The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

EDITORIAL: Radar deal: Taxpayers demand an explanation

EDITOR
THIS DAY
DAR ES SALAAM

DEMOCRACY is a two-faced phenomenon. The first facet of this universally accepted principle allows leaders to be elected by the electorate; while the other facet demands honesty, selflessness and accountability of the leaders to the electorate.
Thus for a country to be called a true democracy, the two facets must not only be working, but must also be seen to be effectively working. It is for this reason therefore, in a true democracy, once a leader is seriously tainted, he must step down immediately to allow an independent investigation to proceed.
We are highlighting this aspect to give a wake up call to our leaders from the national to village levels.
We want to say that Tanzanian taxpayers demand a thorough explanation on the recent revelations that a senior Cabinet minister in the incumbent administration has a huge fortune stashed away in some foreign bank accounts.
What is most tantalizing about these allegations is the fact that the minister has not denied owning the equivalent of billions of dollars in offshore bank accounts. The question that still begs an answer is how a public official in a poor country like Tanzania has been able to stash away a huge fortune with his government salary!
It doesn’t take a rocket scientist to deduce that the salary and remunerations of the politician could not have enabled him to amass such a hefty fortune.
More importantly, did this public official declare his offshore accounts to the Ethics Secretariat?
It is for this reason that we call on the government to initiate a thorough investigation to unearth other public leaders who have stashed away huge fortunes in foreign countries.
For we very much know that the law of the land is clear on property declaration on the part of leaders: If you hide or under-declare your wealth, you have simply broken the law and must be taken to task.

Our law enforcement agencies must investigate how some public leaders accumulate such huge fortunes. If their fortunes were indeed legally accumulated, why are they afraid of banking them at home?
 
The US $m 1 million dollars ni "Vijisenti"? & 5 million UK's Pounds, another "Vijisenti" tena in Tanzania? in Afrika? yaaani in East Africa? Waziri wa Tanzania, mwenye mshahara wa US dollars $ 1,500 kwa mwezi! Uwaziri ambao toka aupate ni miaka miwili tu? Yaani $ 1500 x 24 Months= jawabu ni "Vijisenti" $ 1,000,000 plus UK Pounds 5,000,000!

I mean huyu economic genius ni the best candidate wa urais wa the World Bank na IMF combained, sio waziri wa Tanzania,

Please take me to another planet! [/B
]
 
Mkuu

Anasema kweli bwana, dola 1M ni vijisenti, fuatilia hiyo thread mpya CHENGE: The Paymaster General.....


The US $m 1 million dollars ni "Vijisenti"? & 5 million UK's Pounds, another "Vijisenti" tena in Tanzania? in Afrika? yaaani in East Africa? Waziri wa Tanzania, mwenye mshahara wa US dollars $ 1,500 kwa mwezi! Uwaziri ambao toka aupate ni miaka miwili tu? Yaani $ 1500 x 24 Months= jawabu ni "Vijisenti" $ 1,000,000 plus UK Pounds 5,000,000!

I mean huyu economic genius ni the best candidate wa urais wa the World Bank na IMF combained, sio waziri wa Tanzania,

Please take me to another planet! [/B
]
 
Najaribu tu kulinganisha miaka alofanya serikalini na "vijisenti"
Let assume tangu alipoanza kazi miaka 30 iliyopita mshahara wake ulikuwa ni $1500 average kwa mwezi.Sasa tuone anaweza kukusanya hivyo "vijisenti" kwa miaka mingapi,na-assume pia kuwa katika mshahara wake huo hakugusa hata senti tano,zote alipeleka benki kuhifandhi.

$1,000,000 /$1,500 = miezi 667
Miezi 667/12 = Miaka 55 na miezi 7


Kwa mujibu wa hesabu hizo,huyu Mwizi Chenge ili aweze kuwa na limbikizo hilo kwa assumption nilizofanya alitakiwa awe amalitumikia taifa kwa miaka 55 na miezi 7 bila kula hata senti moja.
 
Najaribu tu kulinganisha miaka alofanya serikalini na "vijisenti"
Let assume tangu alipoanza kazi miaka 30 iliyopita mshahara wake ulikuwa ni $1500 average.Sasa tuone anaweza kukusanya hivyo vijisenti kwa miaka mingapi,naassume pia kuwa katika mshahara wake hakugusa hata sentim tano zote alipeleka benki kuhifandhi.

$1,000,000 /$1,500 = miezi 667
Miezi 667/12 = Miaka 55 na miezi 7


Kwa mujibu wa hesabu hizo,huyu Mwizi Chenge ili aweze kuwa na limbikizo hilo kwa assumption nilizofanya alitakiwa awe amalitumikia taifa kwa miaka 55 na miezi 7 bila kula hata senti moja.

Na hapo kwa mujibu wa hesabu zako ni kwamba he was paid na kuweka bank na si kulipa kodi ya nyumba na kuishi maisha me ngine ama hii balance baada matumizi mengine ?
 
Kumbukeni kuwa huyu Chenge ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili ya CCM.

Kama mwizi huyu anaweza kupewa nafasi ya kwenda kuangalia maadili ya wenzake ndani ya chama na kuyakemea hivi hapo kuna chama kweli?

Kwa moyo wa dhati kabisa nawaomba wana CCM waliopo hapa wawe wa kwanza kuhoji na hata kumtaka walau aondoke kwenye kamati ya maadili kama mwenyekiti na hata mjumbe kwa masilahi ya taifa.

Nchi hii kuna siku inaweza kulipuka kwenye list yetu ya mafisdadi tunaona timu inapungua kila siu hivyo huienda tukaweka wachezaji wa ziada kama 7 hivi karibuni stay tuned.

Pia tumeweza kumpata kocha msaidizi wa first 11 yetu hivyo huenda tukawa tunashinda kila wakati na kila mechi.

Kuna baadhi ya wana ccm hapa wamehoji na heshima wanapata. Swali kubwa liko kwa Kikwete mwenyewe ambaye haijulikani atafanya nini katika hili!?????
 
Na hapo kwa mujibu wa hesabu zako ni kwamba he was paid na kuweka bank na si kulipa kodi ya nyumba na kuishi maisha me ngine ama hii balance baada matumizi mengine ?


Mkuu natumaini maelezo yangu yanajitosheleza.Naomba tu usome vizuri.
 
aaaaah.....nilikuwa naota tu aiseee! Griiiiiiiiiiiiii.......hamna jamaaa yangu kumbe ni kweli pesa yoooote wamechukua!
 
Chenge akijiuzulu atakuwa amemsaidia sana JK na CCM........zaidi ya hapo sioni JK akimuawajibisha huyu bwana
 
hakuna njia ya kuwabana ili warudishe, kwa sababu njia zoote husika wamezishika wao, so mi naona dawa yao ni ukikutana na mtoto wa fisadi mnamsulubisha kisha kila mtu anakula kona kivyake. mkimbananisha fisadi mwenyewe mnamsulubisha kisawa sawa.
ila kama tukisema tusubiri iko siku mi napingana na hilo, coz tutangoja milele na hawa jamaa wataendelea kuneemeka tu.
 
Naungana na Dr. Wilbrod Slaa kuwa watanzania tujifunze kuwaamini watz wenzetu wanpozungumza masuala yanayohusu utaifa na maslahi ya Taifa. Kitu kikisemwa tukifanyie uchunguzi haraka na hatua zichukuliwe.

Hivi kwanini watu hawaoni uchungu mamilioni yote haya kuibwa na kutunzwa na chenge wakati kuna mamilioni ya watz wanakufa kwa njaa na hospitali, mashule,hayana vifaa, Bomba za maji zilishakauka siku nyingi na Umeme ni anasa huko kwetu hatuna hata ndoto ya kuja kuwasha hakao kamgao ka umeme.

Jamani chenge ni mwizi na Bosi wake ni fisadi ndio maana wanaongozana, je inawezekana vipi watu wawili wakaendena njia moja wakti waneni wala kunia yaliyosawa?
 
halafu kama hamjawagutukia hawa jamaa wanaendesha mchi kama vile wanaigiza tamthilia, manake lilikulupushwa la buzwagi, likaja sijui la balali, mara likaja la richmond, mara tena likaja sijui la nani mungu wangu na sasa limekurupushwa hili la chenge, sasa jinsi watanzania walivyo oya oya wataamshiwa jingine na hili watalisahau...amini maneno haya
 
Chenge anasema hawezi kujiuzulu, kwa kuwa hayo mambo yanachunguzwa

HIKI bado ni kiburi, lakini kinakuja si kwa sababu anayodai kuwa 'ANACHUNGUZWA' sababu kubwa ni kwa vile anadhani JK ni mshikaji na kwa vile tulipiga kelele kuhusu uteuzi wake akanyamaza, pia na katika hili atanyamaza.
 
halafu kama hamjawagutukia hawa jamaa wanaendesha mchi kama vile wanaigiza tamthilia, manake lilikulupushwa la buzwagi, likaja sijui la balali, mara likaja la richmond, mara tena likaja sijui la nani mungu wangu na sasa limekurupushwa hili la chenge, sasa jinsi watanzania walivyo oya oya wataamshiwa jingine na hili watalisahau...amini maneno haya


Kwa uzoefu wa yaliyopita, nashawishika kuamini hili...
 
kujiuzulu/kurudisha pesa/kuhukumiwa/kufukuzwa kazi.......Sijui lakini nakumbuka yule Mama ALIYESHUTUMIWA kuiba bidhaa Imalaseka Supermarket na wale vibaka wa kuiba viselula na kuchomwa moto.........

Mungu atubariki...........
 
CHenge hawezi kusoma alama za nyakati. Nafikiri anatakiwa kusaidiwa katika kufikia uhamuzi, alipo ni pagumu lakini naona mushumaa aliowasha sasa unaanza kumuunguza.

Kama ni nchi kweli yenye serikali inayowajibika kwa wananchi Chenge ameisha kamatwa.
 
Back
Top Bottom