then what next?
Mimi nadhani tunahitaji viongozi waliotofauti na sifa ulizotaja ili wawezi kuliondoa Taifa kwenye hili bwawa la matatizo. Its true kwamba tatizo letu kubwa lipo kwenye fikra. most of Tanzanians are opportunists, but we must get out of this pool. Tusikate tamaa, tupige moyo konde.
Tu -import- kutoka nje ya africa..'kubinafsisha uongozi wa juu'..
safu ya uongozi iwe;
prezidee-USA
w-mkuu-UK
w-kilimo-china
w-pesa-Uk
w-miundombinu-china
elimu-German
mambo ya ndani- Slaa
nishati- Prof. mark
hapo wakuu with in 5yrs...TZ itakuwa na mwelekeo... ni afadhali kutawaliwa kuliko huu upuuzi...47yrs free?!!!!!!maoni tu...