This is how l lost it.....

This is how l lost it.....

Hapa pamenigusa sana! Nimejikuta adrenalin inapanda ghafla! Nimemchukia huyo jambazi! Nimetamani ungekumbuka kumshtaki immediately. Pole sana japo unasema ulishapoa. Naomba tuambie tu je, alikupa huo mzinga wa scotch umpelekee baba? Mahusiano yake na familia yenu yalikuwaje baada ya hilo tukio?

Yes nilipeleka, as mahusiano yalikuwa non-existence kama mwanzo; baba yangu kwa kazi yake watu wengi walikuwa wanamjua and as me he was poor with names and faces, so ilibidi amchangamkie yoyote anajifanya kumfahamu. So the guy couldn't stop calling ofcourse na kukata kila anapopokea mtu mwingine which was bad for me as nilikuwa binti pekee home and my bros couldn't be fooled.
 
Nani ali kucheki bikira? Baba? Mama?
Whoever it was,ni udhalilishaji.....

Baba alitaka kunipeleka hospital kwa nurse akanicheck lakini mama alipinga na kuoffer kunicheck mwenyewe!
 
Kaunga but parents have to be watchful..........................how do you send own daughter for a mere whiskey? it beats me to the fore..........the guy promised to meet the doctor in hospital why can't he bring his whiskey or whatever that meant?

Ndio sababu kuu ya kuileta humu, ili wazazi tujifunze kama lipo la kujifunza.
By the way l am happy to see you.
 
Pole dada Kaunga,wish ningemjua................nitamtafuta.........nitampata...........he gona pay for his past....... pole again ilumbuye

I know what you are capable of my bro and that's why sitakwambia ni nani, maana sitaki my bro awe behind the bars.
 
Pole mkuu...I promise nitakuwa karibu sana na wanangu,I will make them my friend ili nijifunze pia kutoka kwao!thanx for sharing, hakika umenipa somo!

Finally l get something positive from my negative experience; l am glad l shared this! Ubarikiwe Kamanda Moshi
 
Last edited by a moderator:
Nshapoa that's why l can talk about it. Ila umejifunza kitu kutoka ktk story yangu? Speaker can this qualify for the movie?

Ilishachezwa kama hiyo.Pole! tena nimeona kama 2 aina tofauti
But ungeweza kukwepa tu. So far ilishatokea POLE
 
Yes,siyo nzuri na inakera kukumbuka,lakini safi kuikumbuka ili kujifunza.
'
No matter what,kama tungeweza kuzirudisha siku nyuma na bado tukawa na kumbukumbu ya maisha ya sasa,tungefanya makubwa sana.
'
Sweetie,usijali!
'
Dedication song:Back in time
Artist:Inocent Galinoma
Album:Sote ni ndugu
 
Acha Uwongo sema ukweli ulifanyaje??Jamaa hauelewi nini! Mpe ukweli kama uliridhia tu. wewe ushajua na unaingiaje sasa. aaaa dadaaa si vema ivo Ulikuraaa tunda tu basi!All in all wengine wajifunze usikaribie Nyoka na huku unamjua
Jamaa: binti hujambo?Me: sijambo shikamoo.Jamaa: unapafahamu kwa Ruga.....?Me: ndio, ni nyumba ile pale.Jamaa: kwani we unakaa wapi?Me: kwa Dr........Jamaa: aah, dr ...... ni rafiki yangu sana. Hivi no yenu ya simu ni ngapi vile?Me: ni 2..6.Jamaa: unasoma?Me: ndio.Jamaa: form gani?Me: form three.Jamaa: kumbe umekua, unaweza kutupa vitu vitamu.Me: (mfyonzo, robo wa Patience Ozwokor wa Nigeria) na kurudi nyuma ili aendelee peke yake.Next day...Ngri ngrii (mlio wa simu).Me: HallowJamaa: hallow naomba kuongea na Kaunga.Me: ndio mimi.Jamaa: good, njoo hotel ....... nakusubiriMe: sawa.After three days.Nikiwa dining, nachungulia dirishani; naona jamaa anakuja. Nikakimbia jikoni kwa mom.Akapiga hodi na baba akamkaribisha, nikiwa nasikia anachoongea na baba ilikuwa hivi.Jamaa: Dr ninajisikia vibaya na nimeishiwa dawa zangu za pressure, l was wondering kama utakuwa na akiba nyumbani.Baba: hapana sina, ila kesho naweza kukuleteaJamaa: never mind, nitakuja mwenyewe hospitali.(Wakaongea ongea kama dkk 5 hivi mimi nikiwa kimya jikoni)Jamaa: I have a bottle of scotch whiskey nyumbani, hakuna mtoto unayeweza kumtuma?Baba: ooh yes, KaungaMe: (kimya)Baba: KaungaMama: we Kaunga si unaitwa na baba yako?Me: abee (nikaenda)Baba: nenda na ........ kaniletee mzigo.Me: Shikamoo ( to jamaa of which kama ya kwanza aliignore na kuongelea vitu vingine)Tukaongozana na jamaa yeye mbele, mimi pulling my legs mpaka home kwake ambapo alinitoa usichana wangu.Copy kwa Asprin na wapenda lager wote wenye mabinti.
 
Last edited by a moderator:
I know what you are capable of my bro and that's why sitakwambia ni nani, maana sitaki my bro awe behind the bars.

Mie naomba usinambia kabisa...Hapa nilipo tayari nimesha-commit murder by intent......

Ila kwa upande wangu, someone can do anything except fooling around with my sweet wife and kids....

Bora afanye upuuzi kama huo when I am out of this plannet.........

Mbona nilishaanga lakini??

Babu DC!!
 
Yes nilipeleka, as mahusiano yalikuwa non-existence kama mwanzo; baba yangu kwa kazi yake watu wengi walikuwa wanamjua and as me he was poor with names and faces, so ilibidi amchangamkie yoyote anajifanya kumfahamu. So the guy couldn't stop calling ofcourse na kukata kila anapopokea mtu mwingine which was bad for me as nilikuwa binti pekee home and my bros couldn't be fooled.

Hivi huyo mtu yuko hai? Je, ana watoto? Yaani kila muda unavyoenda na ninavyosoma majibu yako ndivyo ninavyozidi kumchukia huyo mtu. All in all umenipa somo kubwa sana Kaunga. Thats very brave of you to share this with us. Stay blessed!
 
Last edited by a moderator:
Ndio sababu kuu ya kuileta humu, ili wazazi tujifunze kama lipo la kujifunza.
By the way l am happy to see you.

Kaunga but parents have to be watchful..........................how do you send own daughter for a mere whiskey? it beats me to the fore..........the guy promised to meet the doctor in hospital why can't he bring his whiskey or whatever that meant?

it was whiskey for kaunga's experience , but for somebody's else it can be something else ( money ,letter , message, lift etc) ....... we just need to be careful on how to take care
 
dah pole sana,ila naona wewe ulivunjwa kistaarabu sana....wengine tukisema jf itafungwa kwa muda hapa

please Smile not today , tumeshahuzunika sana toka jana .... mkituongezea dozi wiki itakuwa mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo mtu yuko hai? Je, ana watoto? Yaani kila muda unavyoenda na ninavyosoma majibu yako ndivyo ninavyozidi kumchukia huyo mtu. All in all umenipa somo kubwa sana Kaunga. Thats very brave of you to share this with us. Stay blessed!

Huwa namwangalia binti yangu wa miaka 3, nawaza changamoto zinazomkabili na watu kama hawa ambao wamedhamiria kabisa, mda mwingine nakosa raha. Mungu aepushie mbali ila kama tungefuata msemo wa watendeeni wengine kama ambavyomnataka wao wawatendee ninyi, tungekua na dunia yenye amani sana.

Watoto wa mtu mwingine ungewaona kama wanao, usingewafanyia kitu ambacho hutaki watoto wako wafanyiwe.
 
mh!
fellow rev mother
si wajua nina binti enh?
ngoja kwanza ntarudi!
 
Baada ya kupata simulizi ya Kaunga nilistaajabu malezi yanavyohitaji umakini ila hii ya King'asti tena imenipa changamoto ya jinsi ya kuwalea hawa warembo wangu wawili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom