tanzania65
Member
- Mar 20, 2007
- 28
- 9
Chanzo changu cha karibu sana kinaniambia leo jamaa ataachia ngazi rasmi...na anakokwenda kutajulikana very soon!
ainkiller:
ainkiller:
Ni majina ya kibondei tu hayo,je kukiwa na akina Mushi au Tarimo kibao kwenye shirika utalalamika kuwa wote ni ukoo mmoja,otherwise kama una hakika kama hao wote ni ndugu ndio ulalamikeGrEaTthinKers
Hivi hakuna watanzania wengine wanaoweza kutangaza?
Kwa nini TBC imejaa ukoo mmoja?
Tido kwangu ni KicheFf Cheff:A S-smoking:
Think.
mmh ila hao hata sura zimefanana, hapo napo jee??!Ni majina ya kibondei tu hayo,je kukiwa na akina Mushi au Tarimo kibao kwenye shirika utalalamika kuwa wote ni ukoo mmoja,otherwise kama una hakika kama hao wote ni ndugu ndio ulalamike