15][emoji12]
Humuamini hata muham mad aliyesema
[emoji116][emoji116]
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

[ AN-NISAAI - 157 ]
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
 
Achana na Mohamadi jibu swali Yesu alikufa siku ngapi?
 
Mungu wangu hawezi kuuliwa na wayahudi kwahiyo mauti ni sehemu ya uumbaji wake hauwezi kumsumbua
Shida Muhammad alitaka kushindana na yesu na akaleta porojo nyingi za kijuaji eti mara kuluani imeshushwa na wakati waliandika wenyewe kwa mikono yao na wenzake

Yeye angekuja na sera ya kueneza dini tu kama uhindu, ubudha na dini zingine sio kuanza kuleta sera za issa kazaliwa chini ya mtende,mara aliuliwa mwingine na hakufa fulani ,yote ya nini hayo .
Ndo mana watu wakamshitumia mapema kuwa bwana mdi ana chuki binafsi .Dini yake aliyokuwa akiineza kwa upanga ilikuwa ngumu sana kukubalika kwa watu maana ni ya figusi mno na imekaa kimchongo sana.

Kaeneza makoro koro mengine mengi tu ya uongo kwa lengo la kuchafua walio mtangulia na walio itengeneza njia ya kumwelekea mwenyezi Mungu wa kweli kwa mapana zaidi.

Muhamadi ana makando kando mengi sana na kuluani yake,angejikita katika kufundisha dini yake kuliko kuchokonoa yasiyo mhusu na hali yake mwenyewe yanamshinda anaishia korogwa na wachawi wa hovyo hovyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni hili Yesu alikufa au hajafa? sija kuuliza nyama wala mifupa
NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO

JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad

SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?

Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi

.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Back
Top Bottom