Happy birthday my luv Boflo.........japo nimechelewa.....nimeona nisikose kabisa.......
kamata na hii zawadi........
Yaaa ilikuwa Friday 13th
Boflo go drunk you are home...Asanteni sana wana jf
baraka za bwana ziwe juu yenu
Nimependa sana wishes zenu
nashukuru kwa wote walionitumia zawadi za
digital cakes, drinks, etc
maisha yamebadilika sana siku hizi, mambo
yamerahisishwa sana, kila kitu digital
Thanks all of you!!
Asanteni sana wana jf
baraka za bwana ziwe juu yenu
Nimependa sana wishes zenu
nashukuru kwa wote walionitumia zawadi za
digital cakes, drinks, etc
maisha yamebadilika sana siku hizi, mambo
yamerahisishwa sana, kila kitu digital
Thanks all of you!!
Hahaha. Ww mjanja Palomahahahahahaaaa........to the birthday boy (though avatar ni she)
cc Boflo jana nilikuja mitaa hiyo nikakwama pale kwenye mishkaki ya nundu......hope you enjoyed!
Zawadi yako naomba niile kwa niaba yako!
Hahaha. Ww mjanja Paloma
unaijua mishkaki ya nundu