Today is My Birthday

Today is My Birthday

Mkuu Boflo I would like to take this opportunity on your 21st Birthday to wish you good health, happiness, prosperity and love. Happy Birthday.
snowhite mie mzima kabisa namshukuru Muumba wetu, ukimuona dada yako FP mwambie BAK wa JF anamsalimia sana 🙂🙂
salamu zimefika rafiki, shukrani sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Thanx sana BAK kwa nyimbo nzuri ya Stivie Wonder ...
shukrani kwa snowhite alie request for me...
kuna kitu nimegundua kua BAK unampenda sana sana @FP
wish u all de best
Hata mimi nimeligundua hilo Boflo......
Asante sana kwa best wishes.....
Hope you had a great day
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimekupa hii sijui kama utaipenda bottlecap-birthday-bro.gif
 
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa tarehe 13 inahusishwa na shetani
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha hata kufika hapa...
Nawakaribisha wana JF wote watakao weza kufika nyumbani Kibasila str karibu na Shaban Robert School mpate japo cake na pombe
Love u all

Hivi Boflo ulizaliwaje? Nyumbani au hospitali? Kwa kawaida au kwa operesheni?....manake mambo yako siyo ya kawaida kabisa
 
Last edited by a moderator:
jamani si ni pale karibu na kile chuo kikuu cha nini vile cha aga aga...........

Aaah Agakhan university iko distance kdg labda uniambie hall lao ambalo ndio Diamond jubilee
 
Happy birthday Boflo, nitakucheki later on skype for my wishes. Kiss kiss
 
Last edited by a moderator:
Go sharwty its yo birthday,we gon party lyk its yo bday,we gon sip bikad lyk its yo bday n u kno we don giv a hell lyk its yo bday.
 
Happy birthday Boflo, nitakucheki later on skype for my wishes. Kiss kiss

Thanx Mwali....nataka kukuadd whatsapp, viber au tango utanikubalia?? Usikatae kama
Ulivoninyima kunipa genuine fb account
 
Aaah Agakhan university iko distance kdg labda uniambie hall lao ambalo ndio Diamond jubilee

aaah mi hiyo mitaa inaniconfuse! (kwa lafudhi ya kihaya)
mradi nilikuwa mishkaki ya nundu nikacelebrate besdei yako....i hope nawe ulifurahi!!!:kev:
 
U were born a day after me.....awesome and happy birthday
 
Hivi Boflo ulizaliwaje? Nyumbani au hospitali? Kwa kawaida au kwa operesheni?....manake mambo yako siyo ya kawaida kabisa
Aisee Safari umeniuliza maswali muhimu sana....
ninajua kuwa nimezaliwa friday 13th siku ya shetan
kwenye birth certificate inaonyesha nimezaliwa
Where born: DR K.K.Khan maternity
sijajua ndio wapi, na pia sijui kama usiku au mchana, ninataka pia kujua time haikuandikwa
Kumuuliza mama siwezi, cause siongei naye sasa hv ni more than 5 yrs Kaunga anajua
 
Haya bana.....happy birthday...na shetani hana siku maalumu

images
 
Aisee Safari umeniuliza maswali muhimu sana....
ninajua kuwa nimezaliwa friday 13th siku ya shetan
kwenye birth certificate inaonyesha nimezaliwa
Where born: DR K.K.Khan maternity
sijajua ndio wapi, na pia sijui kama usiku au mchana, ninataka pia kujua time haikuandikwa
Kumuuliza mama siwezi, cause siongei naye sasa hv ni more than 5 yrs Kaunga anajua

Jamani Boflo is there anything inaweza kufanyika ili mambo yarudi vizuri? Lets go PM for this.
BTW hongera on your BD, wakati unasherekea jana, nami nimepata mjukuu wa kiume from my niece ndio maana sikuweza kuingia jamvini na kukupa hongera zako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom