TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
That is not fairmimi mwenyewe nimenusurika kubakwa juzi babu na uzee huu.wanaume wapuuzi kweli except u
That is not fairmimi mwenyewe nimenusurika kubakwa juzi babu na uzee huu.wanaume wapuuzi kweli except u
Huwa namwangalia binti yangu wa miaka 3, nawaza changamoto zinazomkabili na watu kama hawa ambao wamedhamiria kabisa, mda mwingine nakosa raha. Mungu aepushie mbali ila kama tungefuata msemo wa watendeeni wengine kama ambavyomnataka wao wawatendee ninyi, tungekua na dunia yenye amani sana.
Watoto wa mtu mwingine ungewaona kama wanao, usingewafanyia kitu ambacho hutaki watoto wako wafanyiwe.
duh so unaona ni sawa mkuu?
Kwa sababu anajua mie ni mtu wa maombi. Alitaka nimfanyie maombi huyu binti na kumfanyia sala ya toba huyu mwanaizaya mwenzio.Uzuri wake nimeshuhudiwa na wengi kuwa mimi ni mtu mwema. Muulize Kaunga kwa nini alitaka taarifaa ya huyu binti kigoli aliyeharibiwa ikufikie?
Thats a past tense, right?Yes nilipeleka, as mahusiano yalikuwa non-existence kama mwanzo; baba yangu kwa kazi yake watu wengi walikuwa wanamjua and as me he was poor with names and faces, so ilibidi amchangamkie yoyote anajifanya kumfahamu. So the guy couldn't stop calling ofcourse na kukata kila anapopokea mtu mwingine which was bad for me as nilikuwa binti pekee home and my bros couldn't be fooled.
i bet u hv bitterness in u en constant hate for men but surely if its real i feel terribly sorry for youSikumwambia mtu yoyote so hakuna aliyejua.
....la hasha, na maanisha wanadamu pamoja na kupewa akili wanafanya sawa na wayafanyao wanyama.
Halafu ujinga ujinga huu unaendelea hata kwa baba mwenye nyumba kumbaka housegirl....
Nyie kina mama mnajukumu hata kuwasikiza kilio cha hawa wasichana wa ndani
Pheeeeeeeeeeeeew! Kumbe Ni movie?
mimi mwenyewe nimenusurika kubakwa juzi babu na uzee huu.wanaume wapuuzi kweli except u
Ndio sababu kuu ya kuileta humu, ili wazazi tujifunze kama lipo la kujifunza.
By the way l am happy to see you.
Pole sana...ulikuwa jasiri kukaa kimya au nawe ulinogewa ukaridhia kuwa mzinga wa jamaa?