Unajitahidi sana kuupigania Uislamu.
Yaani unajibu mada zaidi ya sita za Dini ya Kiislamu kwa wakati mmoja.
Wewe nina uhakika utafika peponi kwa Allah pamoja na Makundi ya Majini Waislamu.
Mtafulahia sana thawabu za Allah za
Mito ya pombe
Mito ya Asali
Mito ya Maziwa, na
Wanawali Bikra 72.
Wanawali wa Kijini na Binadamu.
Binafsi bila hila, wala kinyongo nakupongeza sana
Gavana, kwa juhudi zako kubwa za kuipigania Dini ya Kiislamu.
Nina uhakika utairithi pepo ya Allah.
Nina uhakika pia utamkuta Mtume wa Watu na Majini, yaani Muhammadi huko peponi kwa Allah.