pascal mayala

  1. Lambardi

    Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  2. Burkinabe

    Wazee wetu walisomeshwa bure wakapata kazi nzuri serikalini, leo wanataka sisi watoto wao tusio na ajira rasmi tulipe madeni yasiyoisha!

    Asalaam Aleykum. Inasikitisha sana kuzaliwa kwenye nchi ambayo watu wake wamejaa ubinafsi na kila mtu yuko tu kuangalia maslahi yake na ya familia yake! Yaani nyinyi ma "Baby Boomers" ndo wa kutufanyia hivi kweli?! Nyinyi mlisoma bure, tena shule nzuri, zenye walimu wazuri, madarasa mazuri...
  3. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  4. Burkinabe

    Mzee wa Upako: Rais Samia na viongozi wengine wa juu wa Serikali, acheni chokochoko kwa wananchi

    Moja kati ya viongozi matata wa madhehebu ya Kikristo anayeitwa Mzee wa upako aliwahi kuyasema haya mwaka mmoja uliopita. Viongozi wetu ambao wako kwenye nafasi ya kutuamulia "kesho yetu", wanapaswa kufuata ushauri wa Mchungaji Mzee wa upako. Wasifanye maamuzi kwa kuongozwa na utashi wao tu...
  5. CONSISTENCY

    Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

    Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari? Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari...
  6. britanicca

    The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

    Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ? Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu...
  7. L

    Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  8. Hismastersvoice

    Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

    Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia. Pasikali asiyewapenda...
  9. Bibititi1

    Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  10. AKILI TATU

    Voice from within ya ndugu Pascal Mayala ni kweli. Hili limenikuta leo kwenye jackpot ya sportpesa

    Ndugu wanabodi kwanza niwape salamu, lakini kipekee nimpe salamu za heshima ndugu yetu hapa jamvini Pascal Mayalla , ambapo amekuwa kitujuza mambo mbalimbali haswa mada zake za Voice from within, binafsi nimekuwa shabiki wake bila kujali mada hizo zinamrengo gani. Bila kupoteza muda, kama...
  11. Sanyambila

    Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
  12. Makonyeza

    Marekebisho makubwa ya sheria za Jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  13. F

    Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
  14. Mapambano Yetu

    Somo la TEHAMA linafundishwa shule za Msingi, kwa nini Sekondari halifundishwi?

    Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
  15. KAGAMEE

    Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Hope kila mmoja ameshiba pilau. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
  16. M

    Uchaguzi wa Tanzania kwa Jicho la Rohoni ni Uchaguzi wa Msimu dhidi ya Msimu

    Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa katika ulimwengu wa Kimwili, mchakato wake huwa unakuwa ulianzia Rohoni na baadaye kujidhihirisha...
  17. Matojo Cosatta

    Uchaguzi 2020 Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutengua uteuzi wa Wagombea Udiwani utasababisha uchaguzi wa Madiwani wengi kubatilishwa na Mahakama

    UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA. Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (Assistant Returning Officers) kutengua uteuzi wa wagombea udiwani wa vyama vya siasa...
  18. Chizi Maarifa

    Pascal Mayalla kugombea kupitia CCM, nisingemlaumu hata mimi ningefanya hivyo

    Pascal Mayalla anaweza gombea kupitia CCM? i bet so. Ndo chama pekee ambacho mtu ambaye atateuliwa kugombea kupitia chama hicho atapata Ubunge. Na hili ndilo jambo ambalo limewafanya wengi wachukue form sababu uhakika upo. Nmeshangaa kidogo suala hilo lakini nkakumbuka kuwa pasko mayala naye ni...
Back
Top Bottom