Tido Mhando atemwa TBC

tanzania65

Member
Mar 20, 2007
28
9
Chanzo changu cha karibu sana kinaniambia leo jamaa ataachia ngazi rasmi...na anakokwenda kutajulikana very soon!

:painkiller:
 
Anang'atuka TBC na atabakia serikalini ama anarejea ughaibuni kwenye fani yake ya media kama kawaida?
 
GrEaTthinKers
Hivi hakuna watanzania wengine wanaoweza kutangaza?
Kwa nini TBC imejaa ukoo mmoja?

Tido kwangu ni KicheFf Cheff:A S-smoking:

Think.
 
sasa wafanyeje na kama wanasifa za kufanya kazi kuna ubaya gani!??
 
GrEaTthinKers
Hivi hakuna watanzania wengine wanaoweza kutangaza?
Kwa nini TBC imejaa ukoo mmoja?

Tido kwangu ni KicheFf Cheff:A S-smoking:

Think.
Ni majina ya kibondei tu hayo,je kukiwa na akina Mushi au Tarimo kibao kwenye shirika utalalamika kuwa wote ni ukoo mmoja,otherwise kama una hakika kama hao wote ni ndugu ndio ulalamike
 
Tafuta thread niliyoiita hivi "JK NA MIMI NAITWA MHANDO" utakuta kua majina ya Muhando yana bahati sana na JEYKEY! Au umemsahau mkurugenzi mkuu wa TANESCO? Ni Muhando pia
 
If what is said is true, it would be a good riddance; the man has proved to be a stooge of the first order.
 
Back
Top Bottom