Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Kwa Taaluma ya wazimu na ukafiri umemzidi hata abuu jahiri! Unampinga hata muham mad aliyesema!
Wakristo ni wacha Mungu na Wasomi!
[emoji1370][emoji1370]
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu , na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Nimeamini harjununu fununu! (Wazimu ni Taaluma)
ww Ongeza jihad ya Fani yako ya wazimu karama uliyo hifadhi! Ilaha kigezo chako ibn abd allah kamkubali ona qauli yake! Tena kamtaja Kwa Adabu MASIHI!
[emoji116][emoji116]
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
[ AL I'MRAN - 45 ]
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hapo hawajatajwa watu wanaoabudu mungu mtu mwenye fudu iliyonyofolewa govi na viumbe aliowaumba 😜😜😜😜