Today is My Birthday

Today is My Birthday

Haya bana.....happy birthday...na shetani hana siku maalumu

images
google friday 13 th kisha nipe feedback
 
Jamani Boflo is there anything inaweza kufanyika ili mambo yarudi vizuri? Lets go PM for this.
BTW hongera on your BD, wakati unasherekea jana, nami nimepata mjukuu wa kiume from my niece ndio maana sikuweza kuingia jamvini na kukupa hongera zako.
usijali Kaunga tuko pamoja
Hongera sana kwa mjukuu..
 
Thanx Mwali....nataka kukuadd whatsapp, viber au tango utanikubalia?? Usikatae kama
Ulivoninyima kunipa genuine fb account
hahahaha, ngoja nakutumia details via PM, usijali. the times of anonymity are over, I want to merge my accounts and post my facebook/twitter na mengine on my home page. 🙂 #ProudToBeMe
 
Haaa Boflo, nadhani umeshagota kwenye ku grow-up sasa naona mwendo wa ku grow-down

najua ulipokuwa mtoto ulikuwa unatamani sana ukubwa, maana ukiulizwa una miaka mingapi lazima utaje na miezi, miaka kumi na nusu, au kumi na miezi nane,
lakin sasa naona utakuwa bize na pico, tusheti na jeans, ili mradi na wewe uwepo

HAPPY BIRTHDAY Boflo
 
Last edited by a moderator:
Jamani Boflo is there anything inaweza kufanyika ili mambo yarudi vizuri? Lets go PM for this.
BTW hongera on your BD, wakati unasherekea jana, nami nimepata mjukuu wa kiume from my niece ndio maana sikuweza kuingia jamvini na kukupa hongera zako.
Mi nikisikia watu wanaitana PM akili yote inanisimama, si unajua Kaunga?
ntakuambia u-cc
cc. Boflo
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaaa........to the birthday boy (though avatar ni she)
cc Boflo jana nilikuja mitaa hiyo nikakwama pale kwenye mishkaki ya nundu......hope you enjoyed!
Zawadi yako naomba niile kwa niaba yako!

niaje Paloma?hapo kwa red nani kakuambia kwenye avatar ni she?hilo ni liji-hamisi limejipodoa!chezea Boflo wewe!
 
Akiwa anapita na bus kwenda kwao Peramiho ni lazima apitie maskani Mfaranyaki. Huwa anakuja kuomba maji akiwa pamoja na Teja. Pia yeye na Teja wametengeneza CDs nyingi baada ya kunyonya vitu mbali mbali ninavyoweka hapa hapa.
Ulijuaje rafiki?
Pay back time, burudika na huu hapa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ngoja nijaribu kukumbuka 🙂🙂....without any doubt I don't want to miss a thing 😛oa😛oa😛oa

Ahsante rafiki.


Ulijuaje rafiki?
Pay back time, burudika na huu hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom