ngoshakolya
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 118
- 98
Wanajamii kwanza nikiri kuwa nimechukizwa sana na KITENDO cha leo TBC 1 kuondoa sauti katika kipindi cha leo bungeni ambapo wabunge walikuwa wanachangia jambo muhimu kwa maslahi ya nchi yetu, hii maana yake nini?