Hapo awali kidogo yapata miaka miwili hivi ilianza kashfa ya Fredrick,mara mkubwa wake-Benjamini,ikafata ya Bank kuu na waliotajwa wakiongozwa na Daudi,Raisi kwenye tamko lake wakati akimwajibisha Daudi sehemu ya taarifa ilisomeka MHESHIMIWA RAISI AMEKASILRIKA NA KUSIKITISHWA SANA NA UBADHILIFU WA EPA waliotajwa na padr slaa,Richmond nayo ikaitikisa nchi na hatujaona hatua kutoka kwa wakubwa na wala hatujaskia kama pia Raisi alikasirika,ila inawezekana alimskitika swahiba wake kwa yaliyomkuta.Hili la Bwana Andrea sijui litakuwa na kishindo saana kimaamuzi,atakaa kimya kama wenzake na kama ilivyo ada ya wabongo watalisahau na hasa likitokea janga lingine kama hilo.Nafikiri sasa Daudi akirudi hapa dar yaweza wasimuguse kabisa.Kwenye hili mchungaji Kristofa sijamsikia labda anawasiliana na wanasheria wake kuona kama kuna kesi ya kujibu.Sijui tutafikiria kwa sauti mpaka lini
mungu wabariki watz