Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,151
- 49,902
Una maana gani hapo?Sijui ni kuwa alikuwa anatuma meseji gani; Je ni positive gesture kuwa pamoja na utalii nchi hii iko mstari wa mbele kupambana na utalii? Je ni kutoa majibu juu ya tuhuma flani ambazo labda tunatuhumiwa nazo kama nchi