FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
oops pole sana kweli pombe mwana haramu ...hilo jamaa :shut-mouth:
Kaunga pole sana. Ama kweli watoto wa kike wana kazi. Embu nikuulize kitu, Did it haunt you? As in katika mahusiano yako ya baadaye na wanaume wengine? Something similar kidogo na yako ilimtokea someone close to me so nataka nipate experience yako na wewe
ha haaaa, hapo kwenye red umenikumbusha mbali sana rafiki, lol! Kaunga kama haya ni ya kweli basi pole sana...... ila uliwezaje kukaa kimya? yaani bora Evelyn Salt angemwambia mama mimi ningemwambia mwenye pombe yake wakati namkabidhi ili siku nyingine asirudieDuh! ningekuwa mie ningemuambia mama amueleze mme wake, pombe zake zimeniletea madhara....!!!!