Tido Mhando atemwa TBC

nimekuwa nikufuatilia kile kipind cha ujumbe kupitia muziki kinachorushwa ucku wa manane_yaan huyu jamaa angeckilizwa na jk au wajumbe cc ya ccm lazima angefukuzwa kaz, jamaa anaelezea utafiti uliofanyika hiv karibun unaonyesha tanzania ni nchi ya pili duniani kwa wing wa mali asili _jamaa kaelezea madini,hifadh, misitu, maziwa n.k na kuanza kulinganisha maisha ya watanzania na jinsi Mafisad wanavyonufaika na Machinga wanavyopigwa virungu, huduma za afya na wamama wanavyozalia njian yaani Kamalizia na ule mziki wa KILIO CHA SAMAKI MACHOZ HUENDA NA MAJI_anawahamasisha watanzania wajitokeze kudai haki huku akipinga waz waz DOWANS na EPA, kamaliza hapo akaingia mwingine na Kipindi cha Urithi wetu_huyo ndo akamaliza kila kitu, yaan utabaini watu wamechoka bila uoga jamaa wanaishambulia govt live_kweli Mhando kaacha mabadiliko makubwa tbc_ilikuwa vigum sana kuckia mawazo ya kiharakat live kutoka kwa watumish wa vyombo vya umma_viva frelimo

FRELIMO inaingiaje hapa?
Wewe ni Mtanzania? au upo maeneo ya Maputo?
 
Ujumbe mzuri itakuwa vema kama watangazaji wengine wakiiga,kwa sisi wabeba bokis tunakosa vingi vya nyumbani. Naona kaweka frelimo akimaanisha watanzania tuamke kama wanamsumbiji.
 
Ujumbe mzuri itakuwa vema kama watangazaji wengine wakiiga,kwa sisi wabeba bokis tunakosa vingi vya nyumbani. Naona kaweka frelimo akimaanisha watanzania tuamke kama wanamsumbiji.

jamaa aliijengea sana sifa tbc na serikali nikipima mafanikio naona ni makubwa sana kuliko sababu za kumtoa wangemuacha tu na kumpa mkataba mwingine
 
Kwaheri mwana mageuzi wa tasnia ya habari nchini ndg tiddo mhando, hii ndio tanzania yetu nchi ya ahadi, nasema haya kwa kuwa jana rais amemteua rasmi ndg clement mshana kuwa mtendaji mkuu wa shirika la utangazaji nchini ambalo awali lilikuwa linaongozwa na tiddo mhando aliyeleta mageuzi makubwa ya tasnia ya habari nchini

tiddo mhnado alikuwa bbc kama mkuu wa idhaa ya kiswahili na alirudi nyumbani kujenga taifa ila serikali yetu haina fadhila imemtema katika mazingira tata na kumuharibia future yake aliyokuwa anaota
 
Yeah, Kwa heri Dunstan Tiddo Mhando as TBC is sagaciously and officially interred. RIP TBC....
 
Back
Top Bottom