This is how l lost it.....

This is how l lost it.....

Wifi! Wakati nachangia hii nilisoma post yako ya kwanza tu! Sikujua ni personal experience. I am sorry for what happened to you! You are a survivor, and i am very proud of you. Asante kwa ujasiri wa kushare hii.

Kitu kimoja naendelea kushangaa hadi leo, labda baba na mama walitofautiana sometimes. Lakini nimekua na baba mkali sana na mama strict but very understanding na shosti wa ukweli. Nikifikiria nilivyokiwa open kwake, na hakugomba wala kureact basi huwa najishangaa. Muhimu ni kuwa karibu na wapwa zangu, hakikisha wanakuambia kila kitu. Mfano, hapo kwenye incident ya simu ungekuwa ulisema, ungelindwa. Lakini hakukuwa na room kwako kusema.

Nafurahi ile problem ya mwenetu ya shule tuliihandle vizuri na kushiriki kama sehemu ya matatizo yako. You are doing well with our son. Mungu atangulie kila jambo.

You are never defeated unless you give up. And to be a victim is a choice. To be happy is a choice as well! Unajua nakupendaje?
Yesu angezaliwa kabla bikira Maria kuwepo, perhaps ungekuwa mama yake. Ana heri mama aliyekuzaa.
 
Nnavyopenda morning glory afu ndo nizae kwa uwezo wa roho, akhuuuu! Hebu futa hiyo sala yako?

Yesu angezaliwa kabla bikira Maria kuwepo, perhaps ungekuwa mama yake. Ana heri mama aliyekuzaa.

Enhee, hayo ndo.maneno. Nanoa bunduki hapa. Senk yuuu!
Hahahah.... Go ahead....Just do the killings, And i will be busy in the burial ceremonies........
 
The more i read this, the more i realise how sometimes wazee walikua careless na naive

pole aseee.....
 
Pole sana kwa yaliyokupata Kaunga..Mungu ni mwema na namshukuru kwa ajili yako kwamba pamoja na magumu haya wewe ni mmoja wa wanawake imara na wenye hekima.

Kwa imani yangu, jaribu hili lilimpasa mtu mwenye ujasiri kama wako ili uweze kutushuhudia sisi na jamii inayotuzunguka. La muhimu sana Mungu alikulinda ukatoka salama!

Hii kwa leo imekuwa sala yangu ya usiku!
 
Shit do happen babu! Watoto wengi wanakuwa abused na family and close friends. Watu wanaoaminiwa kama guardians. Ndo maana habari ya kutania mwanangu ati sijui mchumba staki kuisikia! Ntanyofoa mtu korodani! No gifts, no utani! Una zawadi unanipa mie mamake. Na nikimkuta na penseli kapewa na uncle, wallah patachimbika!

sijaoa wala sina mtoto, ila nataka nichangia hapo kwenye red hiyo kitu ipo sana, ya jitu zima kutania watoto wa kike eti mchumba.watu wamezoea kutania watoto wadogo wa kike hivyo sasa sijui ni kwamba hakuna utani mwingine.
 
KAJA KUULIZIA DAWA ZA PRESSURE, HALAFU Dr AKAMPA WHISKY!!?? :confused2:
 
Shit do happen babu! Watoto wengi wanakuwa abused na family and close friends. Watu wanaoaminiwa kama guardians. Ndo maana habari ya kutania mwanangu ati sijui mchumba staki kuisikia! Ntanyofoa mtu korodani! No gifts, no utani! Una zawadi unanipa mie mamake. Na nikimkuta na penseli kapewa na uncle, wallah patachimbika!
Hiyo kitu ni muhim sana i wont understand haya ya uncle, mchumba nk. Halafu unamtuma binti wa 16 na jirani asiye na mke aisee, nimeumia sana

ndugu, rafiki na jamaa ndio wabaya sana kwa abuse, tena kwa wote, boys and girls

i am sure many of us men have paseed throguh similar stages or experience
 
For the sake of learning, naomba kushare story ya rafiki yangu kipenzi aliefariki kwa ukimwi mwaka 2002.

She was smart and intelligent, extremely beautiful but very decent. Mamake alimzaa akiwa form two, so you can imagine walikuwa kama mtu na dadake. Wakati akiwa form three (mie nikiwa form two) step dad wake akaanza kumtaka. Unajua tena shapely legs, kijungu na bado anavaa kaptula na tites. Baba alichofanya ni kusubbotage uhusiano na mama kwakudai mwanao ananidharau nitamfukuza hapa kwangu. In the end, mdada alifukuzwa alipomaliza form four!

Baba alikuwa anamtuma mahali, then anamfuata na kumbembeleza. In a panic anakataa na kukimbia. Akirudi home mama anaambiwa mwanao mjeuri kaenda mitkasi yake wala nilipomtuma hajafika. Kumbuka binti anatumwa kwa mguu, na baba anamfuata na gari! So obviously baba anarudi home kabla yake! Anamtuma ampelekee mtu hela, anafuata anamuambia hela zichukue tu, na dada anakataa!

Matokeo ya form four, dada ana div 1.10. Aliamua kuondoka nyumbani kwawarranty ya treni aliyofanyiwa mpango na mama wa rafiki yetu aliekuwa trc enzi hizo (mamake pia alikuwa trc). Unajua aliishia mikononi.mwa mtoto wa mwenye bus from dar to iringa. From there she never looked back. No home, no parents, na akajitambua ni mrembo.

Alifariki na hiv kama miezi 2 baada ya kumaliza st augustine. Chuo kilimsafirisha baada ya mitihani na ikalazimu apelekwe kwao. Still, akiwa marehemu alipigiwa brass band kwa kuwa best student. Alijilipia ada na kila kitu kwa michango ya wanaume!

Naandika hii na machozi. She was still a virgin i promise you. She was a good gal, and was forced into prostitution. Mamake hakuwahi kujua kilichotokea hadi alipoona mwanae anakuja kufia nyumbani. Bahati mbaya sana mamake nae alifariki kwa ukimwi.

Kitu cha ajabu, tulijadili hichi kitu na kumuambia usimuambie mamako kitamuumiza sana. Najishangaa sikumuambia mama, labda angemsaidia! Nilikutana nae mwanza in less than 6months kabla hajafariki. Sikumtambua, kwa jinsi alivyobadilika na kuchakaa.

Challenge kwenu wote: mwanao anaweza kukuambia baba ananitaka? Uncle ananitaka? Je kijana wako anaweza kukuamvia uncle ananishikaga makalio? Fanya leo: fungua mlango wa mawasiliano. Tell ur kids you can share ANYTHING with me. Ni wangapi humu mabinti zao wanavunja ungo hata hawajui na mama anajidai hawezi kuongea hayo mambo?
Copy: AshaDii, Asprin, Dark City, Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Ni wangapi wanaoshindwa kuprotect watoto wao waliozaa kabla ya ndoa ama inbetween ili kuokoa ndoa? Unajua mwanao anaishije huko alipo? You choose your wife over sacrifice of a kid you had, even if kwa uzembe?
 
You can tell a woman from females

thanks Kamanda.... And we should do this to evry boys and girls... Protect our youths
 
Well well well.....

Hakika leo King'asti na Kaunga mmeamua kunimwagisha babu yenu chozi langu sugu! Damn!
 
Last edited by a moderator:
Well well well.....

Hakika leo King'asti na Kaunga mmeamua kunimwagisha babu yenu chozi langu sugu! Damn!

Nilidhani ni mimi tu....

But I have said several times...kuwa mzazi ni zaidi ya kujua kumshughulikia mama watoto kama ambavyo baadhi ya watu wanahisi....

Linapokuja suala la watoto, I should confess that my emosions are weaker than nothing else.....!!

Babu DC!!
 
Ni wangapi wanaoshindwa kuprotect watoto wao waliozaa kabla ya ndoa ama inbetween ili kuokoa ndoa? Unajua mwanao anaishije huko alipo? You choose your wife over sacrifice of a kid you had, even if kwa uzembe?

This statement touches me more,kwanini ume ileta
asubuhi yote hii? aaagrrr
 
For the sake of learning, naomba kushare story ya rafiki yangu kipenzi aliefariki kwa ukimwi mwaka 2002.

She was smart and intelligent, extremely beautiful but very decent. Mamake alimzaa akiwa form two, so you can imagine walikuwa kama mtu na dadake. Wakati akiwa form three (mie nikiwa form two) step dad wake akaanza kumtaka. Unajua tena shapely legs, kijungu na bado anavaa kaptula na tites. Baba alichofanya ni kusubbotage uhusiano na mama kwakudai mwanao ananidharau nitamfukuza hapa kwangu. In the end, mdada alifukuzwa alipomaliza form four!

Baba alikuwa anamtuma mahali, then anamfuata na kumbembeleza. In a panic anakataa na kukimbia. Akirudi home mama anaambiwa mwanao mjeuri kaenda mitkasi yake wala nilipomtuma hajafika. Kumbuka binti anatumwa kwa mguu, na baba anamfuata na gari! So obviously baba anarudi home kabla yake! Anamtuma ampelekee mtu hela, anafuata anamuambia hela zichukue tu, na dada anakataa!

Matokeo ya form four, dada ana div 1.10. Aliamua kuondoka nyumbani kwawarranty ya treni aliyofanyiwa mpango na mama wa rafiki yetu aliekuwa trc enzi hizo (mamake pia alikuwa trc). Unajua aliishia mikononi.mwa mtoto wa mwenye bus from dar to iringa. From there she never looked back. No home, no parents, na akajitambua ni mrembo.

Alifariki na hiv kama miezi 2 baada ya kumaliza st augustine. Chuo kilimsafirisha baada ya mitihani na ikalazimu apelekwe kwao. Still, akiwa marehemu alipigiwa brass band kwa kuwa best student. Alijilipia ada na kila kitu kwa michango ya wanaume!

Naandika hii na machozi. She was still a virgin i promise you. She was a good gal, and was forced into prostitution. Mamake hakuwahi kujua kilichotokea hadi alipoona mwanae anakuja kufia nyumbani. Bahati mbaya sana mamake nae alifariki kwa ukimwi.

Kitu cha ajabu, tulijadili hichi kitu na kumuambia usimuambie mamako kitamuumiza sana. Najishangaa sikumuambia mama, labda angemsaidia! Nilikutana nae mwanza in less than 6months kabla hajafariki. Sikumtambua, kwa jinsi alivyobadilika na kuchakaa.

Challenge kwenu wote: mwanao anaweza kukuambia baba ananitaka? Uncle ananitaka? Je kijana wako anaweza kukuamvia uncle ananishikaga makalio? Fanya leo: fungua mlango wa mawasiliano. Tell ur kids you can share ANYTHING with me. Ni wangapi humu mabinti zao wanavunja ungo hata hawajui na mama anajidai hawezi kuongea hayo mambo?
Copy: AshaDii, Asprin, Dark City, Kongosho
poleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom