usilaumu bure jiografia hapo ndio inahusika mama..
Happy bday to u, mie keki yangu niwekee ntaipitia kesho ofcn kwako, umpe secretary wenu ntaichukua kwake. Make ur wish and in two years it will come true.Leo nisiku yangu ya kuzaliwa tarehe 13 inahusishwa na shetani
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha hata kufika hapa...
Nawakaribisha wana JF wote watakao weza kufika nyumbani Kibasila str karibu na Shaban Robert School mpate japo cake na pombe
Love u all
Jiografia kitu gani?hapo imeonesha mtaa tu but no house number...so niende kwenye hyo street nianze kuulizia kwa akina Boflo? we coz hujaishi kwenye miji ilopangwa thats why unona hyo map imekamilika. Ndeticha wewe umeelewa nipatie house number hapo coz nijuavyo mitaa ya upanga ina hadi namba za nyumba....do it for me pls