Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
YESU SI MUNGU:

KWA SABABU HANA SIFA ZA MUNGU

Mwenyezi Mungu Anazo sifa zifuatazo ambazo Yesu hanazo hata sifa moja wapo. Mwenyezi Mungu ndiye muumba wetu ambaye ni mmoja.

Anajulikana na anatambulikana kwa sifa zake.

Biblia inatuelezea sifa hizo.

Nitaeleza baadhi ya sifa za Mwenyezi Mungu zinazotajwa katika Biblia.

Vilevile nitaeleza kwamba Bwana Yesu Kristo hana hata sifa moja sawa na Biblia.

MUNGU HAJARIBIWI

Biblia inasema kwamba: “Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala mwenyewe hamjaribu mtu,”

(Yakobo 1:13).

Sasa tuone hali ya Bwana Yesu Kristo kwamba yeye anayo sifa hii au ni kinyume chake.

Biblia inasema kwamba: “ Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi,” (Mathayo 4:1).

Mungu hajaribiwi lakini Yesu alijaribiwa na Iblisi, kwahiyo hawezi kuwa mungu, kwa sababu ya kukosa sifa hii
ya Mungu.
Huna akili,hazikutoshi.
 
MUNGU ANAJUA KILA KITU

Ni sifa ya Mwenyezi Mungu kujua kila kitu cha dhahiri na cha siri. Kitu chochote hakiwezi kufichika kwake.

Kama Biblia inavyosema kwamba: “Basi usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukampe kila mtu kwa kadri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote.” (1Wafalme 8:39).

Sasa tuone kiwango cha Bwana Yesu cha kujua mambo.

Biblia inasema kwamba: “Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara.” (Mathayo 21:18-19).

Mtu ambaye hajui kwamba msimu huu mti fulani haupatikani matunda ilhali hata watoto wadogo wanajua misimu ya matunda mbalimbali, hawezi kuwa Mungu.

Tena aya hii inaonesha tabia ya Bwana Yesu kwamba mwenyewe alikosea kujua msimu wa matunda ya mtini na kisha akaulaani mti bure.

Pia Bw. Yesu anakiri mwenyewe kwamba hajui chochote kuhusu habari za saa ile (Mathayo 24:36).
Hoja yako ni dhaifu sana.Elewa kuwa Yesu alikuwa na nafsi mbili,yaani Umungu na Ubinadamu,Km binadamu aliona njaa km sisi,alijaribiwa km sisi lkn hakutenda dhambi;Sehemu hiyo uliyonukuu ina ujumbe mkubwa na mzito uliobebwa na sio kuishia hapo ulipoishia.
 
MUNGU HACHOKI

Mwenyezi Mungu hana kasoro ya udhaifu wowote. Sifa zote njema zinamhusu yeye. Biblia inasema kwamba: J

e, wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana muumba miisho ya dunia, hasinzii wala hachoki, akili zake hazichunguziki.” (Isaya 40:28).

Sasa tuone hali ya Yesu. Je, yeye anayo sifa hii ya Mungu?

Kama hana, basi hawezi kuwa Mungu.

Biblia inasema: “Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo, Basi Yesu kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Nayo yapata saa sita.” (Yohana 4:6).

Basi mwenye kuchoka hawezi kuwa Mungu.
Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu pia aliziishi nafsi hizi kwa nyakati mbalimbali akiwa hapa duniani,km binadamu alichoka na kuona njaa pia.
 
Issa alikuwa na watoto wangapi?

Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims
"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS

'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
 
Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu pia aliziishi nafsi hizi kwa nyakati mbalimbali akiwa hapa duniani,km binadamu alichoka na kuona njaa pia.

Alikuambia mwenyewe wapi maneno hayo ??

Watu wengi hutangaza hadharani kwamba Yesu ni Munguhali hiyo hutokana na mtu kutokuwa na Elimu ya kutosha kuhusu chanzo chaYesu kuitwa Mungu katika nafsi ya Pili.

MASLAHI ya Dunia hii yamewafanya watu wengi wenye elimu kuhusu Yesu kuwa Mungu washindwe kuwaeleza watu ukweli kuhusu Umungu wa Yesu wameamua kuwadanganya makusudi.

Siri zilizomo Kanisani ambazo zinamzuwiya Kiongozi kuwafundisha watu ukweli na nidhamu ya woga iliyojengwa ndani ya Wafuasi inamfanya mtu akubali jambo bila kulielewa kabisa akiuliza husomewa Yohana 1:1-5 na kupewa tafsiri potofu lazima akubaliane na Kiongozi wake hiyo ndiyo Sera ya kudanganya watu na kweli wamedanganyika kama unavyowaona ukimwambia ukweli yuko tayari kupigana na kuuwa mtu, hata hivyo lazima ukweli tuuseme tu kwa kumuogopa Mungu. Matayo 10:26-27.

Kwa kuzingatia umuhimu wa somo hili inabidi tuligawe katika sehemu Nne ili kupata ushahidi wa fundisho la imani ya utatu wa Mungu mmoja. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo:-

Matamshi ya Yesu mwenyewe kuhusu Uungu wake. Anasemaje?

Wanafunzi wa kwanza wa Bwana Yesu walimfahamu kwamba ni Mungu au vipi?

Maaskofu waliofuata baada ya wanafunzi wa kwanza tangu Karne ya kwanza hadi karne ya tatu je? Walifundisha vipi kuhusu Yesu.

Imani ya utatu ilivyoanza hadi kuwa fundisho kamili na kanuni ya Wakristo Duniani pote.

Yesu anasemaje katika Injili yake:

Yohana 17:3 imeandikwa hivi – uzima wa milele ndiyo huu wakujue Munguwa pekee na Yesu uliyemtuma.

Katika Aya hii Yesu anasema kwamba ili kupata uzima lazima tumjue kwanza Mungu wa pekee na umjue Yesu Kristo aliyetumwa na Mungu, hapa Yesu hasemi lolote kuhusu yeye kuwa nafasi ya pili ya Mungu ila anakiri wazi yeye ametumwa na Mungu mmoja wa pekee.

Luka 2:40 imeandikwa hivi:- Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu amejaa hekima na neema ya Mungu ilikua juu yake.

Katika Aya hii tunaambiwa kwamba Yesu alijaa hekima na neema ya Mungu. Tahadhari ufikirie vizuri kwa makini sababu hapa inayonyesha kwamba bila ya Mungu kumpa neema Yesu asingelikuwa na hekima hii inaonyesha wazi Yesu ni kiumbe aliyeteuliwa na Mungu na hii ni kawaida yake Mwenyezi Mungu kwa Mitume na Manabii wake kuwapa neema na hekima.

Yohana 13:13 imeandikwa hivi:- Nanyi mwaniita Mwalimu na Bwana nanyi mwasema vema maana ndivyo nilivyo. Maneno hayo yatueleza wazi kwamba alikuwaa najua wazi kwamba yeye ni Mwalimu na Bwana ndiyo maana anawasifu wanafunzi wake, NANYI MWASEMA VEMA.

Matayo 23:9 imeandikwa:- Wala msimwite mtu Baba maana Baba yenu ni mmoja wa Mbinguni wala msiitwe Kiongozi maana Kiongozi wenu ni mmoja naye ndiye Yesu Kristo, hapa Yesu anaendelea kutuonyesha jinsi alivyo tofauti na Mungu hayuko sawa na Mungu daima Mungu ni Baba lakini Yesu ni Kiongozi tu.

Ufunuo: 1:1-2 imeandikwa hivi:- Ufunuo wa Yesu Kristo aliopewa na Mungu awaonyeshe watu wake……Naye akatuma Malaika akamuonyeshe Mtumwa wake Yohana……..Wakati ufunuo unatolewa na Mungu na kupewa Yesu wakati huo Yesu ameshatoka Duniani yuko Mbinguni, lakini bado inaonyesha Mungu ndiye mkubwa Yesu bado ni wakutumwa ili awaonyeshe watumwa kuhusu mambo yao yatakayokuja kama tulivyosoma.

Zipo Aya nyingi sana zinazoonyesha wazi alikuwa halijui kabisa fundisho la utatu.
 
Hoja yako ni dhaifu sana.Elewa kuwa Yesu alikuwa na nafsi mbili,yaani Umungu na Ubinadamu,Km binadamu aliona njaa km sisi,alijaribiwa km sisi lkn hakutenda dhambi;Sehemu hiyo uliyonukuu ina ujumbe mkubwa na mzito uliobebwa na sio kuishia hapo ulipoishia.

Wanafunzi wa kwanza walimuelewaje Yesu?

Matendo ya Mitume 3:13 imeandikwa hivi

Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na Wa yakobo, Mungu wa Baba zetu amemtukuza Mtumishi wake Yesu ambaye nyinyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake ili afunguliwe.

Maneno ya wanafunzi yalikuwa wazi kuwa Yesu ni Mtumishi wa Mungu tu yaani Mtume pia ni Nabii.

Matendo ya Mitume 4:27 imeandikwa hivi

maana ni kweli Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israel walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako Mtakatifu Yesu uliyemtia mafuta.

Wanafunzi wanaendelea na msimamo wao kwamba Yesu ni Mtumishi wa Mungu aliyetumwa (Mtume) tu.

Luka 24:19 imeandikwa:- Akawauliza mambo gani? Wakamwambia mambo yaYesu Wanazareti aliyekuwa mtu nabii mwenye uwezo wa kutenda na kusema mbele za Mungu na Wanadamu.

Marko 6:2 imeandikwa:- Na ilipokuwa Sabato aliingia katika Sinagogi,wengi waliposikia walishangaa wakasema huyu ameyapata wapi haya! Hekima gani hii? Aliyopewa huyu? Nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikonoyake? Huyu si ni yule Selemala mwana wa Mariamu na ndugu yao Yakobo na Yosef na Yuda na Simoni na Maumbu wake hawapo hapa? Maneno haya yanathibitisha kwamba watu waliomfahamu Yesu walishangaa matendo makubwa anayoyatenda hata hivyo walijua kwamba yeye ni Selemala wa Mwana wa Mariamu tu.

Marko 13:31 tunasoma hivi –

Mbingu na Nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe. Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna anaye ijua hata malaika wala Mwana (Yesu) ila Baba tu Mungu,

hapa Yesu alikua anazungumza habari ya siku ya mwisho alikiri wazi kwamba yeye siku haijui hata Malaika hawajui ila Mungu peke yake.
 
Huna akili,hazikutoshi.

Uungu wa Yesu ulianza hivi:-

Justin Marryr: Alimtaja Yesu kwamba alikuwako kuwa Binadamu alikua Malaika aliyeumba… Yesu alikua na cheo kidogo kuliko Mungu. Alifundisha mwaka 165A.D.

Irenayo.Alifundisha kwamba Mungu ni mmoja wa pekee hakuna tena mwingine wa kulingana naye …………..Yesu aliumbwa kama Malaika hayuko sawa na Mungu.Ilikuwa mwaka 200 A.D.

Naye Celement, wa Alexandaria. Alifundisha kwamba Mungu ni mmoja tuwa kweli asiyeumbwa na hawezi kuangamia Yesu ni wa pili lakini hayuko sawa na Mungu ilikua mwaka 215 AD.

Askofu Mkuu Rertuliano: Alifundisha kwamba Mungu ni mkubwa kuliko vyote….anayetumwa ni mdogo kwa yule anayemtuma. Yesu alitumwa na Mungu alifundisha hivyo mwaka 230 AD.

Askofu Hippolytus. Alifundisha kwamba Mungu ni mmoja wa pekee Muumba vyote hakuna tena kilichomtangulia Yesu aliumbwa na Mungu alifundisha mwaka 235 AD.

Naye Askofu Origen. Alifundisha kwamba Baba Mwana ni asili mbili tofauti ukilinganisha na Baba Mwana Yesu anayo nuru ndogo sana mbele za Baba alifundisha mwaka 250 AD.

baada ya kumsikiliza Yesu katika Injili yake katika Aya nilizotoa hatukuona Neno linalosema yeye ni Mungu hata kidokezo kidogo hakuna.

Baadaye tumewasikia wanafunzi wake wa kwanza waliotembea na Yesu pia hawakutuambia kwamba Yesu ni Mungu tumeona wakitaja kwamba. Yesu Mtume ,Mwalimu, Nabii, mtiwa mafuta, Bwana mtu, Selemala, Mwana wa Mariamu tu.

Kama tulivyoona Maaskofu wa kwanza nao hawakutuambia wazi kwamba Yesu ni Mungu au Roho Mtakatifu ni Mungu

kufika hapa unaweza kuuliza sasa fundisho hili kubwa na ndiyo kanuni ya Wakristo lilianza vipi? Hadi kuwa ndiyo imani kuu namna hiyo?

Je? Ni mpango wa Mungu kweli?

Naomba uendelee kusoma.
 
MOHAMED ALIKUWA ANANYONYA ULIMI WA HASAN.

Muhamad alikuwa akikaa uchi mbele ya wanaume wenzie na kunyonya ulimi wa Hasan kila siju ndani ya Msikiti.

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732

NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi.

Restless Hustler endelea kupata madini hapa. Leo nipo free nikueleze uislamu ni nini kwa kutumia kitabu chao wala sikashifu dini

Huna jipya la kumfanya Yesu kuwa ni Mungu

Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu pia aliziishi nafsi hizi kwa nyakati mbalimbali akiwa hapa duniani,km binadamu alichoka na kuona njaa pia.

Uungu wa Yesu ulianza vipi?

Tangu mwishoni mwa Karne ya tatu ulitokea mvutano mkubwa sana katika Kanisa kuhusu mafundisho ya Maaskofu kuhusu Cheo cha Yesu na Mariamu.

Mabishanohayo yaliendelea kwa kasi kila mtu alimtafsiri Yesu kivyake.

Hali ilizidi kuwa mbaya sana mnamo mwaka 325 AD ilimlazimu Mfalme wa wakati huo Konstantine awaite Maaskofu wote wakati huo Kanisa lilikuwa na Maaskofu 300 ili waje waelewane na kuwa na msimamo mmoja lakini ni sehemu tu ya Maaskofu walio hudhuria.

Wakati huo Konstantine alikuwa Mpagani mwabudu jua kwa wazazi wake, soma The Early Church.

Kwa hiyo aliwakusanya Maaskofu ili kuleta utulivu katika utawala wake. Mfalme huyu ndiye aliyekuwa Mwenyekiti na mtendaji muhimu katika mkutano huo.

Majadiliano yalikuwa makali sana iliwachukua miezi miwili bila mwafaka wowote ndipo Mfalme aliingilia kati na kutoa uamuzi wake na ndiyo ilibidi ufuatwe, yeye aliwaunga mkono wale waliosema Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli ni mwana wa Mungu aliye sawa na Baba yake Mungu, pia Mariamu ni mama wa Mungu pia ni Malkia wa Mbinguni.

Kwa hiyo Mfalme Mpangani akawa ameshiriki sehemu ya maana sana katika kumpandisha cheo toka kuwa mtume hadi kuwa Mungu kamili na Mariamu akawa mama wa Mungu.

Kama nilivyosema Kostantini alikuwa Mpagani hivyo, hakuwa na ujuzi kamili juu ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa katika Thiolojia ya Kigiriki alilojua ni kuleta amani katika utawala wake tu. Soma A. Short. History of Christian Doctrine.

Uamuzi huo ulikuwa ni wa kijeshi siyo hiyari hapo Maaskofu waliomuhofu Mfalme walitia sahihi zao lakini wengine walikataa waliokataa waliteswa sana na kunyanyaswa hadi waliuwawa kikatili sana.

Mkutano huo ulikuwa katika mji wa NICEA na uliitwa Baraza la NICEA mwaka 325 AD.

Uamuzi wa NICEA haukuleta utulivu kama walivyotegemea bali vurugu za hali ya juu, mateso na mauaji yalikuwa makubwa sana hasa kwa wale waliokataa fundisho hilo la Yesu kuwa Mungu na Mariamu mama wa Mungu, Malkia na Mbinguni.

Mateso na mabishano yalienea zaidi huko Ufaransa ya Kusini, Hispania na Ujerumani miaka mingi iliyopita hasa baada ya Patano la Milano ambapo Kostantini na Kanisa walishirikiana vizuri Makanisa yakajengwa kwa gharama za serikali hapo mateso yalizidi watu wengi waliuwawa vibaya hovyo hovyo tu.

Ilipofika mwaka 381 A.D. mambo yalizidi kuwa mabaya sana hapo Mfalme aliyekuwa anamiliki wakati huo Theodosius aliitisha tena mkutano wa Maaskofu wote katika mkutano huo Mfalme alitangaza rasmi kuunga mkono uamuzi wa Baraza la NICEA.

Pia walikubaliana Roho Mtakatifu aunganishwe katika utatu Mtakatifu hapo ndipo imani ya utatu wa Mungu Mmoja ilianza ili kuwathibiti wale waliokuwa wanapinga ilitolewa amri kwamba hakuna ruksa kwa mtu yeyote kupinga au kutafsiri neno linalohusu Biblia au mapokeo, soma Hati ya Funuo yaVaticani 10:4 imeandikwa:- Lakini haki ya kutoa tafsiri thabiti ya neno la Mungu au mapokeo imekabidhiwa mamlaka ya kifundishi ya Kanisa Katoliki peke yake tu. Mkutano huo unaitwa Baraza la Kostantinopol. Mwaka 381 A.D.

Historia inaendelea kutueleza kwamba Kanisa liliendelea kuwatesa na kuwauwa wote waliojaribu kupinga au kufafanua vingine mamlaka ya Kanisa ikishirikiana na serikali, watu waliteswa kwa njia nyingi, mfano:- wapo waliofungwa na kunyimwa chakula hadi kufa, wengine walitupwa kwenye zizi lililokuwa na wanyama wakali na kuliwa na wengine walilazimishwa kukalia vyuma vyenye moto, wengine walivalishwa shingoni mkufu wenye misumari yenye ncha kali baadaye misumari ilipigiliwa na kuingia shingoni hadi kufa. Wengine walibanwa na Koleo maalum Magotini na kuvunja miguu na kuwalazimisha wakubali mafundisho ya Kanisa la Roma.

Wapo waliochunwa ngozi ya mwili mfano wa mbuzi na walikufa kwa mateso mno. Uamuzi huu wakutisha ulikuwa unatimiza maneno ya Yesu Matayo 12:37-43.

Akasema azipandaye mbegu njema ni mwana wa Adamu lile Konde ni ulimwengu zile mbegu njema ni wana wa Mfalme, yale magugu ni wana wa yule mwovu aliyepanda ni Ibilisi mavuno ni mwisho wa dunia wavunao ni malaika kama vile magugu yanavyokusanywa na kuchomwa motoni ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa Dunia… mwenye masikio na asikie.

Uamuzi huo ulitimiza kweli magugu yalikuwa yamepandwa Ulimwenguni imani ya uongo iliingia kwa nguvu kama vile magugu yanavyoingia shambani na kuharibu ngano ndivyo ilivyo hadi leo hii fundisho hilo la uongo limekuwa ndiyo msingi mkubwa wa imani ya Kanisa Duniani pote.

Ipo njia inayoonekana kuwa sawa machoni mwa mtu lakini mwisho wake ni mauti mithali 14:12 Viongozi wa Kanisa waliona kwamba njia nzuri ya kumuheshimu Yesu ni kumpandisha Cheo toka Mtume wa Mungu hadi kuwa Mungu sawa na Mungu Muumba vyote kabisa.

Mariamu akapandishwa kutoka mama wa Mtume Mtakatifu. Viongozi wakampandisha cheo cha mama wa Mungu nani Malkia wa Mbinguni!!! Viongozi hao inafaa wafungwe jiwe la kusagia shingoni sababu wamewakosesha watu hadi leo hii wanaendelea kuwakosesha kwa mafundisho ya uongo Marko 9:42.

Ninakushauri uende Maktaba utaona vitabu na kurasa maelfu ambavyo wanathiolojia wamejitahidi sana kutoa fafanuzi mbalimbali na mitajo ya kila aina ili kupata ukweli wa mambo kuhusu utatu lakini huishia kuchanganyikiwa, na kuacha bila kuelewana hawapati ushahidi .
 
MOHAMED ALIKUWA ANANYONYA ULIMI WA HASAN.

Muhamad alikuwa akikaa uchi mbele ya wanaume wenzie na kunyonya ulimi wa Hasan kila siju ndani ya Msikiti.

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732

NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi.

Restless Hustler endelea kupata madini hapa. Leo nipo free nikueleze uislamu ni nini kwa kutumia kitabu chao wala sikashifu dini

Tulia huna hoja

Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu pia aliziishi nafsi hizi kwa nyakati mbalimbali akiwa hapa duniani,km binadamu alichoka na kuona njaa pia.

Wanatheolojia wanasemaje?

Kitabu cha A. Short History of Christian Doctrine. Mwanathiolojia Bernhard Lohse anaeleza kwamba ingawa Agano Jipya linahusika sana hata hivyo hatupati fundisho la utatu katika Agano Jipya.

Kitabu cha New International Dictionary of New Testament Theology, kinasema hakuna kabisa ushahidi katika Agano Jipya unaothibitisha utatu.

Profesa wa Chuo Kikuu cha yale E. Washburn Hopkins anasema katika kitabu cha Origin and Evolution of Religion kwamba hata Yesu mwenyewe halijui kabisa fundisho hilo la utatu sababu hakuna mtajo popote unaotuambia kwamba yeye ni Mungu (Yesu).

Mwana Historia Arthur. Wegal anasema katika kitabu cha The Paganismin our Christianity kwamba wazo la utatu liliingizwa na viongozi wa kanisa mnamo karne ya tatu baada ya Yesu kuondoka……Vitabu vyote vya Agano la kale na Injili zote nne hakuna fundisho hilo kabisa kama linavyofundishwa makanisani duniani pote siku hizi.

Kitabu cha New Catholic Encyclopadia tunapata maelezo kwamba mamlaka ya Kanisa husema wazi kwamba utatu siyo fundisho la moja kwa moja……..ilani fumbo la imani tu.

Kitabu cha Kikatoliki Trinitas A. Thiolojicar Encyclopandia of the Holy Trinity. Tertuliano. Baadhi ya mafundisho yake yalitumiwa na watu wengine…….na hutahadharisha kutokua na haraka kuhusu utatu.

Katika vitabu vya New Catholic Encyclopadia na The Encyclopadia of Religion wanathiolojia hukubaliana kwamba katika Biblia hakuna fundisho la utatu…..kabisa.

Mwanathiolojia Myeswiti Edmund Fortiman anatueleza katika kitabu cha The Triune God kwamba katika Agano la Kale hatuoni ushahidi wa mwandishi mtakatifu yeyote anayetuambia lolote kuhusu utatu….. uchunguzi wa maandiko Matakatifu ya kiebrania umeonyesha kwamba hakuna fundisho la ajabu jinsi hiyo katika Biblia.

Kitabu cha Encyclopadia Americana kinasema kwamba imani ya utatu lilikuwa fundisho la upotevu tangu Karne ya nne.

Baada ya kupitishwa uamuzi huo Historia, inatuonyesha kwamba fundisho hilo halikupokelewa kama ilivyotarajiwa watu waliendelea kupinga sana hata hivyo waliopinga waliteswa, kudhalilishwa, mateso haya yaliongozwa na Kanisa lenyewe.

Na baada ya karne nyingi utatu ulipangwa imara sana, kitabu cha TheEncyclopadia Americana kinatueleza kwamba imani ya utatu ilikuwa magharibi katika mifumo ya kinadharia ya wanachuo katika enzi za katikati ambapo ufafanuzi ulianza kutolewa kwa namna ya Falsafa na Saikolojia.

Historia inaendelea kutudokeza kwamba imani ya utatu haikujulikana katika Kanisa la Mashariki mpaka Karne ya 12 The Encyclopadia Britanica hadi karne ya 17 inaonekana kwamba imani hiyo ilitungwa kusini mwa Ufaransa karne ya 5 sababu inaonyesha kwamba mvutano mkubwa ulikuwa Kusini mwa Ufaransana Hispania na katika karne 6 – 7 ilitumiwa katika Liturjia ya Kanisa Ujerumani ilianza kutumiwa Luturjia ya utatu karne ya 9 na baadaye kidogo ilianza kutumiwa Roma.

Kwa maana hiyo fundisho la utatu lilichukua miaka mingi sana tangu lipitishwe hadi kukubaliwa na watu wengi naye E.W. Hopkins anasema katika kitabu cha Origin and Evolution of Religion. Misimamo yafundisho la utatu ililenga hasa katika Siasa ya Kanisa tu, siyo fundisho la kweli.

Baada ya uamuzi kupitishwa kilichofuata ni utekelezaji jambo ambalo lilikuwa gumu sana. Ukisoma A. Dictionary of Religions Knowledge inasema kwamba, Wana utatu hawaafikiani wao kwa wao wenyewe kuhusu fundisho hilo la utatu jinsi linavyopaswa kufafanuliwa.

New Catholic. Encyclopadia kinasema ni walimu wachache wa Thiolojia ambao huwa hawasumbuliwi na maswali wanapofundisha katika Seminari za Kiroma.

Lakini mtu anawezaje kuhubiri kuhusu utatu?

Na iwapo swali hilo ni dalili za mvurugiko kwa wanafunzi basi ni dadili ya mvurugiko hata kwa Maprofesa wao.

Naye Myeswiti Joseph Brackon anatueleza kwamba Mapadri ambao kwa bidii sana miaka mingi wawapo Seminary hujifunza utatu….. husita kuufundisha siku za Jumapili soma Are They Saying About the Trinity

kwa nini mtu achoshe watu kwa fundisho ambalo hawawezi kulielewa? …….tofauti zinazofundishwakuhusu utatu haziwezi kutosheleza kumfanya Muislamu aelewe mitajo ya Kitheolojia iliyotokana na kisiria, Kigiriki na Kilatini humfanya Muislamu, kuuona huo ni upuuzi na mchezo wa maneno…..kwani mtu aongeze kitu katika upweke wa Mwenyezi Mungu Muumba wa vyote?
 
Isa ana hasira tele na Misalaba na Nguruwe.
Yaani atoke mafichoni kuja kuvunja Misaraba na kuua Nguruwe tu basi.

Ila hajawekwa wazi ni Misalaba ya aina gani ana hasira nayo.
Mingine hii hapa [emoji455][emoji955][emoji271]

Shame" of long hair says St Paul

JESUS

1684700898629.png

"Doth not even nature itself teach you, that, if a man have long hair, it is a shame unto him?"
– 1 Corinthians 11.14.
 
MOHAMED ALIKUWA ANANYONYA ULIMI WA HASAN.

Muhamad alikuwa akikaa uchi mbele ya wanaume wenzie na kunyonya ulimi wa Hasan kila siju ndani ya Msikiti.

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732

NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi.

Restless Hustler endelea kupata madini hapa. Leo nipo free nikueleze uislamu ni nini kwa kutumia kitabu chao wala sikashifu dini
Mungu akupe mtihani kwa unayoshinda unayatawanya humu jf pasi na kua na elimu nayo maana wew husikilizi la mtu unamwaga tu likujialo kichwani na iwe kheri au Baina yake ukionjeshwa mtihani.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims
"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS

'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
Issa alioa? Jibu ndio au hapana
 
Issa alioa? Jibu ndio au hapana

Uliisoma hii habari ?? Au joto limekubana akilini

Ndio nakuuliza nabii Isa alioa?
 
Issa alioa? Jibu ndio au hapana

Biblia inasema kwamba Bwana Yesu Kristo alikuwa akipatikana na mwanamke mmoja aitwaye Mariam Magdalena.

Yeye alikuwa karibu sana na Yesu. Vitendo vyao vinaonesha kwamba, walikuwa mume na mke au marafiki wapenzi.

Sisi hatuamini kwamba nabii anafanya urafiki na mwanamke na kumpangusa miguu yake kwa kichwa na kum’busu, bali yeye alikuwa mke wake.

Basi tusome Biblia kisha tuone kwamba huyo alikuwa nani?:

1. “Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marhamu. Akasimama nyuma karibu na miguu yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kupaka yale marhamu. Basi yule Mfarisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake. Mtu huyu kama angekuwa mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), Yule mkuu wa meza alimwita Bwana arusi, akamwambia, kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.” [Yohana 2:1-10].

Katika aya hizi mambo yafuatayo yanathibitisha kwamba arusi ile ilikuwa ya Bwana Yesu Kristo.

(A) Bwana Yesu, mama yake na wanafunzi wake walikuwepo huko. Kualikwa katika arusi ya mtu mwingine haingewezekana. Kwa sababu hawakuwa na uhusiano mzuri na watu wengine, ila waalikwa wote. Basi arusi ilikuwa ya Yesu mwenyewe.

(B) Wakati divai ya arusi ilipokwisha, Mariamu mama yake Yesu, alishituka na alihangaika sana, na mara moja alikwenda kwa Bwana Yesu kumwambia afanye chochote sasa, maana itakuwa fedheha mbele ya wageni.

Mahangaiko ya Bi Mariamu yanaonesha kwamba yeye hakuwa mgeni bali alikuwa mwenyeji na msimamizi wa arusi ya mwanawe Yesu. Waila wageni hawatishiki kwa kupungua au kwisha chakula.

(C) Wakati Bwana Yesu aliambiwa apange mpango wa kuongeza divai ya arusi, alimwambia mama yake kwamba leo mimi ni bwana arusi, hivyo siwezi kuhangaika. Kwa sababu ya kukaa juu ya kiti cha Bwana arusi, saa yangu haijawadia.

(D) Bi Mariam aliwaita wanafunzi kumsaidia Yesu kupanga mpango wa divai, wote walishughulika kufanya kazi ile.

Hiyo inaonesha kwamba arusi ilikuwa nabii angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, na ni wa namna gani ya kwamba ni mwenye dhambi. (Luka 7:37-38).

2. “Basi mtu mmoja alikuwa hawezi Lazaro wa Bethana, mwenyeji wa mji wa Mariamu, dada yake.

Ndiye Mariam yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu kwa nywele zake, ambaye Lazaro nduguye alikuwa hawezi (Yohana 11:1-2).

3. “Basi Mariam akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akimpaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake.’’ (Yohana 12:3).

4. “Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia

Simoni, wamuona mwanamke huyu? niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu, bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu; na kuipangusa kwa nywele zake. Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu. Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka kichwa changu mafuta’’ (Luka 7:44-46).

5. “Basi Mariamu pale alipokuwapo Yesu, na kumuona, alianguka miguuni pake, akamwambia Bwana, kama ungalikuwepo hapa, ndugu yangu hangali kufa. Basi Yesu alipomuona analia na wale Wayahudi aliyofuatana nao wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake akasema mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. Yesu akalia machozi.’’ (Yohana11:32-35).

6. “Biblia inaeleza habari ya arusi moja, iliyofanyika huko Kana ya Galilaya. Imeandikwa: “Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo, Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia,

Hawana divai. Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. Mamaye akawaambia watumishi, lolote atakalowaambia, fanyeni. Basi kulikuwako huko mabalasi sita ya mawe, nayo yamewekwa huko kwa desturi ya Wayahudi ya kutawadha, kila moja lapata kadiri ya nzio mbili tatu.

Yesu akawaambia, jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaza hata juu. Akawambia, sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa meza. Wakapeleka. Naye ya Bwana Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakimsaidia katika shughuli za arusi. Maana
hawakuwahi kufanya kitu kama hiki kabla.

(E) Mkuu wa meza alikuwa mtu mwingine. Kama arusi alikuwa siyo Yesu basi yeye angekuwa mkuu wa meza kulingana na heshima yake. Lakini kama Yesu alikuwa bwana arusi basi mwingine anaweza kuwa mkuu wa meza.

(F) Yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi na kumpongeza kwa kutengeneza divai nzuri. Kwavile bwana Yesu ndiye aliyetengeneza divai basi ni yeye pia aliyekuwa bwana arusi.

Basi arusi ya Kana ya Galilaya ilikuwa ni arusi ya Bwana Yesu.

Je, mtu aliyeendelea kufanya mapenzi na mwanamke au aliyeoa anaweza kuwa mungu?
 
Hata hivyo ukivisoma hivi itabu vya Kiislamu Quran na hadithi utagundua ya kuwa Issa hajawahi kuwepo ni watu waliokaa na kunakili yaliyomo ndani ya Biblia na kuyabadilisha watakavyo.

Was there a Jesus? Of course there was a Jesus – many!

The archetypal Jewish hero was Joshua (the successor of Moses) otherwise known as Yehoshua (Yeshua) bin Nun (‘Jesus of the fish’). Since the name Jesus (Yeshua or Yeshu in Hebrew, Iesous in Greek, source of the English spelling) originally was a title (meaning ‘saviour’, derived from ‘Yahweh Saves’) probably every band in the Jewish resistance had its own hero figure sporting this moniker, among others.

Josephus, the first century Jewish historian mentions no fewer than nineteen different Yeshuas/Jesii, about half of them contemporaries of the supposed Christ! In his Antiquities, of the twenty-eight high priests who held office from the reign of Herod the Great to the fall of the Temple, no fewer than four bore the name Jesus: Jesus ben Phiabi, Jesus ben Sec, Jesus ben Damneus and Jesus ben Gamaliel. Even Saint Paul makes reference to a rival magician, preaching ‘another Jesus’ (2 Corinthians 11,4). The surfeit of early Jesuses includes:

esus ben Sirach. This Jesus was reputedly the author of the Book of Sirach (aka 'Ecclesiasticus, or the Wisdom of Jesus the Son of Sirach'), part of Old Testament Apocrypha. Ben Sirach, writing in Greek about 180 BC, brought together Jewish 'wisdom' and Homeric-style heroes.

Jesus ben Pandira. A wonder-worker during the reign of Alexander Jannaeus (106-79 BC), one of the most ruthless of the Maccabean kings. Imprudently, this Jesus launched into a career of end-time prophecy and agitation which upset the king. He met his own premature end-time by being hung on a tree – and on the eve of a Passover. Scholars have speculated this Jesus founded the Essene sect.

Jesus ben Ananias. Beginning in 62AD, this Jesus had caused disquiet in Jerusalem with a non-stop doom-laden mantra of ‘Woe to the city’. He prophesied rather vaguely:

"A voice from the east, a voice from the west, a voice from the four winds, a voice against Jerusalem and the holy house, a voice against the bridegrooms and the brides, and a voice against the whole people."

– Josephus, Wars 6.3.

Arrested and flogged by the Romans, Jesus ben Ananias was released as nothing more dangerous than a mad man. He died during the siege of Jerusalem from a rock hurled by a Roman catapult.

Jesus ben Saphat. In the insurrection of 68AD that wrought havoc in Galilee, this Jesus had led the rebels in Tiberias ("the leader of a seditious tumult of mariners and poor people" – Josephus, Life 12.66). When the city was about to fall to Vespasian’s legionaries he fled north to Tarichea on the Sea of Galilee.

Jesus ben Gamala. During 68/69 AD this Jesus was a leader of the ‘peace party’ in the civil war wrecking Judaea. From the walls of Jerusalem he had remonstrated with the besieging Idumeans (led by ‘James and John, sons of Susa’). It did him no good. When the Idumeans breached the walls he was put to death and his body thrown to the dogs and carrion birds.

Jesus ben Thebuth. A priest who, in the final capitulation of the upper city in 69AD, saved his own skin by surrendering the treasures of the Temple, which included two holy candlesticks, goblets of pure gold, sacred curtains and robes of the high priests. The booty figured prominently in the Triumph held for Vespasian and his son Titus.
 
Hata hivyo ukivisoma hivi itabu vya Kiislamu Quran na hadithi utagundua ya kuwa Issa hajawahi kuwepo ni watu waliokaa na kunakili yaliyomo ndani ya Biblia na kuyabadilisha watakavyo.

But was there a crucified Jesus?

Certainly. Jesus ben Stada was a Judean agitator who gave the Romans a headache in the early years of the second century.

He met his end in the town of Lydda (twenty five miles from Jerusalem) at the hands of a Roman crucifixion crew. And given the scale that Roman retribution could reach – at the height of the siege of Jerusalem the Romans were crucifying upwards of five hundred captives a day before the city walls – dead heroes called Jesus would (quite literally) have been thick on the ground.

Not one merits a full-stop in the great universal history.
 
Hata hivyo ukivisoma hivi itabu vya Kiislamu Quran na hadithi utagundua ya kuwa Issa hajawahi kuwepo ni watu waliokaa na kunakili yaliyomo ndani ya Biblia na kuyabadilisha watakavyo.

Artificial

'The Jesus of the Gospels is an artificial creation, a collective work of art who evolved through the combined consciousness of two generations of Christian worship.'

– A. N. Wilson (Paul, p144)

No Evidence

''Whether Jesus ever actually existed has long been debated. The argument (very well documented) is that there is absolutely no corroborating evidence of his existence in documents other than highly suspect Christian sources.'

– Riane Eisler (The Chalice & the Blade, p122)

Non-Christian Testimony?

Not even born in 30 AD:

Josephus – c 37 - c 100 AD
Tacitus – c 55 - c 117 AD
Suetonius – c 69 - 140 AD

​

​

​

Back
Top Bottom